Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, arejeshwa Gerezani baada ya Kesi ya Mgawanyo wa Mali kufutwa

Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, arejeshwa Gerezani baada ya Kesi ya Mgawanyo wa Mali kufutwa

Kuna mpango wa kumdhuru Lissu akiwa nje ya gereza na inawezekana ulikuwa ufanyike leo ila tu kuna mambo hayakwenda kama walivyotarajia, hawa watu wamedhamiria kumuua Lissu baada ya kushindwa kumtia hatiani kwa kesi ya uhaini ambayo wangefanikiwa kumtia hatia wangekwenda kumtia kitanzi hadi afe. Samia anamuogopa mno Lissu ndiyo maana ameagiza auwawe kwa njia yoyote ile.
Nina wasiwasi sana ,pengine ilikua ni ujanja TU wa kumtoa gerezani ili wapulize /wawele sumu halafu kisha wakamrudisha tena gerezani,watu weongea sana juu ya tuhuma hiZi.
 
gentleman,
kwani ukijieleza bila mihemko kuna tatizo?au ni kipaji 🐒

eleza tu wadau kwamba muungwana muhaini leo kachana nywele ama laa, kaja na kontena la ubwabwa ama laa, kapiga mayowe ama laa, katoa smile la kinafiki ama la na ingependeza zaidi kuliko kuexpose makasiriko yako useless tu 🐒
Mihemko unaianza , ukijibiwa unaleta useless na nonsense zako.

Ukiombwa ushahidi wa kosa lolote la Lisuu kwa miaka 30 iliyopita kwa video ,au audio utaaibika maana huna.

Ila damu za watu lazima zikubadilishe akili, uanze kutukana na kusingizia na kuongopa.
 
Gentleman,
ushahidi wote ni mahakamani na sio humu jukwaani ambapo mnambwelambwela mambo useless tu kutafuta kiki za kijinga na public sympathy ambazo hazina athari zozote 🐒
 
Back
Top Bottom