Nimesoma makala ya Paschal Mayalla "Huyu ndiye Mwalimu Nyerere ninayemfahamu" simwelewi kabisa: Critical analysis

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
15,415
Reaction score
29,584
Nianze na jambo dogo kuhusu hii makala ya Mheshimiwa Paschal Mayalla. Kwanza niseme wazi, bila kumung'unya maneno. Unasoma karibu 50% ya mwanzo wa makala hiyo huku unajiuliza hii ni makala kuhusu Paschal Mayalla mwenyewe au Nyerere? Hilo tuliache.

Tuje umalizio wa makala yenyewe. Hapo ndipo Mkuu Mayalla amelikoroga kabisa. Anadiriki kumsema Samia ni mkali kama Nyerere; really Mayalla? Samia ni mkali katika mambo gani kama Nyerere? Kushughulika na wapinzani? Kuiteteta Katiba na utawala wa sheria? Kuchukia rushwa? Kutotumia nafasi yake kujitajirisha? Kuwa mdini katika teuzi? Kutumia madaraka yake kupendelea upande wa Zanzibar? Kudhoofisha muungano kwa kuwaruhusu Zanzibar wafanye mambo ambayo yako ndani ya muungano?

Hivi unawezaje hata kuwa na wazo la kulinganisha ukali wa Nyerere na Samia? Labda ni wakali kweli, lakini basi ulipaswa kusema ni wakali katika completely opposite directions - kwa mfano, kwamba Nyerere alichukia sana rushwa, na Samia anachukia sana anapoambiwa analea wala rushwa (mafisadi) nchini! Nyerere aliitetea katiba kwa nguvu zote na Samia anaibeza katiba kwa nguvu zake zote! Fikiria maneno ya Samia juu ya katiba - kijitabu tu; angethubutu kuyasema Nyerere akiwa hai? Siku hiyo ndio ingekuwa mwisho wa uraisi wake!

Kitendo cha Paschall kumweka Samia na Nyerere katika skeli ya ukali ni kuchafua kumbukumbu ya baba yako ambae alikuwa victim wa ukali wa Nyerere akiwa polisi!

Nyerere angeamua kutumia watoto wake kujitajirisha, basi leo hao kina Mako wangekuwa wanaishi kama masultan wakinukia utajiri! Nasi asiejua utajiri wa Dula umekuja baada ya mama yake kuwa raisi? Samia anakuwa raisi kwa miaka mitano, Dula anakuwa tajiri mmoja wapo mkubwa Tanzania. Nyerere anakuwa raisi kwa miaka 23, watoto wake bado wanaishi kwa mishahara na pension. Halafu unadiriki kumlinganisha Samia na Nyerere wakati wa kumbukumbu ya Nyerere? Kwa nini usitafute kebehi ya aina nyingine?

Haya, tuje kwenye tukio la Ockoba 29. Kwa masikitiko makubwa sana, Mayalla anadiriki kusema "Kilichotokea Oktoba 29, ni kikubwa kuliko kilichotokea mwaka 1976, hivyo hii ni fursa kwa Raisi Samia kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kumuishi". Haya ni matusi kwa Nyerere!!!!

Hivi Paschal, ina maana alietoa maelekezo ya Polisi kutumia risasi dhidi ya waandamaji ni nani, sio Samia? Alieona askari wa bara wanaweza wasitii amri ya kuua hivyo waletwe askari toka Zanzibar ni nani, sio Samia? Aliewasifia Polisi kufanya kazi nzuri kwa kuua waandamanaji ni nani, sio Samia? Aliekebehi waliofiwa kwa tukio la Oktoba 29 kwamba kwa nini wasiwazuie watoto wao kutoka ni nani, sio Samia? Sasa leo hii, Mayalla unadiriki kusema Samia atumie Oktoba 29 kumuishi Nyerere, hivi uko sawa kweli? Kwamba Raisi Samia afanyeje, amwambie DPP amfungulie mashitaka ili Samia apelekwe mahakamani kwa tukio la Oktoba 29?

