Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

As long umekula dry, na mzunguko wake haujui hapo pagumu kujitoa.

Acha mabaharia wake wakupe mbinu manake hawashindwagi kitu.

Binafsi kupitia sredi zako nimeona kwamba wewe bado mdogo na ni 'kadinyaji sana' ila maturity na mindset ya kuingia kwenye ndoa bado bado.
Yani kanawadinya tu halafu kakwepe majukumu,kwa hapa kalivyojieleza kana kesi ya kujibu.
 
Lea tu mkuu anaweza akaja kuwa Rais badae
Huo ni udhaifu tu.unapenda taasisi ya urais lkn siyo mtu km alivo.

Bado hauta ufurahia akiwa rais. Mapikipiki utayasikia tuu....
 
Mkuu mwana mke akisema hii mimba yako hakuna kupinga mm nilishawai kukataa mimba nikajua labda akizaa atabadilisha maamuz na sikutoa hata mia lakn aliendelea kushikilia msimamo huo huo mtoto kuzaliwa mm kabisa nilipata aibu nikaanza kujikomba komba mtoto anamiaka saba sasa hivi namlea kama kawa nilisha jifunza mkuu
 
Kubari tu mimba ni yako mlee mtoto wenu baraka hiyo amekuletea
 
Hiyo mimba siyo yako kama period yake inaanza tarehe 6 ya kila mwezi.
Tumia hii calculator hapo kwa ku assume kwamba mzunguko wa siku zake ni 28!
Hata hii chart inakataa!
1960235-how-long-does-ovulation-last-01-5ae09af91f4e130039d80d9e.jpg
 
Me mwenyewe nilimwambia akapime huko aliko lakini ananiambi ntaenda tu,, nataka nimwambie option ya mwisho kuwa kama ni yangu kweli itajulikana, tupime kwa Utra Sound tuhakiki, nimsikie atasema nini?

Na nilipo mwambia kitu hicho tulizungushana sana,baada ya simu kukatika kwa muda alituma sms kuwa kanisamehe kwa yote nilo mwambia sababu ananipenda.mkuu hakika swala hili linaninyima usingizi na sielewi nifanye nini kuujua ukweli.
Ukweli utaujua tu bro.
 
Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina.

Soma kwa makini kuna fundisho hapa

Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu.

Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada wenu ntaishia pabaya.

Maada:

Me nimekuwepo na girl friend ambae tumezoeana takriban mwezi mmoja, tumezoeana siku hadi siku baadae mwafaka ukawa baadaye tuoane.

Amekuwa akija kunitembelea kama kawaida geto,, lakini tokana na nguvu ya shetani kutuvaa tulijikuta tumeanguka.

Ilikuwa tarehe 24 ya mwezi wa 4 usiku ndo tulishiriki ngono lakini pia katika kushiriki binti aliniambia nikanunue soda ya Coca Cola kwa ajili ya kutumia kama kinga.

Basi sikuwa na hiana nikafata baada ya kunikazia kuwa yupo kwenye siku za hatari yasije tokea mengine ya mimba.

Nilipoileta basi tukaendelea na mambo mengine baada ya kumaliza alimimina na kuanza kunywa taratibu,,nikamuuliza kazi yake, anadai anapokunywa zile shahawa zinatelemka zenyewe tu.

Basi na kweli zikawa zinatelemka anajifuta.

Baada ya siku hiyo kupita tukakutana tena tarehe 28 mwezi 4 huo huo mchana.

Baada ya kumaliza, siku hiyo akaanza kudai tumbo linamuuma,nikamwambia itakuwa hali tu ya tumbo,, siku ya pili hivyo hivyo basi ikafika tarehe 6 ya mwezi wa 5 akadai haoni siku zake na siku ya pili yake hakuaona ambayo ni tarehe 7,mpaka sasa anasema yupo dry.

Nikamsihi itakuwa mabadiliko ya hali ya hewa lakini ananambia hii itakuwa mimba,, wakati huo sipo nae maana yupo kwao alisafiri hiyo tarehe 6 tokana na changamoto alizokuwa akipata alipo kuwa anaishi.

Mimi nikamsisitiza kapime tuone tatizo nini(yupo kwao mda huu) anasema ntapima tu lakini itakuwa mimba.

Nimemtolea uvivu nikamtega maswali, alidai breed aliingia tarehe 6 mwezi wa nne akatoka tarehe 9 na mimi nilikutana nae tarehe 24 kwa kinga ya soda,tarehe 28 bila kinga,.

Nimefatilia kuhusu mzunguko maana me si kweli alikuwa kwenye hatari ya kupata mimba, na nimemhusisha imekuwa kesi,nikamwambia aniambie ukweli kama hakuwa na mahusiano huko nyuma kabla yangu lakini kakana.kalia sana eti hakutegemea kama ntamwambia mambo kama hayo.

Mara mimi najua hii mimba niyako hata ukikataa,, lakini mimi moyo wangu hauna amani kabisa juu ya swala hili,, nahisi kubambikiwa mzigo usiyo kuwa wangu.

Ilikuwa imebaki kidogo tu tuanze maisha ya ndoa maana wazazi taarifa wanazo kuwa runataka kuoana,,

lakini amani moyoni mwangu haipo nahisi harufu ya usaliti imepita.

Nisiwachoshe sana wakuu swali langu.

Kwa wataalamu wa mzunguko wa hedhi hasa wanawake mnisaidie je nikweli huu mzigo ni wangu?

Maana mimi nikiangalia siku zote tulizo shiriki siyo siku za kushika mimba kufatana na huo mzunguko wake.

Asije ikawa mimba alikuwa nayo halafu kaja kutegesha kwangu.

Nikomee hapo wakuu, msaada wenu ni mhimu sana.

Asanteni.

Hauna cha kukimbia hapa mkuu, labda kama uliongoza na muhuni, ila hapa iko wazi kabisa ukipiga hesabu za kisayansi mzigo ni wako, expect baby gal kabisa.
 
Mkuu hiyo coca ni hi nayoijua mim[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom