Nimesoma kitabu cha Evarist Chahali na kukatishwa tamaa

TISS enzi za mwalimu haikuwepo. Huyo Mzena hakuwa Mkurugenzi wa TISS wala Hassy Kitine hakuondolewa akiwa Mkurugenzi wa TISS kwa kuwa haikuwepo.

Nisaidie ilikuwa ni nini waliyoongoza akina Mzena na Kitine.
 
Nisaidie ilikuwa ni nini waliyoongoza akina Mzena na Kitine.
TISS ilianzishwa mwaka 1996 chini ya utawala wa Benjamin Mkapa akiwa Rais. Kabla ya hapo TANU Youth League na baadae UVT (Umoja wa Vijana Tanzania) ndio walikuwa wanatoa hao walioitwa "Usalama wa Taifa" ambao ndiyo kina Mzena na Kitine wamo kwenye zama hizo.
 

Kumbe wale wale Praise motherfvcken Team!

Magufuli this,Magufuli that...

Tired already!
 
Umeongea ukweli mtupu, ila kilichosemwa sio cha kupuuzwa.
 
Uchaguzi huru? mtu anaogopa mpaka bendera za chama pinzani atakubali uchaguzi huru? wanaomshangilia na mabwege
Hao wananchi wanaompenda Mobutu wako wapi, angeacha uchaguzi wa serikali za mitaa akaapata aibu ya karne ambavyo angeangukia pua. Endeleeni kumdanganya na kujifurahusha kwa matumaini hewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnaobeza kazi za CHAHALI mi nawambia tupo mashabiki wengi wa kazi zake hapa nchini!!!Team chahali npo hapa!!!HALAFU jamaa alijuaje kuwa kipilimba yupo loyal kwa membe tena anamfanyia kazi ndani kitengo???ina maana zile teka teka zilikuwa na lengo la kumchafua jiwe?na zile risasi pia????
 
Aaaargh qumamamaqe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi huwa nasema kama Usalama wa Taifa ina akina Chahali basi tuna shida sana. Chahali hata akili tu unamwona hana. Halafu anadhani anazo...ndo hapo huwa napata shida zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…