Kwa kweli hapa Mayalla umenisikitisha sana. Umejiharibia sana heshima yako ya uandishi wa habari.

Hapo chini ni Makala Ya Pascal Mayalla

Jumatano ya leo Oktoba 14 ni siku ya bahati, imeangukia Nyerere Day, hivyo naomba tutafakari jinsi sisi Watanzania, viongozi wetu na Mtanzania mmoja mmoja tunavyomuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Je, tunamuenzi kweli kwa mawazo, maneno na matendo? Je, viongozi wetu wanamuishi?

Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere sio tu alikuwa ni mwasisi wa CCM, mpaka kifo chake aliiamini CCM, hivyo hata baada ya Tanzania kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992, bado aliamini kuwa wapinzani wanaweza kuleta wabunge bora, na hili tumelishuhudia kwa baadhi ya wabunge wa upinzani, walikuwa ni wabunge bora kabisa, lakini kwenye urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Nyerere aliamini: “Rais bora atatoka CCM pekee”.

Je, kwa hali ya siasa zetu za Gen Z, huu mtazamo wa Mwalimu Nyerere bado unaishi nchini mwetu au kuna siku upinzani unaweza kuja kushika nchi?

Nilivyomfahamu Nyerere

Nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 1960, hivyo tangu nimepata akili za kujitambua, nimesoma shule ya msingi na sekondari enzi za Rais Nyerere, na kumuona kwenye magazeti na kumsikiliza kwenye redio.

Nimeishuhudia kwa macho CCM ikizaliwa. Ile kauli ya kila lenye mwanzo...Mwaka 1977 wakati CCM inazaliwa, nilikuwa darasa la tatu. Ule msemo wa kila lenye mwanzo lina mwisho, sio msemo wa ukweli, ni uongo, sio kila lenye mwanzo lina mwisho, mfano hai ni CCM ina mwanzo tu.

Nilimuona Nyerere kwa mara ya kwanza mwaka 1978, baada ya kuja kuishi jijini Dar es Salaam kwenye familia ya baba yangu mdogo, Mzee Mathew Kasanga, eneo la Drive In, kanisa letu ni St. Peters, hivyo siku ya kwanza napelekwa kanisani, ndio mara ya kwanza kumuona Mwalimu Nyerere, alikuwa anasali pale.

Wakati wa kutoka nikaona watu wanatoka kanisani haraka na kupanga foleni pale nje kwenye ngazi kumsubiri Nyerere atoke. Alipotoka akawa anawasalimia watu kwa kuwashika mkono. Jumapili iliyofuata na mimi nikapanga foleni, nikasalimiwa kwa kushikwa mkono na Nyerere. Nilifurahi sana, nikataka nisinawe ili nisifute ule mkono wa Nyerere.

Baadaye, nikawa mtumishi wa kanisa, nikawa naomba kupangiwa misa ya kwanza, hivyo nikawa namhudumia Mwalimu Nyerere kwa kumshikia kisahani cha hostia, na ndipo pia nikayaona meno yake kwa karibu na kuijua maana ya jina la Mchonga.

Tangu hapo nikawa namfuatilia sana, ile hotuba yake ya kutangaza vita, nikaikariri baadhi ya maneno na kumuiga: “Uwezo wa kumpiga tunao, sababu ya kumpiga tunayo, nia ya kumpiga tunayo. Tutampiga Amin.”

Mwaka 1979 kwenye mapokezi ya mashujaa wetu pale Uwanja wa Taifa, nilikuwepo na kumshuhudia Mwalimu machozi yakimtoka kutokana na lile tukio.

Baada ya kumaliza shule ya msingi, familia ya Mzee Kasanga ikahamia Mikocheni, opposite na Msasani kwa Nyerere, mimi nikajiunga sekondari ya Tambaza, tulikuwa darasa moja na mmoja wa watoto wa Msasani kwa Nyerere, akiishi hapo Msasani, sasa kwa Nyerere, tukawa tunakwenda kucheza.

