Wachagaa mkianza kusifiana hadi mnatia kinyaaCDM ni mpango wa Mungu,Kayafa alijaribu mwisho yeye ndo akaenda,lakini wanafiki na makasuku kama voice from within watakuja kupinga huu ukweli.
Kuna mmoja kila post anaweka namba ya simu atakuja kuandika barua ndefu hapa muda sio mrefu.
Uchambuzi uko wapi?Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki?
Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa wamewasilisha maoni. Tofauti ya maoni ya makundi mengine ni kwamba hawa wenzetu walikaa wakachambua nakuandika kitaalamu na kwa lugha ambayo kila mtu akisoma anapata mantiki na anaona vision yao kuhusu mfumo wa uchaguzi nchini
Sina uhakika kama waajiriwa wa CHADEMA wanalipwa kiasi gani ila naamini wanalipwa kidogo kulinganisha na chama tawala.
Je, wanapata wapi wasomi wazuri kiasi hiki wasiopenda maslahi makubwa bali wanapenda itikadi yao? Wanawezaje kusajili watu wenye akili timamu kwa miaka zaidi ya 30 mfululizo?
Viongozi wengi wazuri ndani ya chama cha mapinduzi na wanaokubali mjadala japo kwa kiasi kidogo waliwahi kuwa chadema , viongozi wa vyama vya upinzani karibia wote waliwahi kuwa chadema. Lakini hakuna mwana CCM mwenye nafasi ya uongozi chadema kwa maana hiyo chadema imeweza sana kuwaandaa watu makini na wenye akili timamu ikilinganishwa na taasisi nyingine.
Swali la nyongeza, ni kweli kwamba haya maoni yameandikwa na wana chadema au wamelipwa washauri kutoka Mataifa na vyuo vikubwa Duniani? Kama wameandika wenzetu watanzania ; tunaweza kufahamu majina yao? Itatusaidia sana kuwapa mchongo wa kazi za uandishi lakini pia hata waliopo madarakani wanaweza wakawa chukua kuwasaidia kazi.
Huu uchambuzi unanipa moyo kwamba hatuna umuhimu wakutumia makampuni ya kigeni kwenye kesi zetu; tuandae watanzania na kwa kuanza tujifunze kutoka mfumo wa chadema.
Hongereni kwa hatua hii, niwaombe na taasisi nyingine vikiwemo vyama vya siasa waweke wazi maoni yao waliyowasilisha kwa maandishi jamii ione. Tusiwe kama Joseph Selasini ajaandika chochote cha taasisi anakwenda kutoa maoni binafsi kwa niaba ya NCCR.
CDM ndicho chama pekee chenye maono sahihi juu ya hatma iliyo bora ya Tanzania ya kesho. Ni chama ambacho kina hazina kubwa ya viongozi wenye fikra pevu na mbinu sahihi za kuiletea nchi yetu maendeleo ya kweli.Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki?
Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa wamewasilisha maoni. Tofauti ya maoni ya makundi mengine ni kwamba hawa wenzetu walikaa wakachambua nakuandika kitaalamu na kwa lugha ambayo kila mtu akisoma anapata mantiki na anaona vision yao kuhusu mfumo wa uchaguzi nchini
Sina uhakika kama waajiriwa wa CHADEMA wanalipwa kiasi gani ila naamini wanalipwa kidogo kulinganisha na chama tawala.
Je, wanapata wapi wasomi wazuri kiasi hiki wasiopenda maslahi makubwa bali wanapenda itikadi yao? Wanawezaje kusajili watu wenye akili timamu kwa miaka zaidi ya 30 mfululizo?
Viongozi wengi wazuri ndani ya chama cha mapinduzi na wanaokubali mjadala japo kwa kiasi kidogo waliwahi kuwa chadema , viongozi wa vyama vya upinzani karibia wote waliwahi kuwa chadema. Lakini hakuna mwana CCM mwenye nafasi ya uongozi chadema kwa maana hiyo chadema imeweza sana kuwaandaa watu makini na wenye akili timamu ikilinganishwa na taasisi nyingine.
