Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Duh.....haijielewi
 
Duh.....haijielewi
Kweli kabisa,nahisi kwa namna nilivyo alihisi hata akiniambia chochote me ntamkubalia,, maana kuna kauli alishawahi kunuambia yaani me huwa nakubali kila kitu,, na kweli huwa nipo hivo lakini huwa ukimaliza kuniambia lazima nikutafakari.
 
Reactions: SMU
Kuna Movie inaitwa Forever My Girl kaitizame itakufundisha kitu...
 
Kadinyaji mnooooo.

Kanajua ndoa ni chumba unaingia tu unafanya Yako ukitaka unatoka.

He will be very surprised.

Yeah he better get his things together, getting tied to somebody for the rest of your life is not a joke...so when deciding on it you MUST BE very very careful...
 
Ndo hivo mkuu nilifanyiwa mchezo na kuna kauli moja ambayo huwa naitafakari aliniuliza hauna mtoto nje Kweli?
Maana isije tukaoana ukawa kumbe na mtoto, me nilimwambia sina hko nje au ilikuwa swali la mtego kwangu?

Kuwa makini sana aisee umeshakosea sasa inabidi tu urekebishe makosa, hapa naona kama alikutegeshea mimba makusudi kama alikuuliza hayo maswali, alitaka akwambie ana mimba ili umwoe yeye yan hapo nishaona inaweza kuwa mimba yako ila alikudanganya na cocacola mkuu
 
Upo sahihi mkuu me nataka nivunje uchumba, maana naingia ndoani bila amani ndo maana wanasema msifanye ngono kabla ya ndoa

Nakwambia ukweli ndoa sio mchezo ebu fikiria kuish na mtu for the rest of your life na huna amani , haifai kabisaa
 
Mkuu inaniuma sana, roho yangu inaugulia uchungu nisije lea mimba haramu, wanawake tamaa zimetawala yaweza kuwa alikuw na mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kula mzigo ndo unasema wanawake wanatamaa sana[emoji23][emoji23], unajaribu kufanya hapo ni kutafuta sapoti ya kukana mimba
 
Huyo siyo mtu nzuri, kuwa naye makini!
 
Ifafanue mkuu..niko hapa kukuelewesha ..
Mleta mada amesema...

Ilikuwa tarehe 24 ya mwezi wa 4 usiku ndo tulishiriki ngono lakini pia katika kushiriki binti aliniambia nikanunue soda ya Coca Cola kwa ajili ya kutumia kama kinga.

Basi sikuwa na hiana nikafata baada ya kunikazia kuwa yupo kwenye siku za hatari yasije tokea mengine ya mimba.

Nilipoileta basi tukaendelea na mambo mengine baada ya kumaliza alimimina na kuanza kunywa taratibu,,nikamuuliza kazi yake, anadai anapokunywa zile shahawa zinatelemka zenyewe tu.

Basi na kweli zikawa zinatelemka anajifuta.
 
Inawezekana mkuu..enzi zetu tulikua tunakunywa majivu😀😀! Lakini hayakuwa functional...dawa ni moja tu 72 hrs basi!
Huwezi amini ulimwengu huu mimi nimestaafu rasmi...
 
Inawezekana mkuu..enzi zetu tulikua tunakunywa majivu😀😀! Lakini hayakuwa functional...dawa ni moja tu 72 hrs basi!
Huwezi amini ulimwengu huu mimi nimestaafu rasmi...
Hii dawa gharama bana,siku 1 nilalamikiwa nimepiga kavu siku za hatari,nikampa buku 5 ananunue. akaniambia haitoshi,ikabidi twende wote famasi. bei yake niliishiwa hamu kabisa. nikajuta kwa nini sikuvaa
 
hii dawa gharama bana,siku 1 nilalamikiwa nimepiga kavu siku za hatari,nikampa buku 5 ananunue. akaniambia haitoshi,ikabidi twende wote famasi. bei yake niliishiwa hamu kabisa. nikajuta kwa nini sikuvaa
🤣🤣🤣! Aisee..alafu ukiwa kwa heat ke huwa kuna vibe la hatari subiria sasa uone siku zako wapiii
Dah...
 
Noelia hii teknik unaijua mkuu wangu😀
 
Unasema tuishi nao kwa Akili kumbe we ndo zezeta huna akili (samahani lakin) kwaio ulivyoambiwa Soda ya coca inazuia mimba nawee ukaamini kwa asilimia zote?? Lea mtoto nmkuu umevuna ulichopata BAADA YA STAREHE NI MAUMIVU)

Bwege sana huyu (na mimi namuomba samahani) yaani inaonekana hana elimu ya uzazi, Coca inazuiaje mimba,...... hata kuoa usifikirie sasa hivi hebu tulia kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…