Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TISS ilianzishwa mwaka 1996 chini ya utawala wa Benjamin Mkapa akiwa Rais. Kabla ya hapo TANU Youth League na baadae UVT (Umoja wa Vijana Tanzania) ndio walikuwa wanatoa hao walioitwa "Usalama wa Taifa" ambao ndiyo kina Mzena na Kitine wamo kwenye zama hizo.Nisaidie ilikuwa ni nini waliyoongoza akina Mzena na Kitine.
Nilinunua kitabu cha "KUPANDA NA KUSHUKA KWA KIPILIMBA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TISS" kilichoandikwa na Bwana Evarist Chahali.
Kwa kweli lazima nieleze kuwa Mimi nina uchu sana wa kujua masuala ya usalama wa Taifa tangu nikiwa mdogo.Huwa najiuliza kwa nini sipati jibu. Nilikuwa na mategemeo makubwa kujua hasa ni sababu ipi iliyofanya Kipilimba atimuliwe lakini sikupata jibu katika kitabu hicho.
Pia mwandishi anaeleza kwa kujiamini kuwa Kipilimba ni Mkurugenzi wa kwanza wa TISS kutumbuliwa tangu Tanzania izaliwe.Jambo hili siyo kweli. Mwaka 1975 Nyerere alimfukuza kazi Emirius Mzena baada ya kuonekana kuna "uhuni na majungu" kwenye idara.
Lakini pia Dokta Kitine anasimlia kuwa alitimliwa mwaka 1980 na nafasi yake kuchukuliwa na mhehe mwenzake Dokta Mahiga. Kitine alieleza sababu za kutimliwa kuwa ni kununua gari bila kumtaarifu Mwalimu jambo ambalo lilitafsiriwa kuwa alikwepa kulipa kodi na aliiba pesa ya mwajiri wake.
Evarist anajitahidi sana kutujuza masuala ya usalama wa Taifa wa Tanzania, lakini napenda kuthibitisha kuwa Rais Magufuli hachukiwi kwa kiasi alichoeleza Chahali. Wananchi wa kawaida wanampenda mno Rais Magufuli.
Hao watu wa kawaida wanaompenda rais wako wapi ?? Mbona Mimi wa kawaida na simpendi Rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ukweli mtupu, ila kilichosemwa sio cha kupuuzwa.Yaani unapoteza pesa yako kununua kitabu kilichoandikwa na Evarist Chahali ili upate maarifa zaidi?
Mtu anayejielewa na kumuelewa Chahali atanunua kitabu chake ili kujua ni kiwango gani cha ujinga alioweka ndani ya kitabu chake!
Ulichofanya hakina tofauti na mtu kichaa aje achukue nguo zako wakati unaoga bafuni halafu uanze kumkimbiza ukiwa uchi na baadaye useme, nilidhani nitamkamata!
Naomba ujue kuwa ''dish'' la Chahali limeyumba!
Umejuaje ni wakaka wote 10 kwani kitengo hakuna wanawake?muamzisha mada na wachangiaji 10 wa mwanzo shkamoni kaka zangu nawasalimu 🏃🏿♂️
Kwa ivo wachangiaji 10 wa kwanza wote ni watu wa Kitengo?? Aisee!!Umejuaje ni wakaka wote 10 kwani kitengo hakuna wanawake?
Hao wananchi wanaompenda Mobutu wako wapi, angeacha uchaguzi wa serikali za mitaa akaapata aibu ya karne ambavyo angeangukia pua. Endeleeni kumdanganya na kujifurahusha kwa matumaini hewa.
Aaaargh qumamamaqe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kitu cha kwanza unachotakiwa kupima kwenye merit ya kitabu kabla yakupoteza muda wako angalia nani publisher na reputation ya kampuni.
Ndio maana mzee Mohammed Said huwa anajitapa chake kimechapwa na Oxford University Press. That is a big endorsement ina maana wanakubali research na facts za kitabu.
Hakuna publisher ata back kitabu ambacho hakina merit ya subject matter, even fiction book has to resemble facts.
The mere fact kitabu kakichapa mwenyewe Chahali na kampuni yake ya ‘AdelPhil Consultancy’ tena ni zile kampuni ambazo waafrika wanafungua kuombea hela za kusaidia afrika kwa wazungu. Ina maana humo ndani ya kitabu utakuta upuuzi mtupu kumejaa opinion tu and nothing of substantiation facts.
Kama mtu ana muda wa kupoteza anaweza pata bure tu kitabu chenyewe
![]()
Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani? Na Anafanya Nini?
Kitabu hiki adimu kinaelezea kwa kina kuhusu fani nyeti ya Uafisa Usalama wa Taifa (ushushushu). Maelezo hayo yanahusu maana ya Uafisa Usalama wa Taifa, watu wanaojihusisha na fani hiyo, jinsi wanavyopatikana, mafunzo yao, maisha yao kazini, na changamoto mbalimbali kitaifa na kimataifa...books.google.co.uk
Mimi huwa nasema kama Usalama wa Taifa ina akina Chahali basi tuna shida sana. Chahali hata akili tu unamwona hana. Halafu anadhani anazo...ndo hapo huwa napata shida zaidi.Nilinunua kitabu cha "KUPANDA NA KUSHUKA KWA KIPILIMBA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TISS" kilichoandikwa na Bwana Evarist Chahali.