Baada ya Tambaza nikaenda Ilboru Arusha, nikapelekwa nyumbani kwa Makongoro Nyerere, enzi hizi Mako ni mjeshi. Nilipelekwa pale na Rastafarian mmoja, mdada wa Kijamaica aliyelowea Tanzania akiitwa Gipsy, tukatokea kupatana sana na Mako, maana ndege wafafanao huruka pamoja. Siku za weekend ni usawa wa Cave, kiukweli sijui alikuwa anarudi nyumbani saa ngapi.

Baada ya sekondari nikajiunga na Chuo cha Uandishi Habari (TSJ), ndipo Jumapili moja asubuhi, nikafuatwa jamaa fulani mweupe, ana bonge la afro na gari sports car nyekundu na kujitambulisha “mimi ni Madaraka Nyerere, mtoto wa Nyerere, unahitajika Msasani kwa Nyerere.”

Niliitikia wito na kutakiwa kuwa MC kwenye harusi ya Binti wa Nyerere. Hapo ndiyo mara yangu ya kwanza kuwa karibu na Nyerere.

Baada ya kuhitimu TSJ, niliajiriwa Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD), kufuatia kazi ya uandishi nikawa napangiwa matukio ya Nyerere, na baada ya kung’atuka, safari yake ya mwisho kabla hajaanza kuumwa, ilikuwa ni Bern nchini Uswisi, nilisafiri naye na kumfanyia mahojiano.

Baada ya kurejea nchini, ndipo alianza kuugua, mimi ni miongoni mwa waandishi wa habari tulioandamana na Rais Mkapa kumtembelea Mwalimu katika Hospitali ya St. Thomas, Uingereza na baada ya kufariki, mimi ni mmoja wa tuliomsindikiza mpaka kwenye makao yake ya milele, Mwitongo, Butiama.

Kwa upande wa viongozi wetu, aliyemuenzi Nyerere kwa vitendo ni Rais wa awamu ya tano, John Magufuli kwa kuichukia rushwa, serikali kuhamia Dodoma na kufua umeme wa Bwawa la Stigler Gorge, sasa ukijulikana kama JNHPP.

Rais Samia ana fursa adimu na adhimu mbili za kumuenzi Mwalimu Nyerere. Kwanza, ni kwa kuwa mkali kama Nyerere kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025 kwa kuwachukulia hatua kali, kama Nyerere alizochukua mwaka 1976 baada ya kutokea vifo vya mahabusu wanne mikononi mwa polisi.

Aliifumua kuanzia juu kwa makamu wa pili wa rais, Rashidi Kawawa kuondolewa, mawaziri wa mambo ya ndani, Ali Hassan Mwinyi na Waziri wa Usalama, Peter Siovelwa walilazimishwa kujiuzulu. IGP Samue Pundugu na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (DGIS), Emelio Mzena, walistaafishwa kwa manufaa ya umma, wakuu wa mikoa ya Mwanza na Shinyanga, Peter Kisumo na Marko Mabawa walitenguliwa, kisha RPC,RSO, OCD na DSOs wa Mwanza na Shinyanga walipandishwa kizimbani kwa kesi ya mauaji Mwanza na Shinyanga.

Kilichotokea Oktoba 29, ni kikubwa kuliko kilichotokea mwaka 1976, hivyo hii ni fursa kwa Rais Samia kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kumuishi.

Pili, ni kupitia Katiba mpya, falsafa ya Nyerere ilikuwa ni serikali mbili, kuelekea serikali moja, hivyo Tanzania kuwa nchi moja, serikali moja na rais mmoja. Kwa mujibu wa mwelekeo wa siasa zetu, ndoto ya Mwalimu ya kuwa nchi moja na serikali moja, inaweza kutimia tu kipindi ambacho rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatoka Zanzibar.

Pumzika Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, mwendo uliumaliza, imani uliilinda.

Tutaendelea kukukumbuka daima dumu.
 
Nianze na jambo dogo kuhusu hii makala ya Mheshimiwa Paschal Mayalla. Kwanza niseme wazi, bila kumung'unya mamneno. Unasoma karibu 50% y mwanzo wa makala hiyo huku unajiuliza hii ni makala kuhusu Paschal Mayalla mwenyewe au Nyerere? Hilo tuliache.

