Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Kwahiyo mkuu me namtema aisee hadi aseme ukweli, asije nipakazia kumbe baba wa mtoto yupo maana kwa story zake za kusema yeye marafiki wengi ni wakiume inanitia shaka Sana.
Huyo demu anaonekana ana janja janja za ajabu!
 
Solution ni rahisi sana nenda nae hospitali mkapime mimba ina umri gani. Kama ni katika hizo tarehe mzee baba karibu katika chama la wazazi Baba mtarajiwa. Wala usifanye nae ligi maana kama tarehe zikioana goma lako hilo ukiona mimba ina miezi miwili utakuwa umepigwa changa la macho
 
Hayo machozi yake yasi kuponze hiyo mimba sio yako.
 
Hiyo nami nihisi,,nipe mbinu mkuu nimbane vipi maana sahizi tulikuwa na mchakato wa kuoana hivi karibuni kama mambo yangekaa sawa lakini swala hili limenimaliza nguvu yakuendelea kabisa.
 
Eti tuishi nao kwa akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili sio mat...o kwamba kila mtu anayo.
 
Asante mkuu nashukuru sana,, kwahiyo nivute muda kidogo halafu nikapime nae?
 
Acha kulia punguza kidogo kale kahela ka mahari kapime DNA.Usiishi na mtu kwa huruma wala machozi.Marriage is for life and adultery is just a temporary game.
 

Eti kadinyaji, ila me kanishangaza mahusiano mwezi mmoja anataka kuingia kwenye ndoa ? au sijasoma vizuri ??
 
mhh coca cola jmn sio kwa tango pori hilo...

Yan me nimeshangaa hizo soda nnazo kwenye fridge wanakunywaga sana na wakisema wanamimba wala sishangai sijawah kujua kama cocacola inafanya hilo jambo aisee nimeshangaa leo
 
Acha kulia punguza kidogo kale kahela ka mahari kapime DNA.Usiishi na mtu kwa huruma wala machozi.Marriage is for life and adultery is just a temporary game.
Ni kweli mkuu, yaweza kuwa ndo maana alitaka tujitambulishe mapema kwa baadhi ya wahusika kuwa sisi tutakuwa wachumba ili nisiruke nyaya.
 
Asante mkuu nashukuru sana,, kwahiyo nivute muda kidogo halafu nikapime nae?
Yes usikatae maana kalenda itaongea kila kitu. Kubaliana nae ila akikisha unaenda nae kupima ili ujue yote kuhusu tarehe zako na umri wa mimba. Kama yako utajua tu. Pia usiweke kichwani kuwa umesingiziwa na kuwa defensive subiri majibu ya daktari yatakupa mwanga na ndipo utachukua hatua
 
Hahahahah ukiwa mburula anakupeleka kimburula mburula tu![emoji2][emoji2][emoji2]

Sasa km umekuja kimburula unadhani mwanamke atakuwa na huruma basi..

Anakunyoosha mpk unafikia point unaanza kuwaza km mtu mwenye akili timamu hlf ndo anakuomba msamaha[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…