Nimesoma maoni ya Chadema kuhusu miswada mitatu; Je, huu uchambuzi umefanywa na wasomi wa Tanzania au wa Havard University?

CDM ni mpango wa Mungu,Kayafa alijaribu mwisho yeye ndo akaenda,lakini wanafiki na makasuku kama voice from within watakuja kupinga huu ukweli.

Kuna mmoja kila post anaweka namba ya simu atakuja kuandika barua ndefu hapa muda sio mrefu.
Wachagaa mkianza kusifiana hadi mnatia kinyaa
 
Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki?

Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa wamewasilisha maoni. Tofauti ya maoni ya makundi mengine ni kwamba hawa wenzetu walikaa wakachambua nakuandika kitaalamu na kwa lugha ambayo kila mtu akisoma anapata mantiki na anaona vision yao kuhusu mfumo wa uchaguzi nchini

Sina uhakika kama waajiriwa wa CHADEMA wanalipwa kiasi gani ila naamini wanalipwa kidogo kulinganisha na chama tawala.

Je, wanapata wapi wasomi wazuri kiasi hiki wasiopenda maslahi makubwa bali wanapenda itikadi yao? Wanawezaje kusajili watu wenye akili timamu kwa miaka zaidi ya 30 mfululizo?

Viongozi wengi wazuri ndani ya chama cha mapinduzi na wanaokubali mjadala japo kwa kiasi kidogo waliwahi kuwa chadema , viongozi wa vyama vya upinzani karibia wote waliwahi kuwa chadema. Lakini hakuna mwana CCM mwenye nafasi ya uongozi chadema kwa maana hiyo chadema imeweza sana kuwaandaa watu makini na wenye akili timamu ikilinganishwa na taasisi nyingine.

Swali la nyongeza, ni kweli kwamba haya maoni yameandikwa na wana chadema au wamelipwa washauri kutoka Mataifa na vyuo vikubwa Duniani? Kama wameandika wenzetu watanzania ; tunaweza kufahamu majina yao? Itatusaidia sana kuwapa mchongo wa kazi za uandishi lakini pia hata waliopo madarakani wanaweza wakawa chukua kuwasaidia kazi.

Huu uchambuzi unanipa moyo kwamba hatuna umuhimu wakutumia makampuni ya kigeni kwenye kesi zetu; tuandae watanzania na kwa kuanza tujifunze kutoka mfumo wa chadema.

Hongereni kwa hatua hii, niwaombe na taasisi nyingine vikiwemo vyama vya siasa waweke wazi maoni yao waliyowasilisha kwa maandishi jamii ione. Tusiwe kama Joseph Selasini ajaandika chochote cha taasisi anakwenda kutoa maoni binafsi kwa niaba ya NCCR.
Uchambuzi uko wapi?
 
CDM ndicho chama pekee chenye maono sahihi juu ya hatma iliyo bora ya Tanzania ya kesho. Ni chama ambacho kina hazina kubwa ya viongozi wenye fikra pevu na mbinu sahihi za kuiletea nchi yetu maendeleo ya kweli.

CDM ndiyo "think tank" ya nchi katika nyanja za kiuchumi na kijamii. Mtu makini na muelewa hatasita kukiunga mkono chama hiki. Kilio cha mabadiriko ya sheria za uchaguzi ni "endorsement" ya kukubalika kwa chama hiki na kiu ya wananchi kutaka mabadiliko ya kiungozi hapa nchini.
 
CHADEMA wengi wanajitolea kwa sababu ya uzalendo na siyo uchawa kama wa CCM maoni yanaandaliwa na PS wa katibu wa UWT(Lucas Mwashambwa)
 
Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki?

Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa wamewasilisha maoni. Tofauti ya maoni ya makundi mengine ni kwamba hawa wenzetu walikaa wakachambua nakuandika kitaalamu na kwa lugha ambayo kila mtu akisoma anapata mantiki na anaona vision yao kuhusu mfumo wa uchaguzi nchini

Sina uhakika kama waajiriwa wa CHADEMA wanalipwa kiasi gani ila naamini wanalipwa kidogo kulinganisha na chama tawala.

Je, wanapata wapi wasomi wazuri kiasi hiki wasiopenda maslahi makubwa bali wanapenda itikadi yao? Wanawezaje kusajili watu wenye akili timamu kwa miaka zaidi ya 30 mfululizo?

Viongozi wengi wazuri ndani ya chama cha mapinduzi na wanaokubali mjadala japo kwa kiasi kidogo waliwahi kuwa chadema , viongozi wa vyama vya upinzani karibia wote waliwahi kuwa chadema. Lakini hakuna mwana CCM mwenye nafasi ya uongozi chadema kwa maana hiyo chadema imeweza sana kuwaandaa watu makini na wenye akili timamu ikilinganishwa na taasisi nyingine.

Swali la nyongeza, ni kweli kwamba haya maoni yameandikwa na wana chadema au wamelipwa washauri kutoka Mataifa na vyuo vikubwa Duniani? Kama wameandika wenzetu watanzania ; tunaweza kufahamu majina yao? Itatusaidia sana kuwapa mchongo wa kazi za uandishi lakini pia hata waliopo madarakani wanaweza wakawa chukua kuwasaidia kazi.

Huu uchambuzi unanipa moyo kwamba hatuna umuhimu wakutumia makampuni ya kigeni kwenye kesi zetu; tuandae watanzania na kwa kuanza tujifunze kutoka mfumo wa chadema.

Hongereni kwa hatua hii, niwaombe na taasisi nyingine vikiwemo vyama vya siasa waweke wazi maoni yao waliyowasilisha kwa maandishi jamii ione. Tusiwe kama Joseph Selasini ajaandika chochote cha taasisi anakwenda kutoa maoni binafsi kwa niaba ya NCCR

Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki?

Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa wamewasilisha maoni. Tofauti ya maoni ya makundi mengine ni kwamba hawa wenzetu walikaa wakachambua nakuandika kitaalamu na kwa lugha ambayo kila mtu akisoma anapata mantiki na anaona vision yao kuhusu mfumo wa uchaguzi nchini

Sina uhakika kama waajiriwa wa CHADEMA wanalipwa kiasi gani ila naamini wanalipwa kidogo kulinganisha na chama tawala.

Je, wanapata wapi wasomi wazuri kiasi hiki wasiopenda maslahi makubwa bali wanapenda itikadi yao? Wanawezaje kusajili watu wenye akili timamu kwa miaka zaidi ya 30 mfululizo?

Viongozi wengi wazuri ndani ya chama cha mapinduzi na wanaokubali mjadala japo kwa kiasi kidogo waliwahi kuwa chadema , viongozi wa vyama vya upinzani karibia wote waliwahi kuwa chadema. Lakini hakuna mwana CCM mwenye nafasi ya uongozi chadema kwa maana hiyo chadema imeweza sana kuwaandaa watu makini na wenye akili timamu ikilinganishwa na taasisi nyingine.

Swali la nyongeza, ni kweli kwamba haya maoni yameandikwa na wana chadema au wamelipwa washauri kutoka Mataifa na vyuo vikubwa Duniani? Kama wameandika wenzetu watanzania ; tunaweza kufahamu majina yao? Itatusaidia sana kuwapa mchongo wa kazi za uandishi lakini pia hata waliopo madarakani wanaweza wakawa chukua kuwasaidia kazi.

Huu uchambuzi unanipa moyo kwamba hatuna umuhimu wakutumia makampuni ya kigeni kwenye kesi zetu; tuandae watanzania na kwa kuanza tujifunze kutoka mfumo wa chadema.

Hongereni kwa hatua hii, niwaombe na taasisi nyingine vikiwemo vyama vya siasa waweke wazi maoni yao waliyowasilisha kwa maandishi jamii ione. Tusiwe kama Joseph Selasini ajaandika chochote cha taasisi anakwenda kutoa maoni binafsi kwa niaba ya NCCR.
Mbona huo uchambuzi huuleti tuuone sore tuliosoma udsm enzi zile za kusoma shera udsm ukiwa na div one pont tatu. Siku hizi hata div four unasoma shria udsm Kama paschal mayala alivyo mweupe kichwani lakini eti amesoma udsm
 
Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki?

Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa wamewasilisha maoni. Tofauti ya maoni ya makundi mengine ni kwamba hawa wenzetu walikaa wakachambua nakuandika kitaalamu na kwa lugha ambayo kila mtu akisoma anapata mantiki na anaona vision yao kuhusu mfumo wa uchaguzi nchini

Sina uhakika kama waajiriwa wa CHADEMA wanalipwa kiasi gani ila naamini wanalipwa kidogo kulinganisha na chama tawala.

Je, wanapata wapi wasomi wazuri kiasi hiki wasiopenda maslahi makubwa bali wanapenda itikadi yao? Wanawezaje kusajili watu wenye akili timamu kwa miaka zaidi ya 30 mfululizo?