Tuje umalizio wa makala yenyewe. Hapo ndipo Mkuu Mayalla amelikoroga kabisa. Aanadiriki kumsema Samia ni mkali kama Nyerere; really Mayalla? Samia ni mkali katika mambo gani kama Nyerere? Kushughulika na wapinzani? Kuiteteta Katiba na utawala wa sheria? Kuchukia rushwa? Kutotumia nafasi yake kujitajirisha? Kuwa mdini katika teuzi? Kutumia madaraka yake kupendelea upande wa Zanzibar? Kudhoofisha muungano kwa kuwaruhusu Zanzibar wafanye mambo ambayo yako ndani ya muungano?

Hivi unawezaje hata kuwa na wazo la kulinganisha ukali wa Nyerere na Samia? Labda ni wakali kweli, lakini basi ulipaswa kusema ni wakali katika completely opposite directions - kwamba Nyerere alichukia sana rushwa, na Samia anachukia sana anapoambiwa analea wala rushwa (mafisadi) nchini!

Kitendo cha Paschall kumweka Samia na Nyerere katika skeli ya ukali ni kuchafua kumbukumbu ya baba yako ambae alikuwa victim wa ukali wa Nyerere akiwa polisi!

Nyerere angeamua kutumia watoto wake kujitajirisha, basi leo hao kina Mako wangekuwa wanaishi kama masultan wakinukia utajiri! Nasi asiejua utajiri wa Dula umekuja baada ya mama yake kuwa raisi? Samia anakuwa raisi kwa miaka mitano, Dula anakuwa tajiri mmoja wapo mkubwa Tanzania. Nyerere anakuwa raisi kwa miaka 23, watoto wake bado wanaishi kwa mishahara na pension. Halafu unadiriki kumlinganisha Samia na Nyerere wakati wa kumbukumbu ya Nyerere? Kwa nini usitafute kebehi ya aina nyingine?

Haya, tuje kwenye tukio la Ockoba 29. Kwa masikitiko makubwa sana, Mayalla anadiriki kusema "Kilichotokea Oktoba 29, ni kikubwa kuliko kilichotokea mwaka 1976, hivyo hii ni fursa kwa Raisi Samia kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kumuishi". Haya ni matusi kwa Nyerere!!!!

Hivi Paschal, ina maana alietoa maelekezo ya Polisi kutumia risasi dhidi ya waandamaji ni nani, sio Samia? Alieona askari wa bara wanaweza wasitii amri ya kuua hivyo waletwe askari toka Zanzibar ni nani, sio Samia? Aliewasifia Polisi kufanya kazi nzuri kwa kuua waandamanaji ni nani, sio Samia? Aliekebehi waliofiwa kwa tukio la Oktoba 29 kwamba kwa nini wasiwazuie watoto wao kutoka ni nani, sio Samia? Sasa leo hii, Mayalla unadiriki kusema Samia atumie Oktoba 29 kumuishi Nyerere, hivi uko sawa kweli? Kwamba Raisi Samia afanyeje, amwambie DPP amfungulie mashitaka ili Samia apelekwe mahakamani kwa tukio la Oktoba 29?

Kwa kweli hapa Mayalla umenisikitisha sana. Umejiharibia sana heshima yako ya uandishi wa habari.

Refer: https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/huyu-ndiye-mwalimu-nyerere-ninayemfahamu-5631072
Pascal Mayalla amechoka sana. Kuwa chawa si kazi ndogo
 
Nianze na jambo dogo kuhusu hii makala ya Mheshimiwa Paschal Mayalla. Kwanza niseme wazi, bila kumung'unya maneno. Unasoma karibu 50% y mwanzo wa makala hiyo huku unajiuliza hii ni makala kuhusu Paschal Mayalla mwenyewe au Nyerere? Hilo tuliache.

