Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Sasa km umekuja kimburula unadhani mwanamke atakuwa na huruma basi..

Anakunyoosha mpk unafikia point unaanza kuwaza km mtu mwenye akili timamu hlf ndo anakuomba msamaha[emoji53][emoji53][emoji53]
Amechemka mkuu.
 
Mm hua na washangaa baadhi ya wanaume wenzangu,una kataa mimba kwa misingi gani?kwa nini hukutumia kondom?kwa nini ulikula mzigo?ulitegemea nini kitokee badaa ya wewe kutimiza adhima yako?kwa nini ulitumia nguvu nyingi kumrubuni?na kama mtoto akizaliwa ana kufa nana kwa %100 utasema je?wewe tunza huyo mama na ikiwezekana fuata taratibu zote muoe kabisa kama anakudanganya zambi zake,mm demu akisha nitamkia ana mimba yangu tu nafurahi sana,kuendelea kuikataa mimba uta sababisha afikirie kutoa tayari umeshiriki kuua shauri yako.
 
nafikiri ..fanya utaratibu wa kuonana nae halafu chukua pregnancy test(ili kujiridhisha kama ana mimba)

kama mimba itaonekana ,hapo pagumu kutambua ni yako au la! No way out

...mpaka mtoto atakapozaliwa&kadri siku ziendavyo utakuwa unagundua ukweli uko wapi juu yake

Naamin utagundua kila kitu ukiwa unaishi nae na itakuwa vigumu endapo mtakuwa mbali
Mkuu Utra sound inasaidia kutambua umri wa mimba, labda nitumie hiyo na nataka nimwambie kama nikweli niyangu aje tupime kama akikubali.
 
Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina.

Soma kwa makini kuna fundisho hapa

Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu.

Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada wenu ntaishia pabaya.

Maada:

Me nimekuwepo na girl friend ambae tumezoeana takriban mwezi mmoja, tumezoeana siku hadi siku baadae mwafaka ukawa baadaye tuoane.

Amekuwa akija kunitembelea kama kawaida geto,, lakini tokana na nguvu ya shetani kutuvaa tulijikuta tumeanguka.

Ilikuwa tarehe 24 ya mwezi wa 4 usiku ndo tulishiriki ngono lakini pia katika kushiriki binti aliniambia nikanunue soda ya Coca Cola kwa ajili ya kutumia kama kinga.

Basi sikuwa na hiana nikafata baada ya kunikazia kuwa yupo kwenye siku za hatari yasije tokea mengine ya mimba.

Nilipoileta basi tukaendelea na mambo mengine baada ya kumaliza alimimina na kuanza kunywa taratibu,,nikamuuliza kazi yake, anadai anapokunywa zile shahawa zinatelemka zenyewe tu.

Basi na kweli zikawa zinatelemka anajifuta.

Baada ya siku hiyo kupita tukakutana tena tarehe 28 mwezi 4 huo huo mchana.

Baada ya kumaliza, siku hiyo akaanza kudai tumbo linamuuma,nikamwambia itakuwa hali tu ya tumbo,, siku ya pili hivyo hivyo basi ikafika tarehe 6 ya mwezi wa 5 akadai haoni siku zake na siku ya pili yake hakuaona ambayo ni tarehe 7,mpaka sasa anasema yupo dry.

Nikamsihi itakuwa mabadiliko ya hali ya hewa lakini ananambia hii itakuwa mimba,, wakati huo sipo nae maana yupo kwao alisafiri hiyo tarehe 6 tokana na changamoto alizokuwa akipata alipo kuwa anaishi.

Mimi nikamsisitiza kapime tuone tatizo nini(yupo kwao mda huu) anasema ntapima tu lakini itakuwa mimba.

Nimemtolea uvivu nikamtega maswali, alidai breed aliingia tarehe 6 mwezi wa nne akatoka tarehe 9 na mimi nilikutana nae tarehe 24 kwa kinga ya soda,tarehe 28 bila kinga,.

Nimefatilia kuhusu mzunguko maana me si kweli alikuwa kwenye hatari ya kupata mimba, na nimemhusisha imekuwa kesi,nikamwambia aniambie ukweli kama hakuwa na mahusiano huko nyuma kabla yangu lakini kakana.kalia sana eti hakutegemea kama ntamwambia mambo kama hayo.

Mara mimi najua hii mimba niyako hata ukikataa,, lakini mimi moyo wangu hauna amani kabisa juu ya swala hili,, nahisi kubambikiwa mzigo usiyo kuwa wangu.

Ilikuwa imebaki kidogo tu tuanze maisha ya ndoa maana wazazi taarifa wanazo kuwa runataka kuoana,,

lakini amani moyoni mwangu haipo nahisi harufu ya usariti imepita.

Nisiwachoshe sana wakuu swali langu.

Kwa wataalamu wa mzunguko wa hedhi hasa wanawake mnisaidie je nikweli huu mzigo ni wangu?

Maana mimi nikiangalia siku zote tulizo shiriki siyo siku za kushika mimba kufatana na huo mzunguko wake.

Asije ikawa mimba alikuwa nayo halafu kaja kutegesha kwangu.

Nikomee hapo wakuu, msaada wenu ni mhimu sana.

Asanteni.
blah blah blah. unatafuta zasababu nyingi za kukataa hiyo mimba.
ngoja mtoto azaliwe kacheki dna.
 
Mm hua na washangaa baadhi ya wanaume wenzangu,una kataa mimba kwa misingi gani?kwa nini hukutumia kondom?kwa nini ulikula mzigo?ulitegemea nini kitokee badaa ya wewe kutimiza adhima yako?kwa nini ulitumia nguvu nyingi kumrubuni?na kama mtoto akizaliwa ana kufa nana kwa %100 utasema je?wewe tunza huyo mama na ikiwezekana fuata taratibu zote muoe kabisa kama anakudanganya zambi zake,mm demu akisha nitamkia ana mimba yangu tu nafurahi sana,kuendelea kuikataa mimba uta sababisha afikirie kutoa tayari umeshiriki kuua shauri yako

Mm hua na washangaa baadhi ya wanaume wenzangu,una kataa mimba kwa misingi gani?kwa nini hukutumia kondom?kwa nini ulikula mzigo?ulitegemea nini kitokee badaa ya wewe kutimiza adhima yako?kwa nini ulitumia nguvu nyingi kumrubuni?na kama mtoto akizaliwa ana kufa nana kwa %100 utasema je?wewe tunza huyo mama na ikiwezekana fuata taratibu zote muoe kabisa kama anakudanganya zambi zake,mm demu akisha nitamkia ana mimba yangu tu nafurahi sana,kuendelea kuikataa mimba uta sababisha afikirie kutoa tayari umeshiriki kuua shauri yako.
Daah mambo yatakaa sawa tu na suruhisho litapatikana
 
Tarehe 24 kutoa tarehe 6 ni siku 18, dogo kwanini unataka kukataa hii mimba?

Yaani unatoka povu kukataa kisa alitumia coca cola kama kinga, aisee hebu tupunguzie kuumiza vichwa jamaa. We ulisikia wapi kunywa coca cola kukazuia mimba?

Acha kujiumiza kichwa. Anza kununua pampers. Tena fanya haraka umuite mmalize swala la ndoa kabla tumbo halijatokeza
wengine wanakwambia fanta au koka inazuia mimba. hakuna kitu kama hiko mzeeya.
usimuamin mwanamke wa kibongo kukwambia mambo ya kijinga kama hayo
 
Yani unakutan na mtu mwezi tu af mnatambulishana kwa wazazi na mnafanya kabisa taratibu za kuoana??!!
 
Hiyo mimba yakwako [emoji817] angalia hapo umekutana nae tarehe 24 ambapo ilikuwa siku ya 19 ilikuwa bado ni danger ukihesbau siku kumi kutoka siku ya 12 ambapo danger inaanzia achana na mambo cocacola lea mwanao .View attachment 1779423
Unahakikisha ni kweli kabisa?
Maana hizi karenda wengi huwa zinawachanganya Mkuu.
 
Sasa km umekuja kimburula unadhani mwanamke atakuwa na huruma basi..

Anakunyoosha mpk unafikia point unaanza kuwaza km mtu mwenye akili timamu hlf ndo anakuomba msamaha[emoji53][emoji53][emoji53]
Hahahahah wanawake bana dah🤣🤣🤣 mie ndio maana sipendagi utoto nao kabisa
 
Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina.

Soma kwa makini kuna fundisho hapa

Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu.

Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada wenu ntaishia pabaya.

Maada:

Me nimekuwepo na girl friend ambae tumezoeana takriban mwezi mmoja, tumezoeana siku hadi siku baadae mwafaka ukawa baadaye tuoane.

Amekuwa akija kunitembelea kama kawaida geto,, lakini tokana na nguvu ya shetani kutuvaa tulijikuta tumeanguka.

Ilikuwa tarehe 24 ya mwezi wa 4 usiku ndo tulishiriki ngono lakini pia katika kushiriki binti aliniambia nikanunue soda ya Coca Cola kwa ajili ya kutumia kama kinga.

Basi sikuwa na hiana nikafata baada ya kunikazia kuwa yupo kwenye siku za hatari yasije tokea mengine ya mimba.

Nilipoileta basi tukaendelea na mambo mengine baada ya kumaliza alimimina na kuanza kunywa taratibu,,nikamuuliza kazi yake, anadai anapokunywa zile shahawa zinatelemka zenyewe tu.

Basi na kweli zikawa zinatelemka anajifuta.

Baada ya siku hiyo kupita tukakutana tena tarehe 28 mwezi 4 huo huo mchana.

Baada ya kumaliza, siku hiyo akaanza kudai tumbo linamuuma,nikamwambia itakuwa hali tu ya tumbo,, siku ya pili hivyo hivyo basi ikafika tarehe 6 ya mwezi wa 5 akadai haoni siku zake na siku ya pili yake hakuaona ambayo ni tarehe 7,mpaka sasa anasema yupo dry.

Nikamsihi itakuwa mabadiliko ya hali ya hewa lakini ananambia hii itakuwa mimba,, wakati huo sipo nae maana yupo kwao alisafiri hiyo tarehe 6 tokana na changamoto alizokuwa akipata alipo kuwa anaishi.

Mimi nikamsisitiza kapime tuone tatizo nini(yupo kwao mda huu) anasema ntapima tu lakini itakuwa mimba.

Nimemtolea uvivu nikamtega maswali, alidai breed aliingia tarehe 6 mwezi wa nne akatoka tarehe 9 na mimi nilikutana nae tarehe 24 kwa kinga ya soda,tarehe 28 bila kinga,.

Nimefatilia kuhusu mzunguko maana me si kweli alikuwa kwenye hatari ya kupata mimba, na nimemhusisha imekuwa kesi,nikamwambia aniambie ukweli kama hakuwa na mahusiano huko nyuma kabla yangu lakini kakana.kalia sana eti hakutegemea kama ntamwambia mambo kama hayo.

Mara mimi najua hii mimba niyako hata ukikataa,, lakini mimi moyo wangu hauna amani kabisa juu ya swala hili,, nahisi kubambikiwa mzigo usiyo kuwa wangu.

Ilikuwa imebaki kidogo tu tuanze maisha ya ndoa maana wazazi taarifa wanazo kuwa runataka kuoana,,

lakini amani moyoni mwangu haipo nahisi harufu ya usariti imepita.

Nisiwachoshe sana wakuu swali langu.

Kwa wataalamu wa mzunguko wa hedhi hasa wanawake mnisaidie je nikweli huu mzigo ni wangu?

Maana mimi nikiangalia siku zote tulizo shiriki siyo siku za kushika mimba kufatana na huo mzunguko wake.

Asije ikawa mimba alikuwa nayo halafu kaja kutegesha kwangu.

Nikomee hapo wakuu, msaada wenu ni mhimu sana.

Asanteni.
1:Maswali mawili madogo ya nyongeza,Ulishindwaje kujua kama alikuwa na mahusiano nyuma au la mpaka ukawa unamuuliza yeye?
2: Kwa maelezo yako mwanamke anaonekana anakuzidi umri na akili,je ni kweli anakuzidi vyote au kimojawapo?
 
Back
Top Bottom