Viongozi wengi wazuri ndani ya chama cha mapinduzi na wanaokubali mjadala japo kwa kiasi kidogo waliwahi kuwa chadema , viongozi wa vyama vya upinzani karibia wote waliwahi kuwa chadema. Lakini hakuna mwana CCM mwenye nafasi ya uongozi chadema kwa maana hiyo chadema imeweza sana kuwaandaa watu makini na wenye akili timamu ikilinganishwa na taasisi nyingine.

Swali la nyongeza, ni kweli kwamba haya maoni yameandikwa na wana chadema au wamelipwa washauri kutoka Mataifa na vyuo vikubwa Duniani? Kama wameandika wenzetu watanzania ; tunaweza kufahamu majina yao? Itatusaidia sana kuwapa mchongo wa kazi za uandishi lakini pia hata waliopo madarakani wanaweza wakawa chukua kuwasaidia kazi.

Huu uchambuzi unanipa moyo kwamba hatuna umuhimu wakutumia makampuni ya kigeni kwenye kesi zetu; tuandae watanzania na kwa kuanza tujifunze kutoka mfumo wa chadema.

Hongereni kwa hatua hii, niwaombe na taasisi nyingine vikiwemo vyama vya siasa waweke wazi maoni yao waliyowasilisha kwa maandishi jamii ione. Tusiwe kama Joseph Selasini ajaandika chochote cha taasisi anakwenda kutoa maoni binafsi kwa niaba ya NCCR.
Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alishasema kuwa CHADEMA ni Wajenzi wazuri wa hoja kuliko CCM!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Katika hotuba moja ya mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan alifunguka kutoka moyoni jinsi anavyokubali hoja kutoka upinzani.

Ni matumaini yetu makubwa mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa, mawasilisho haya ya CHADEMA mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge atayafanyia kazi kubadilisha miswada hii. Kwani wasilisho la CHADEMA linakwenda sawia na zile 4R , sheria za haki na katiba mpya inayokubalika kuwa ni ya usawa kwa wote bila kujali vyama.

Toka Maktaba :

17 Feb 2020
Samia Suluhu : "Napenda mawazo ya wapinzani, huwa wanajenga hoja vizuri, walini 'inspire' niingie siasa"

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefunguka kuhusiana na historia ya maisha yake ambapo ameeleza siri ya mafanikio na chanzo kilichomvutia kuingia kwenye siasa. Samia Suluhu anaona hoja za upinzani ni moto, zimejaa mantiki kuliko za mawaziri wa serikali ya CCM , hivyo walinivutia / inspire, mimi ni activist ... kuingia siasani baada ya kuona majibu na hoja za upande wetu (CCM) hazina uhalisia na hazijibu maswali ya wananchi ....

View: https://m.youtube.com/watch?v=gb3MPZNXdt4

Kutoka maktaba
 
CHADEMA wanasaidiwa na wataalamu wengi waliopo kwenye idara mbali mbali serikalini, watu waliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na diaspora mbali mbali waliopo vizuri kisheria na kifedha
 
CCM wanachojali ni madaraka tu, hakuna mtu mwenye fikra za maendeleo pale...
 
Hiyo ni kazi binafsi ya JJ. Mnyika with few imputs from the rest. JJMnyika is dam good, tatizo lake ni moja, hana a good team to play with.

Ni kweli kati ya vyama vyote na maoni ya taasisi zote, maoni ya Chadema ni funga kazi. Big up sana Chadema for that!.

Sii kweli kuwa CCM haijatoa viongozi wazuri Chadema, kwani unajua Dr. Slaa alitokea wapi?, na wakati akiwa Chadema, kadi yake ya uanachama huko alikotokea ilikuwa wapi na ilikuwa imelipiwa miaka mingapi?.

P

Na mwisho wa huo uongozi wa Silaa ilikuaje?!!

Uzuri wa safari sio mwanzo wa safari Bali mwisho wa safari umeimalizaje,hata Petro alikua mwanafunzi mzuri wa Yesu mwanzoni,mwisho je alikua mwanafunzi mzuri?!?
 
Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki?

Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa wamewasilisha maoni. Tofauti ya maoni ya makundi mengine ni kwamba hawa wenzetu walikaa wakachambua nakuandika kitaalamu na kwa lugha ambayo kila mtu akisoma anapata mantiki na anaona vision yao kuhusu mfumo wa uchaguzi nchini

Sina uhakika kama waajiriwa wa CHADEMA wanalipwa kiasi gani ila naamini wanalipwa kidogo kulinganisha na chama tawala.