Swali la nyongeza, ni kweli kwamba haya maoni yameandikwa na wana chadema au wamelipwa washauri kutoka Mataifa na vyuo vikubwa Duniani? Kama wameandika wenzetu watanzania ; tunaweza kufahamu majina yao? Itatusaidia sana kuwapa mchongo wa kazi za uandishi lakini pia hata waliopo madarakani wanaweza wakawa chukua kuwasaidia kazi.
Huu uchambuzi unanipa moyo kwamba hatuna umuhimu wakutumia makampuni ya kigeni kwenye kesi zetu; tuandae watanzania na kwa kuanza tujifunze kutoka mfumo wa chadema.
Hongereni kwa hatua hii, niwaombe na taasisi nyingine vikiwemo vyama vya siasa waweke wazi maoni yao waliyowasilisha kwa maandishi jamii ione. Tusiwe kama Joseph Selasini ajaandika chochote cha taasisi anakwenda kutoa maoni binafsi kwa niaba ya NCCR.
Nani ni Mchaga wewe mpumbavu,unadhani kila mmoja ana fikra za kikabila na ukanda kama wewe mpumbavu.Wachagaa mkianza kusifiana hadi mnatia kinyaa
Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki?
Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa wamewasilisha maoni. Tofauti ya maoni ya makundi mengine ni kwamba hawa wenzetu walikaa wakachambua nakuandika kitaalamu na kwa lugha ambayo kila mtu akisoma anapata mantiki na anaona vision yao kuhusu mfumo wa uchaguzi nchini
Sina uhakika kama waajiriwa wa CHADEMA wanalipwa kiasi gani ila naamini wanalipwa kidogo kulinganisha na chama tawala.
Je, wanapata wapi wasomi wazuri kiasi hiki wasiopenda maslahi makubwa bali wanapenda itikadi yao? Wanawezaje kusajili watu wenye akili timamu kwa miaka zaidi ya 30 mfululizo?
Viongozi wengi wazuri ndani ya chama cha mapinduzi na wanaokubali mjadala japo kwa kiasi kidogo waliwahi kuwa chadema , viongozi wa vyama vya upinzani karibia wote waliwahi kuwa chadema. Lakini hakuna mwana CCM mwenye nafasi ya uongozi chadema kwa maana hiyo chadema imeweza sana kuwaandaa watu makini na wenye akili timamu ikilinganishwa na taasisi nyingine.
Swali la nyongeza, ni kweli kwamba haya maoni yameandikwa na wana chadema au wamelipwa washauri kutoka Mataifa na vyuo vikubwa Duniani? Kama wameandika wenzetu watanzania ; tunaweza kufahamu majina yao? Itatusaidia sana kuwapa mchongo wa kazi za uandishi lakini pia hata waliopo madarakani wanaweza wakawa chukua kuwasaidia kazi.
Huu uchambuzi unanipa moyo kwamba hatuna umuhimu wakutumia makampuni ya kigeni kwenye kesi zetu; tuandae watanzania na kwa kuanza tujifunze kutoka mfumo wa chadema.
Hongereni kwa hatua hii, niwaombe na taasisi nyingine vikiwemo vyama vya siasa waweke wazi maoni yao waliyowasilisha kwa maandishi jamii ione. Tusiwe kama Joseph Selasini ajaandika chochote cha taasisi anakwenda kutoa maoni binafsi kwa niaba ya NCCR
Mbona huo uchambuzi huuleti tuuone sore tuliosoma udsm enzi zile za kusoma shera udsm ukiwa na div one pont tatu. Siku hizi hata div four unasoma shria udsm Kama paschal mayala alivyo mweupe kichwani lakini eti amesoma udsmKama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki?
Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa wamewasilisha maoni. Tofauti ya maoni ya makundi mengine ni kwamba hawa wenzetu walikaa wakachambua nakuandika kitaalamu na kwa lugha ambayo kila mtu akisoma anapata mantiki na anaona vision yao kuhusu mfumo wa uchaguzi nchini
Sina uhakika kama waajiriwa wa CHADEMA wanalipwa kiasi gani ila naamini wanalipwa kidogo kulinganisha na chama tawala.
