Nimesitisha kutoa mahari

Nimesitisha kutoa mahari

Kingine kwanini utoe millio 2.5 ? hajatumika tangu ukutane nae ? Ndoa za sasa ni majaribio.
 
Kiu ya kitu gani? Mbususu ? Are you serious? Damn[emoji2][emoji2][emoji2] hivi unahisi watu wanaoa au kutoa mahari kwa mwanamke kwasababu ya mbususu? Nakuhakikishia baada ya miaka kadhaa hizo mbususu ambazo wanawake wanahisi wanaume hatuwezi kuishi bila hizo wataziweka makumbusho maana zitakuwa hazina kazi

Ndoa, mahusiano ni zaidi ya tendo la ndoa ... Wanawake fungukeni akili.

Mungu atusaidie kichwa cha juu kiwe na maamuzi zaidi ya kichwa cha chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona mkinyimwagwa mnaanza ngenga
 
Seriously wanawake hamna wema na hamtakuwa nai. Kuishi na mwenzako 2yrs unachukulia kama wewe umemfanyia favor mwanaume, duh! Nakatika miaka hiyo yote mliishi kwa amani kila mmoja akifanya majukumu yake, mwanaume hakukuomba nilipe pesa ya kuishi na kukulipa humu ndani ila wewe unataka ulipwe [emoji23][emoji23]. Kitu msichokijua, hamjui mtu ametokea wapi bali mmekuta mafanikio ndani basi nanyi mkajibebesha tuzo[emoji1787][emoji1787]. Tangu utotoni mwanaume hupitia maisha ya changamoto kama mwanamkw na hata zaidi ila nyie mwaona kuishi tu na mwanaume kuwa mmefanya favor. At this point huoni maana ya ndoa maana mmoja anaifanya ndoa ni biashara[emoji23][emoji23][emoji23]. I really hate women! Hamna shida tuendelee kuishi.
Siyo kosa la wanawake ni kosa la mitazamo ya jamii zetu

Mkuu kumbuka mwanaume anaweza kuoa hata akiwa na 50 na jamii ikaona kawaida, ila mwanamke akifika 30 tu jamii inaanza kumnyooshea vidole, na kumtupia maneno yote mabaya

Na hiyo ndio sababu kubwa mwanamke akikaa kwenye uchumba miaka halafu mwanaume akamuacha, lazima aumie zaidi sababu amempotezea muda, ukizingatia atakayetukanwa ni yeye na siyo mwanaume eleweni hilo kwanza
 
Tarehe 20 ya mwezi huu niliahidi kwenda kutoa mahari ukweni kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tano.

Niliazimia kufanya hivyo baada ya kukaa na mchumba wangu kwa zaidi ya miaka miwili sasa katika mahusiano. Baada ya kutoka safarini wiki iliyopita, nilishikwa na simanzi sana.

Nilimuona rafiki yangu wa karibu wa siku nyingi ambae alikuwa msaada kwangu toka tukiwa shuleni. Physics, chemistry na maths nilifaulu kwa sababu ya uwepo wake.

Nimetafakari mno na hatimaye, jana nilimueleza wazi mchumba wangu kwamba siwezi kuendelea na zoezi la utoaji mahari kwao kwa sababu kuna mtu ambae nahitaji kumshika mkono aondokane na magumu yanayomkabili kwa sasa.

Alisema hakuna shida na kisha kuomba kuvunja uchumba wetu. Sikuchukua muda tena kulifikiria hilo. Nimekubali na kumtakia kila la kheri katika maisha yake mengine.

NITASIMAMA NA RAFIKI YANGU!
Mfalme Suleman alimuomba Mungu hekima.. Ikamsaidia kupata wanawake wengi.. Sasa wewe umekosa hekima.. Hakukuwa haja ya kumwambia sababu ya kughairi

Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Mwamba kwanza hongera kwa kutambua shida ya rafiki yako...but umefanya kosa ambalo litakutesa maishani...kwenye suala LA kujitambulisha na ndoa hapahitaji mzaha kabisa. Pale ndipo penye baraka na mikosi pia.
Tayari umeanza na mkosi,machozi ya huyo Dada+aibu atakayopata+fedheha kwa wazazi wake ni KARMA ya milele.
Utahangaika sana. Pole.
 
Khe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mungu ni mwema. Hope she'll find a good end somewhere else!
Lakini unajibu kana kwamba ulikua umemchoka ama bora imetokea hivyo kajikata kuna kitu hakuwa unakipenda kwake yaani kiurahisi rahisi.
 
yeah,ulichofanya ni muhimu lakini pia ulihitaji mda wa kumuweka sawa maana hiyo taarifa imekuja ghafla sidhani kama angekuelewa kirahisi,usikurupuke emu jaribu kuongea naye na umweleze matarajio yako na umweleze umuhimu wa huyo rafiki yako
siyo anakwambia tuvunje uchumba nawe unasema sawa hujamtendea haki
Alikua kamchoka huyu
 
Tarehe 20 ya mwezi huu niliahidi kwenda kutoa mahari ukweni kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tano.

Niliazimia kufanya hivyo baada ya kukaa na mchumba wangu kwa zaidi ya miaka miwili sasa katika mahusiano. Baada ya kutoka safarini wiki iliyopita, nilishikwa na simanzi sana.

Nilimuona rafiki yangu wa karibu wa siku nyingi ambae alikuwa msaada kwangu toka tukiwa shuleni. Physics, chemistry na maths nilifaulu kwa sababu ya uwepo wake.

Nimetafakari mno na hatimaye, jana nilimueleza wazi mchumba wangu kwamba siwezi kuendelea na zoezi la utoaji mahari kwao kwa sababu kuna mtu ambae nahitaji kumshika mkono aondokane na magumu yanayomkabili kwa sasa.

Alisema hakuna shida na kisha kuomba kuvunja uchumba wetu. Sikuchukua muda tena kulifikiria hilo. Nimekubali na kumtakia kila la kheri katika maisha yake mengine.

NITASIMAMA NA RAFIKI YANGU!
Unaezua bati nyumbani kwako, ila ukaezeke choo cha jirani
 
Siyo kosa la wanawake ni kosa la mitazamo ya jamii zetu

Mkuu kumbuka mwanaume anaweza kuoa hata akiwa na 50 na jamii ikaona kawaida, ila mwanamke akifika 30 tu jamii inaanza kumnyooshea vidole, na kumtupia maneno yote mabaya

Na hiyo ndio sababu kubwa mwanamke akikaa kwenye uchumba miaka halafu mwanaume akamuacha, lazima aumie zaidi sababu amempotezea muda, ukizingatia atakayetukanwa ni yeye na siyo mwanaume eleweni hilo kwanza
Mpaka sasa wanawake wamevunja mitazamo ya kijamii mingapi na mbona hawajilaumu ila ndoa tu ndio mlaumu. Umenyooshewa vidole vingapi mbona umeviignore na unaishi mpaka leo ila ndoa tu ndio uone mtazamo wa jamii ndio shimo la kujitetea. Umalaya katika jamii linamtazamo hasi saana ila kila leo wanawake wanacheza kuonyesha matako na kuonyesha mwili hata pasipotakiwa maana hadi tiktok wanajiuza na wanaendelea pasipo kujali mtazamo wa jamii au vidole wanyooshewavyo. Tena mpaka sasa imekuwa ndio habari ya mjini. Leo wewe uje useme ni mtazamo wa jamii na umepotezewa muda. In what sense! Unajua pesa zinazotafutwa sister, natumai unajua, tunapoteza pesa nyingi mno kwa mwanamke na bado mnakuja kuachana na humdai mtu hizo pesa, kwani kwa mtazamo wa jamii huyo mwanaume si mjinga na hana akili na amechezea muda na pesa kwamtu aliyemletea nothing but misery. Acheni utoto na kujifanya mmeonewa zaidi sababu tu either umekosea kuchagua vyema au uvumilivu huna, maamuzi ya kuishi na huyo mtu I don't know in how many years ulichagua wewe ukikosea still it's on you. Eti muda, unafikiri pesa mnazoziona za thamani zinatengenezwa bila kupata muda. Women like manipulation and victimization, sijui kwanini. Au unajua mwanaume jamii haijamuwekea mitazamo, acheni huo ujinga na ubinafsi inazidi kumfanya kila mwanaume amuone mwanamke wakizazi hiki cheap na kutafakari sana juu ya ndoa. Ukisoma unatakiwa kuishi kwa logic na akili. Mmepata elimu sasa acheni maisha ya hisia na visingizio. Everyone has a time frame and you're not the only ones who gets failures and society prejudices.
 
Hakutaka kusubiri. Huyu mwamba amekuwa nami katika kila hali kabla mimi sijkaa sawa. Ni mateso kwangu kumuona anahangaika. Ngoja mwanamke aondoke. Muda sahihi ukifika atapatikana mwingine.
Angalia pia isije ikawa ndo mwanzo wa majuto kwako.
 
Shika toto ya Mutu tia Mimba, kisha ijilete yenyewe kukaa na wewe, ukiulizwa mahar sema sina. 😂😂😂

Usije hapa kutuambia unaachia Pisi kijinga jinga hivo 😐
 
Mwamba kwanza hongera kwa kutambua shida ya rafiki yako...but umefanya kosa ambalo litakutesa maishani...kwenye suala LA kujitambulisha na ndoa hapahitaji mzaha kabisa. Pale ndipo penye baraka na mikosi pia.
Tayari umeanza na mkosi,machozi ya huyo Dada+aibu atakayopata+fedheha kwa wazazi wake ni KARMA ya milele.
Utahangaika sana. Pole.
Sikweli, maana mwamba hakumfukuza wala hakusitisha kutoa mahari bali aliyesitisha ni binti, acha kutishana. Pia achana na maconspiracy theory, mabinti wamelizwa na watu wao uko zamani sana ndio maana hawapo bikra, leo umtupie lawama jamaa.
 
Umefanya jambo la maana sana miezi 24 huyo shemeke wetu kashindwa kukubebea hata kitoto? Pinga kulipa mahari kataa ndoa. Shirikiana na msela mwenzio. 2.5M unalipa mahari haloooo unaujasiri sana tena sana. Kabila gani huyo shemeki. Hahahahahahahaha ***** hapo ukweni umewatia kizunguzungu.
 
Back
Top Bottom