Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Asante mkuu mi mwenyewe wazo langu lilikuwa nimwambie tukapime umri wa mimba.
 
Namimi sipendi nimtelekeze mkuu,, yaaani nampenda sana lakini kwa stuation hii daaah
Kuwa na msimamo Kijana! Mngejua kuchelewa kuzaa kunavyoleta stress huko mbeleni, I wish mngejua, I wish mngeelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…