Je, wanapata wapi wasomi wazuri kiasi hiki wasiopenda maslahi makubwa bali wanapenda itikadi yao? Wanawezaje kusajili watu wenye akili timamu kwa miaka zaidi ya 30 mfululizo?

Viongozi wengi wazuri ndani ya chama cha mapinduzi na wanaokubali mjadala japo kwa kiasi kidogo waliwahi kuwa chadema , viongozi wa vyama vya upinzani karibia wote waliwahi kuwa chadema. Lakini hakuna mwana CCM mwenye nafasi ya uongozi chadema kwa maana hiyo chadema imeweza sana kuwaandaa watu makini na wenye akili timamu ikilinganishwa na taasisi nyingine.

Swali la nyongeza, ni kweli kwamba haya maoni yameandikwa na wana chadema au wamelipwa washauri kutoka Mataifa na vyuo vikubwa Duniani? Kama wameandika wenzetu watanzania ; tunaweza kufahamu majina yao? Itatusaidia sana kuwapa mchongo wa kazi za uandishi lakini pia hata waliopo madarakani wanaweza wakawa chukua kuwasaidia kazi.

Huu uchambuzi unanipa moyo kwamba hatuna umuhimu wakutumia makampuni ya kigeni kwenye kesi zetu; tuandae watanzania na kwa kuanza tujifunze kutoka mfumo wa chadema.

Hongereni kwa hatua hii, niwaombe na taasisi nyingine vikiwemo vyama vya siasa waweke wazi maoni yao waliyowasilisha kwa maandishi jamii ione. Tusiwe kama Joseph Selasini ajaandika chochote cha taasisi anakwenda kutoa maoni binafsi kwa niaba ya NCCR.
MMEDUKUA KATIBA PENDEKEZWA YA WARIOBA HALAFUI MNAJIITA WAOMI WA HAVARD!
 
Kiuhalisia kwa kura za wananchi CCM anaufyata kwa CHADEMA.

Mbali na kuiba kura kwa kutumia mabavu na mapandikizi CCM hawezi simama na CHADEMA ulingoni wakazichapa kwa kura za wananchi.

CCM amalizi raundi ya kwanza
 
Hebu uweke hapa huo uchambuzi na sisi tuuone bloangu
 
Katika hotuba moja ya mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan alifunguka kutoka moyoni jinsi anavyokubali hoja kutoka upinzani.

Ni matumaini yetu makubwa mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa, mawasilisho haya ya CHADEMA mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge atayafanyia kazi kubadilisha miswada hii. Kwani wasilisho la CHADEMA linakwenda sawia na zile 4R , sheria za haki na katiba mpya inayokubalika kuwa ni ya usawa kwa wote bila kujali vyama.

Toka Maktaba :

17 Feb 2020
Samia Suluhu : "Napenda mawazo ya wapinzani, huwa wanajenga hoja vizuri, walini 'inspire' niingie siasa"

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefunguka kuhusiana na historia ya maisha yake ambapo ameeleza siri ya mafanikio na chanzo kilichomvutia kuingia kwenye siasa. Samia Suluhu anaona hoja za upinzani ni moto, zimejaa mantiki kuliko za mawaziri wa serikali ya CCM , hivyo walinivutia / inspire, mimi ni activist ... kuingia siasani baada ya kuona majibu na hoja za upande wetu (CCM) hazina uhalisia na hazijibu maswali ya wananchi ....

View: https://m.youtube.com/watch?v=gb3MPZNXdt4

Pengine wale wanaoamini katika miujiza, basi Mh. Samia Suluhu Hassan amepata nafasi ya urais ili afanye mageuzi makubwa bila kutishwa na wahafidhina walio ndani ya chama kongwe dola CCM, na kwamba Mh. Rais . Dr. Samia Suluhu Hassan atasikiliza maoni yanayotoka nje ya CCM hivyo kuacha alama katika taifa la Tanzania kama kiongozi aliyepata kuacha legacy itakayoiongoza taifa kwa miaka 250.

Nafasi hii adimu huja kwa nadra sana kama inavyofafanuliwa na Joel Nanauka hapa chini :

View: https://m.youtube.com/watch?v=DkeUmwgpxVU
 
Back
Top Bottom