Tuje umalizio wa makala yenyewe. Hapo ndipo Mkuu Mayalla amelikoroga kabisa. Anadiriki kumsema Samia ni mkali kama Nyerere; really Mayalla? Samia ni mkali katika mambo gani kama Nyerere? Kushughulika na wapinzani? Kuiteteta Katiba na utawala wa sheria? Kuchukia rushwa? Kutotumia nafasi yake kujitajirisha? Kuwa mdini katika teuzi? Kutumia madaraka yake kupendelea upande wa Zanzibar? Kudhoofisha muungano kwa kuwaruhusu Zanzibar wafanye mambo ambayo yako ndani ya muungano?

Hivi unawezaje hata kuwa na wazo la kulinganisha ukali wa Nyerere na Samia? Labda ni wakali kweli, lakini basi ulipaswa kusema ni wakali katika completely opposite directions - kwa mfano, kwamba Nyerere alichukia sana rushwa, na Samia anachukia sana anapoambiwa analea wala rushwa (mafisadi) nchini! Nyerere aliitetea katiba kwa nguvu zote na Samia anaibeza katiba kwa nguvu zote!

kwani wewe hua unaelewa gentleman bila kupigwa konzi la utosi?🐒
 
Ngumu kunielewa if you are biased
 
Nianze na jambo dogo kuhusu hii makala ya Mheshimiwa Paschal Mayalla. Kwanza niseme wazi, bila kumung'unya man

Refer: https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/huyu-ndiye-mwalimu-nyerere-ninayemfahamu-5631072
Pascal Mayala ana tatizo kubwa na llinaweza kudadavuliwa katika njia kuu kama zifuatazo.

Kwanza, ni mwandishi anayependa kuandika makala ambazo kiuhalisia ni mawazo yake mwenyewe, bila uchambuzi wa kina. Maneno yanakuwa mengii ya kuremba bila kuwa na critical analysis.

Pili, nina wasi wasi na influence ya background ya Pasco, maana familia yake ilikuwa ndani ya Idara(TISS), hizo connections huwa ni za maisha. Hivyo anaweza kuwa anaandika kutowaudhi peers wake.

Tatu, kisiasa huwa Pasco ana ile appeasement, yaani kuwafurahisha wakubwa kwa kutowaambia kile wanachotakiwa kuwaambia kinagaubaga. Hilo ni weakness kubwa.

Nne, Pasco ni mwanasheria, ila sidhani kama ame practice, sijui. Sheria inataka strict precedence ya matukio unayoweza kuya refer kwa matumizi ya baadaye, kama authority ya argument yako. Sijaona katika makala za Pasco akiuonyesha umahiri wa kisheria as an input katika uandishi.

Tano, Pasco hayumo kabisa katika Investigative Journalism. Hii ni sehemu hatari na Pasco analijua hilo, hivyo analikwepa.

Mkuu https://www.jamiiforums.com/members/synthesizer.21627/, ukielewa opinions zangu, kidogo waweza kumwelewa https://www.jamiiforums.com/members/pascal-mayalla.17813/.
Ila kimsingi ni uhayawani kumlinganisha Mama Samia na Mwalimu Nyerere.
 
Pascal anazeeka vibaya sana na anatia aibu jf
Kuna uwezekano anatakiwa kustaafu. Huwa anasema amejiajiri.

Kama uandishi wa habari ni kazi kama kazi nyingine, inatakiwa astaafu hata wenye kujiajiri, kuna wakati wanastaafu.

Something ain’t right about that old man. He needs to retire for chrissakes.
 
kwani wewe hua unaelewa gentleman bila kupigwa konzi la utosi?🐒
Leo naona umejisahau! Ukiandika nyuzi zako wanajamvi wakikutukana unawaambia wajibu hoja na waelekee zaidi kwenya mada uliyoiongelea😀😀cha kushangaza huu Uzi hauna majibu nao umeamua kujibu upumbavu.

Kweli nimeamini CCM hawanaga hoja za msingi na ili hoja zijibiwe mpaka vikao vya kamati kuu zifanyike ndo mnajitutumua kujibu hoja nyepesi nyepesi Tlaatlaah Leo nimekuona we ni mjinga
 
umesahau kutukana na kuporomosha matusi gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom