Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
- Thread starter
- #61
Very interesting Paschal. Nadhani nakuelewa, na nimekuelewa kwa muda mrefu. I am probably a few of those that can read between the lines. Ndio maana nilisema hapo juu, sometimes message inakuwa delivered sarcastically, but then, play the sarcasm card where there are enough readers that are intelligent enough to understand sarcasm. La sivyo Kiranga could have a point in what he says.Mkuu Synthesizer, kwanza asante sana kuisoma makala yangu na kuianzishia thread, nimeitembelea kule, imekula hits za kutosha. Sisi waandishi wa habari wa magazeti, ukiisha andika, ndio umemaliza, hujui kama kuna mtu amesoma au ni umejiandikia tuu, hivyo kitendo cha mtu mmoja kusoma na kuchambua, ni faraja kubwa kwangu, thanks kwa kunisoma, japo hukunielewa, hivyo nitakwenda na wewe mdogo mdogo hadi ama utaelewa, ama mzito kuelewa na mwisho wa siku, tutafikia mahali, ama tukubaliane, ama tusikubaliane hivyo kufikia kukubaliana kutokubaliana.
P.
Kwa mfano niulize, unapoandika makala ili watu wa-read between the lines, how many of your audience will be able to read between the lines, na wangapi wataona it is what it is? Sasa kama kundi la wale wanaoona it is what it is ni wengi zaidi ya wale wenye uwezo wa ku-read between the lines, then objective yako inakuwa defeated. Raha ya ngoma ni watu wengi kuicheza, sasa ukipiga ngoma wachache wakacheza badili mdundo!