Mkuu
Synthesizer, kwanza asante sana kuisoma makala yangu na kuianzishia thread, nimeitembelea kule, imekula hits za kutosha. Sisi waandishi wa habari wa magazeti, ukiisha andika, ndio umemaliza, hujui kama kuna mtu amesoma au ni umejiandikia tuu, hivyo kitendo cha mtu mmoja kusoma na kuchambua, ni faraja kubwa kwangu, thanks kwa kunisoma, japo hukunielewa, hivyo nitakwenda na wewe mdogo mdogo hadi ama utaelewa, ama mzito kuelewa na mwisho wa siku, tutafikia mahali, ama tukubaliane, ama tusikubaliane hivyo kufikia kukubaliana kutokubaliana.
P.