Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

Umpite mke miaka 15 dah hatari,vp nikimuacha miaka 4,mfano me nina 34 na yy ana 4p
 
Dah unakosaje wanawake mkuu ,nenda kwenye mikutano ya mwamposa Vizia wadada wa huko mikutanoni utimize miujiza yao mkuu.
 
tatizo ni " element za kikoloni"
unakuta hutaki mwanamke hata asuke, aaivae suruali yani masharti ni mengi kama mzee wangu.. kwakweli hapo hata mi ntakataa
 
Wanakataa kama kawaida mkuu usikariri
Mim nilio waaproach wakakataa wana range kwenye hio age
Wewe unaonekana ni wale wakaka Tunawaita Mr. Perfect.. kiukweli wadada hatupendapi wakaka wa hivyo utaachwa kila siku. Nyie huwaga mmezaliwa miezi ya mwishoni mwa mwaka. Mnajionaga perfect kweli
 
Yani wewe unaonekana una porojo Sana fanya chit chat za hapa na pale osha rungu kwao kwa Sana ndo itakuja tu wewe

Hao wanawake nimewala Sana Nina ambao wameshaolewa ninaweza wachukua muda wowote, ambao wanataka ndoa ninao watano , wanaotaka mtoto wako wanne,

Ila wewe unatafuta mmoja ,unaanza ongea mambo ya serious aliekwambia hawa ndugu zetu wanapenda ukweli Ni Nani, ?
 
Mleta mada wewe ni memba wa CHAPUTA namba yako ya uanachama ni 689026718/2020
Unataka uhame chama chako bila kuaga uongozi,omba baraka za viongozi utakuta kila binti anakubali kiroho safi.
 
Hongera kwa kua na hizo option nyingi
Sasa mim na uongo ni paka na panya especial kwa mtu ambaye utakuja ishi nae kwenye mahusiano
 
Umpite mke miaka 15 dah hatari,vp nikimuacha miaka 4,mfano me nina 34 na yy ana 4p
Tofauti ya umri ni jambo muhimu sana kuzingatia ,inashauriwa mwanaume amzidi mke umri utakaowezesha mwanamme awe Kiongozi mzuri kwa mwenzi wake kwa muktadha ya maturity ,mkilingana maturity mwanaume hutakuwa na uwezo wa kumsoma mkeo na kujua jinsi ya kwenda nae ,mwanamke hujisikia salama atakapoona kuona wewe mchumba/ mme wake uko mature enough kuweza kumsaidia kimawazo. Mkilingana umri mtalingana uelewa ,tofauti ya 1-3 ni kama age mate ,tofauti ya 4 yrs angalau lakini si kiihivyo hatari ya utofauti wa 4-5 yrs ni kwamba mwanamke anazeeka haraka kuliko mwanaume sababu ya kuzaa zaidi.ukiweka mwanaume wa miaka 40 na mwanamke wa miaka 40 pamoja akija mtu asiye wafahamu mtu anaweza ona hapo kuna dada mtu aidha na mdogo wake wa kiume .pia kadri umri unavyoongezeka ule ukigoli wa mwanamke unashuka ukweli tofauti nzuri iwe 6-10 chukulia mme ana 60 yrs mke 50yrs mme 80 mke 70 .Sasa fikiria mme 55yrs mke 52yrs au mme 74yrs mke 70 yrs huoni Ni yofauti na mume 70yrs mke 55 yrs au mme 54 yrs mke 44yrs huoni inakaa vizuri au mme 70 yrs mke 55yrs huoni kama hao wanaendana vizuri
 
Hongera
Sasa mim na uongo ni paka na panya especial kwa mtu ambaye utakuja ishi nae kwenye mahusiano
 
Umetongoza wanawake ambao siyo sahihi kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…