Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Hiyo nami nihisi,,nipe mbinu mkuu nimbane vipi maana sahizi tulikuwa na mchakato wa kuoana hivi karibuni kama mambo yangekaa sawa lakini swala hili limenimaliza nguvu yakuendelea kabisa.
nafikiri ..fanya utaratibu wa kuonana nae halafu chukua pregnancy test(ili kujiridhisha kama ana mimba)

kama mimba itaonekana ,hapo pagumu kutambua ni yako au la! No way out

...mpaka mtoto atakapozaliwa&kadri siku ziendavyo utakuwa unagundua ukweli uko wapi juu yake

Naamin utagundua kila kitu ukiwa unaishi nae na itakuwa vigumu endapo mtakuwa mbali
 
Eti kadinyaji, ila me kanishangaza mahusiano mwezi mmoja anataka kuingia kwenye ndoa ? au sijasoma vizuri ??
Upo sahihi mkuu me nataka nivunje uchumba, maana naingia ndoani bila amani ndo maana wanasema msifanye ngono kabla ya ndoa
 
Mkuu me ntamuita aje tukapime kabisa maana sina amani kabisa japo ananiaminisha lakini haitowezekana kumwamini.
 
Mkuu kama hukukutana nae kati ya tar 16-23 jua umepigwa hapo (hizo tarehe ni kwa mzunguko wa siku 28 hadi 31)
 
Mwezi mmoja watu mnakubaliana kwamba mje muonane. Safi.
 
Yan me nimeshangaa hizo soda nnazo kwenye fridge wanakunywaga sana na wakisema wanamimba wala sishangai sijawah kujua kama cocacola inafanya hilo jambo aisee nimeshangaa leo
Ndo hivo mkuu nilifanyiwa mchezo na kuna kauli moja ambayo huwa naitafakari aliniuliza hauna mtoto nje Kweli?
Maana isije tukaoana ukawa kumbe na mtoto, me nilimwambia sina hko nje au ilikuwa swali la mtego kwangu?
 
Hiyo siku uliyomla ni siku ya 18.

Hata kama demu angekuwa na mzunguko wa siku 28 bado hiyo siku ya 18 ni siku ya hatari.

Tafadhali huo mzigo ni wako. Acha kuruka.

Jinga kabisa.
 
Asante, ubarikiwe mkuu
 
Haaaa neleaaaaaaaaaaa pokea mimba yako.......unaweza kukataa mtoto akaja kuwa raisi........ooooh neleaaaaaaaa pokea mimba yako siku nyingine ujue kavu sio nzuri.........oooooooohhh anaweza kuwa konda msafi ewwh akakutana na kumbu......anaweza kuwa Riki boy eehh akala tunda kimasiharaaaaaa eeehhhhhhh😂😂😂😂
 
Sasa km umekuja kimburula unadhani mwanamke atakuwa na huruma basi..

Anakunyoosha mpk unafikia point unaanza kuwaza km mtu mwenye akili timamu hlf ndo anakuomba msamaha[emoji53][emoji53][emoji53]
Mkuu me ntakaza mpaka kieleweke, atakaa tu kwenye mstari hawezi niuzia mbuzi kwenye junia
 
Hiyo siku uliyomla ni siku ya 18.

Hata kama demu angekuwa na mzunguko wa siku 28 bado hiyo siku ya 18 ni siku ya hatari.

Tafadhali huo mzigo ni wako. Acha kuruka.

Jinga kabisa.
Daah nachanganyikiwa kabisa mkuu,, labda kwa vile sikujua kuhesabu mzunguko?
 
Hiyo mimba ni yako. Soda cocoa wapi na wapi iteremshe shahawa kutoka wapi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…