Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, arejeshwa Gerezani baada ya Kesi ya Mgawanyo wa Mali kufutwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Juni 2, 2026, .

Akizungumza mahakamani hapo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa walipofika mahakamani waliarifiwa kuwa Lissu alifikishwa kwa ajili ya kesi inayohusiana na mgawanyo wa rasilimali za chama, ambayo awali aliiomba aunganishwe kama Mwenyekiti.

Hata hivyo, Heche ameeleza kuwa kesi hiyo inayohusishwa na mgawanyo wa rasilimali za chama kwakuwa tayari ilishafutwa, hivyo imeona hakuna uamuzi wowote utakaofanyika kisheria, hivyo Lissu amerejeshwa gerezani.

Kwani hakuna mawasiliano baina ya Magereza na Mahakama hadi kumsumbua kwa kesi ambayo ilifutwa tangu wiki mbili zilizopita?

Serikali wawe serious badala ya kushughulikia kesi yake Mama ya Uhaini, kwa kuharakisha usikilizwaji wake wao wanachezea muda kwenye kesi ya Mali ambayo ilifutwa tangu mwezi uliopita
 
Gentleman,
vipi alichana nywele leo au kama kawaida kuzitibua kibandidu?

vipi contena la ubwabwa alikuja nalo kama kawaida yake?

na ile smile ya kinafiki aliitoa? na mazingaumbwe yake ya kukunja ngumi na kupiga mayowe alifanya tena, maana sina muda wa kuangalia video 🐒
 
Ila Muda wa kutype nonsense ndio unao, umejaa tele, kweli kimtokacho mtu ndicho kilicho mjaa ndani yake, Rubbish.
 
gentleman,
kwani ukijieleza bila mihemko kuna tatizo?au ni kipaji 🐒

eleza tu wadau kwamba muungwana muhaini leo kachana nywele ama laa, kaja na kontena la ubwabwa ama laa, kapiga mayowe ama laa, katoa smile la kinafiki ama la na ingependeza zaidi kuliko kuexpose makasiriko yako useless tu 🐒
 
Raisi wa mihemko jamii Forum nzima sio mwingine, bali huyu nyani asiyeona kundule. Kesi ni ya Lisu mihemko ni ya Tlaatlaah
 
Serikali ya huyu mama itaendelea kuchukiwa sana tu kutokana na huu uonevu wao wanaowafanyia Watanganyika.
 
Kuna mpango wa kumdhuru Lissu akiwa nje ya gereza na inawezekana ulikuwa ufanyike leo ila tu kuna mambo hayakwenda kama walivyotarajia, hawa watu wamedhamiria kumuua Lissu baada ya kushindwa kumtia hatiani kwa kesi ya uhaini ambayo wangefanikiwa kumtia hatia wangekwenda kumtia kitanzi hadi afe. Samia anamuogopa mno Lissu ndiyo maana ameagiza auwawe kwa njia yoyote ile.
 
Gentleman,
vipi alichana nywele leo au kama kawaida kuzitibua kibandidu?

vipi contena la ubwabwa alikuja nalo kama kawaida yake?

na ile smile ya kinafiki aliitoa? na mazingaumbwe yake ya kukunja ngumi na kupiga mayowe alifanya tena, maana sina muda wa kuangalia video 🐒
1780400358369.png
 
This is the trending news. Imekuwaje?
Nasikia eti kulikuwa na proposal ya kumuachia?
 
Kwani hakuna mawasiliano baina ya Magereza na Mahakama hadi kumsumbua kwa kesi ambayo ilifutwa tangu wiki mbili zilizopita?

Serikali wawe serious badala ya kushughulikia kesi yake Mama ya Uhaini, kwa kuharakisha usikilizwaji wake wao wanachezea muda kwenye kesi ya Mali ambayo ilifutwa tangu mwezi uliopita
Hapo kuna watu waliona leo hakuna hela ya bia wakatengeneza tukio wapate allowances
 
Alivyo hana aibu akaingia uchaguzini huku mpinzani wake mkuu kamweka jela kwa kesi za kupandikiza, huyu bibi hana aibu kabisa
 
Gentleman,
vipi alichana nywele leo au kama kawaida kuzitibua kibandidu?

vipi contena la ubwabwa alikuja nalo kama kawaida yake?

na ile smile ya kinafiki aliitoa? na mazingaumbwe yake ya kukunja ngumi na kupiga mayowe alifanya tena, maana sina muda wa kuangalia video 🐒
Kazi anayoiweza shetani Samia!
Screenshot_20260530-125738~2.png
 
Back
Top Bottom