Je, wanapata wapi wasomi wazuri kiasi hiki wasiopenda maslahi makubwa bali wanapenda itikadi yao? Wanawezaje kusajili watu wenye akili timamu kwa miaka zaidi ya 30 mfululizo?
Viongozi wengi wazuri ndani ya chama cha mapinduzi na wanaokubali mjadala japo kwa kiasi kidogo waliwahi kuwa chadema , viongozi wa vyama vya upinzani karibia wote waliwahi kuwa chadema. Lakini hakuna mwana CCM mwenye nafasi ya uongozi chadema kwa maana hiyo chadema imeweza sana kuwaandaa watu makini na wenye akili timamu ikilinganishwa na taasisi nyingine.
Swali la nyongeza, ni kweli kwamba haya maoni yameandikwa na wana chadema au wamelipwa washauri kutoka Mataifa na vyuo vikubwa Duniani? Kama wameandika wenzetu watanzania ; tunaweza kufahamu majina yao? Itatusaidia sana kuwapa mchongo wa kazi za uandishi lakini pia hata waliopo madarakani wanaweza wakawa chukua kuwasaidia kazi.
Huu uchambuzi unanipa moyo kwamba hatuna umuhimu wakutumia makampuni ya kigeni kwenye kesi zetu; tuandae watanzania na kwa kuanza tujifunze kutoka mfumo wa chadema.
Hongereni kwa hatua hii, niwaombe na taasisi nyingine vikiwemo vyama vya siasa waweke wazi maoni yao waliyowasilisha kwa maandishi jamii ione. Tusiwe kama Joseph Selasini ajaandika chochote cha taasisi anakwenda kutoa maoni binafsi kwa niaba ya NCCR.
Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alishasema kuwa CHADEMA ni Wajenzi wazuri wa hoja kuliko CCM!Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki?
Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa wamewasilisha maoni. Tofauti ya maoni ya makundi mengine ni kwamba hawa wenzetu walikaa wakachambua nakuandika kitaalamu na kwa lugha ambayo kila mtu akisoma anapata mantiki na anaona vision yao kuhusu mfumo wa uchaguzi nchini
Sina uhakika kama waajiriwa wa CHADEMA wanalipwa kiasi gani ila naamini wanalipwa kidogo kulinganisha na chama tawala.
Je, wanapata wapi wasomi wazuri kiasi hiki wasiopenda maslahi makubwa bali wanapenda itikadi yao? Wanawezaje kusajili watu wenye akili timamu kwa miaka zaidi ya 30 mfululizo?
Viongozi wengi wazuri ndani ya chama cha mapinduzi na wanaokubali mjadala japo kwa kiasi kidogo waliwahi kuwa chadema , viongozi wa vyama vya upinzani karibia wote waliwahi kuwa chadema. Lakini hakuna mwana CCM mwenye nafasi ya uongozi chadema kwa maana hiyo chadema imeweza sana kuwaandaa watu makini na wenye akili timamu ikilinganishwa na taasisi nyingine.
Swali la nyongeza, ni kweli kwamba haya maoni yameandikwa na wana chadema au wamelipwa washauri kutoka Mataifa na vyuo vikubwa Duniani? Kama wameandika wenzetu watanzania ; tunaweza kufahamu majina yao? Itatusaidia sana kuwapa mchongo wa kazi za uandishi lakini pia hata waliopo madarakani wanaweza wakawa chukua kuwasaidia kazi.
Huu uchambuzi unanipa moyo kwamba hatuna umuhimu wakutumia makampuni ya kigeni kwenye kesi zetu; tuandae watanzania na kwa kuanza tujifunze kutoka mfumo wa chadema.
Hongereni kwa hatua hii, niwaombe na taasisi nyingine vikiwemo vyama vya siasa waweke wazi maoni yao waliyowasilisha kwa maandishi jamii ione. Tusiwe kama Joseph Selasini ajaandika chochote cha taasisi anakwenda kutoa maoni binafsi kwa niaba ya NCCR.
CHADEMA ni Chama cha Mungu
Kutoka maktabaKatika hotuba moja ya mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan alifunguka kutoka moyoni jinsi anavyokubali hoja kutoka upinzani.
