Bin Shaib
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,346
- 1,221
- Thread starter
- #201
Me mwenyewe nilistuka mapema kwa kauri zake,, nikweli kabisa nimeamini mimba siyo yangu tarehe 24 na 28 siyo sku za kushika mimba kabisa, nilimtafuta mtu wa kike nikampatia mfano wa huu mzunguko ilikuja kuangukia kwenye "siku salama"Wanakutisha mzee mimba hio imewekwa na mwenzio before! Hata lugha ya demu inaashiria ana jambo lake.