Ni matumaini yetu makubwa mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa, mawasilisho haya ya CHADEMA mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge atayafanyia kazi kubadilisha miswada hii. Kwani wasilisho la CHADEMA linakwenda sawia na zile 4R , sheria za haki na katiba mpya inayokubalika kuwa ni ya usawa kwa wote bila kujali vyama.
Toka Maktaba :
17 Feb 2020
Samia Suluhu : "Napenda mawazo ya wapinzani, huwa wanajenga hoja vizuri, walini 'inspire' niingie siasa"
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefunguka kuhusiana na historia ya maisha yake ambapo ameeleza siri ya mafanikio na chanzo kilichomvutia kuingia kwenye siasa. Samia Suluhu anaona hoja za upinzani ni moto, zimejaa mantiki kuliko za mawaziri wa serikali ya CCM , hivyo walinivutia / inspire, mimi ni activist ... kuingia siasani baada ya kuona majibu na hoja za upande wetu (CCM) hazina uhalisia na hazijibu maswali ya wananchi ....
View: https://m.youtube.com/watch?v=gb3MPZNXdt4
Hiyo ni kazi binafsi ya JJ. Mnyika with few imputs from the rest. JJMnyika is dam good, tatizo lake ni moja, hana a good team to play with.
Ni kweli kati ya vyama vyote na maoni ya taasisi zote, maoni ya Chadema ni funga kazi. Big up sana Chadema for that!.
Sii kweli kuwa CCM haijatoa viongozi wazuri Chadema, kwani unajua Dr. Slaa alitokea wapi?, na wakati akiwa Chadema, kadi yake ya uanachama huko alikotokea ilikuwa wapi na ilikuwa imelipiwa miaka mingapi?.
P
MMEDUKUA KATIBA PENDEKEZWA YA WARIOBA HALAFUI MNAJIITA WAOMI WA HAVARD!Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki?
Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa wamewasilisha maoni. Tofauti ya maoni ya makundi mengine ni kwamba hawa wenzetu walikaa wakachambua nakuandika kitaalamu na kwa lugha ambayo kila mtu akisoma anapata mantiki na anaona vision yao kuhusu mfumo wa uchaguzi nchini
Sina uhakika kama waajiriwa wa CHADEMA wanalipwa kiasi gani ila naamini wanalipwa kidogo kulinganisha na chama tawala.
Je, wanapata wapi wasomi wazuri kiasi hiki wasiopenda maslahi makubwa bali wanapenda itikadi yao? Wanawezaje kusajili watu wenye akili timamu kwa miaka zaidi ya 30 mfululizo?
Viongozi wengi wazuri ndani ya chama cha mapinduzi na wanaokubali mjadala japo kwa kiasi kidogo waliwahi kuwa chadema , viongozi wa vyama vya upinzani karibia wote waliwahi kuwa chadema. Lakini hakuna mwana CCM mwenye nafasi ya uongozi chadema kwa maana hiyo chadema imeweza sana kuwaandaa watu makini na wenye akili timamu ikilinganishwa na taasisi nyingine.
Swali la nyongeza, ni kweli kwamba haya maoni yameandikwa na wana chadema au wamelipwa washauri kutoka Mataifa na vyuo vikubwa Duniani? Kama wameandika wenzetu watanzania ; tunaweza kufahamu majina yao? Itatusaidia sana kuwapa mchongo wa kazi za uandishi lakini pia hata waliopo madarakani wanaweza wakawa chukua kuwasaidia kazi.
Huu uchambuzi unanipa moyo kwamba hatuna umuhimu wakutumia makampuni ya kigeni kwenye kesi zetu; tuandae watanzania na kwa kuanza tujifunze kutoka mfumo wa chadema.
Hongereni kwa hatua hii, niwaombe na taasisi nyingine vikiwemo vyama vya siasa waweke wazi maoni yao waliyowasilisha kwa maandishi jamii ione. Tusiwe kama Joseph Selasini ajaandika chochote cha taasisi anakwenda kutoa maoni binafsi kwa niaba ya NCCR.
Katika hotuba moja ya mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan alifunguka kutoka moyoni jinsi anavyokubali hoja kutoka upinzani.