mxrereco
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,906
- 3,986
Sawa mkuu. Kweli lifr begins at 40Trust me. Sijafake kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu. Kweli lifr begins at 40Trust me. Sijafake kitu
Umpite mke miaka 15 dah hatari,vp nikimuacha miaka 4,mfano me nina 34 na yy ana 4pChanee Kwanza mimi nakupongeza kwa maamuzi ya kutafuta mke 30 yrs too early kukata tamaa kumpata mke . Huna gundu kawaida kwa mvulana matamanio ya kuoa huanza miaka kuanzia 25 au chini kidogo inategemea historical back group yako hivyo 30yrs ni peek kwa mvulana kuwa na huhitaji wa ndoa maana unaanza kujiona umeshakuwa mtu mzima unaweza kuyakabili maisha hivyo kuhitaji mke ili safari ya maisha ikamilike vizuri .
Mimi nilioa nikiwa 40 kama mhenga mwenzangu mshana jr nae anasema alioa akiwa 40yrs old.
Chanee kwa umri wako 30 yrs na inashauriwa na wabobevu wa mahusiano wanasema ni vyema mwanaume amzidi mwanamke miaka isiyozidi 15 ,hivyo mke wako chanee inabidi awe hiyo miaka 15 tuseme mpaka 25 Kutoka na 30 yrs ya umri wako.
Hapo ndipo unapoona duble duble unapodate na binti of the kind age mke sahihi kwako kwa sasa ni wa 22 -25 years na umri huo mabinti wengi wako chuo au na wao wanamatumaini makubwa ya maisha wakiota kupata mume Bora .
Kwanza amini NDOA ni Mpango wa Mungu ,amini Mungu kakupangia mwanamke wako .Utachohitajika kwako ni utulivu umefanya vizuri kudate kwa nia ya kuoa kuliko hao akina de caprio wanaosema wanatafuna teenagers tu hawana Mpango wa kuoa .
Usitegemee akili zako au elimu yako,uhandsome wako,status yako pesa ,Mali zako unapotongoza kumbuka hutafuti mwajiriwa unatafuta life partner ,mke mwema anatoka kwa Mungu amini hivyo how anakuwa katayarishwa kuwa mke ( wife material) ambaye nae anakesha akisaka husband material wake.
Kuna washauri wengi sana siku hizi kuhusu mahusiano na ndoa ,
Mimi nakupa miongozo ya kupata mke /mme mtakayeanzisha mahusiono yatakayoanzisha uchumba hadi ndoa, nakutajia sifa zifuatazo zitakazosababisha upate mwenzi mtakayeendana ;
1.MALEZI
Tafuta msichana ambaye hampishani sana katika malezi ,kama unatoka familia tajiri vipato vya familia zenu zisipishane sana,kipato Cha familia kinachangia tabia ya makuzi si vyema tajiri sana kuona na maskini sana inapotokea zipo chache sana za hivyo zitazotengeneza ndoa imara na furaha kwa pande zote kumbuka ndoa sio u girlfriend uboy friend ni koo mbili mnaziunganisha then nyie mtaendelea na maisha yenu cheche zitatokea michango yenu katika shida na raha za ndugu ndipo mtakapo jua nini hutokea koo tajiri zinapokutana na koo maskini sana katika masuala ya kifamilia.
2.DINI
Hakikisha mna Imani moja au dhehebu moja au mkubali kuchagua dhehebu moja,utapotafuta mchumba katika dhehebu au dini moja unayosali itakuwa rahisi kuelewana na kuongea lugha moja,urafiki wenu utanogeshwa kwa kuwa na ibada ya aina moja ,inashauriwa kuwa na mchumba mnae share interest ,beliefe, attitude,hobby extra . Ni rahisi kuanzisha mahusiano yanayotakana common interest zenu ,kama ni wapenda michezo ni rahisi kuanzisha mazungumzo kuanzia kutaka Kwanza kuanzisha taratibu za common interest zenu angalia couple zenye same interest zilivyo happy ,tofauti na couple ambazo kila mmoja ana interest yake. Haishauriwi kumvaa msichana / mvulana kwa gia ya moja kwa moja nimekupenda nataka nikuone ,usishangae za nitumie nauli ,sina voucher,saloon sababu ni approach wrong approach ,mahusiano yanaanza kujuana na kutengeneza bond yenu Kwanza wanaokwambia tafuta hela ,waulize mbona wenye hela akina mzee Amazon na Mzee wa Microsoft ndoa zao chali, mdingi wetu wa I must I can kioo cha jamii yetu kilivunjika vibaya .
3.ELIMU
Inashauriwa anzisha uchumba na mwenzi ambaye tofauti ya elimu isiwe kubwa sana sio vyema Phd holder akaoa standard 7 ,huyu wa standard 7 mwanzo aturahia huduma za mzamivu ila siku zikiienda hawata match understanding labda mzamivu amsomeshe standard 7 wake kiwango Cha kuongea,kufurahia ushauri communication must be two ways sio one way.
4.UMRI
Hilo nilishatolea maelezo happy juu.
5.Sex
Kijana lazima uwe mzuri katika 6 kwa 6 pamoja ,kosa yoote usikose utombaji mzuri hapo ,kijana jifunze kutunza mwili wako kula balance diet ,kuwa athletic na maintain .
6.Kipato
Kijana jiimarishe kiuchumi uwe na kazi au kujiajiri/ uwekezaji maana msichana Cha Kwanza anafuata security kwako ,kijana jiulize security yako ni nini umesema una kipato kizuri ,je nini chanzo Cha hicho kipato je hicho chanzo kikikata utaendesha vipi maisha iwe yako mwenzi wako au Family kama utakuwa umefanikiwa kuanzisha,ukiona wadada wanakuja wanatoka nduki moja ya sababu wakikuchungulia kipato chako hawakiamini sana wakiangalia chanzo Cha kipato chako,kumbuka msichana anakuja kwako anaacha wazazi na ndugu zake akija kwako akitegemea wewe ndie utakuwa kila kitu kwake hizo swaga za tuma na ya kutolea,Kodi,saloon ni unapimwa je akija kwako jumla utaweza kuwa kichwa cha Family? Ndio maana binti akienda kwa wazazi wake akisema amepata mchumba anaulizwa huyo mchumba anafanya kazi gani?
Haya ni maoni yangu jinsi ya kukabiliana na kuanzisha mahusiano kuanzisha uchumba hadi ndoa , jaribu utakuja kunishukuru.
Alamsiky.
Sina mtotoVp katika harakati zako umebahatika kupata mtoto?
Hizo tabia sina hata mojatatizo ni " element za kikoloni"
unakuta hutaki mwanamke hata asuke, aaivae suruali yani masharti ni mengi kama mzee wangu.. kwakweli hapo hata mi ntakataa
Jf huwa inafurahisha sana mara nyingi anyway ni mtazamo wako hongeraWe utakuwa huna hela tu na kama unavyosema ni mtu wa kusema ukweli ndo kabisa umekwisha
Wewe unaonekana ni wale wakaka Tunawaita Mr. Perfect.. kiukweli wadada hatupendapi wakaka wa hivyo utaachwa kila siku. Nyie huwaga mmezaliwa miezi ya mwishoni mwa mwaka. Mnajionaga perfect kweliWanakataa kama kawaida mkuu usikariri
Mim nilio waaproach wakakataa wana range kwenye hio age
Yani wewe unaonekana una porojo Sana fanya chit chat za hapa na pale osha rungu kwao kwa Sana ndo itakuja tu weweMimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be ndo kitu kinachonifelisha ila kamwe kujibadilisha nimeshindwa
Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Na kamwe sitakaa niipinge ndoa yes nimeshindwa kupata mwanamke wa ndoa, lakin wengine wamefanikiwa kupata wenza na wanaishi vizuri kwa hiyo sipo kwenye ile kampen ya kataaa ndoa
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Chamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life
Jarbu kuoga na maji ya upakoNilishajaribu mpaka beki tatu mambo bado yakawa magumu
😂😂😂😊😊😊Hihhii😆😁, I mean no malice to nobody
Hongera kwa kua na hizo option nyingiYani wewe unaonekana una porojo Sana fanya chit chat za hapa na pale osha rungu kwao kwa Sana ndo itakuja tu wewe
Hao wanawake nimewala Sana Nina ambao wameshaolewa ninaweza wachukua muda wowote, ambao wanataka ndoa ninao watano , wanaotaka mtoto wako wanne,
Ila wewe unatafuta mmoja ,unaanza ongea mambo ya serious aliekwambia hawa ndugu zetu wanapenda ukweli Ni Nani, ?
Tofauti ya umri ni jambo muhimu sana kuzingatia ,inashauriwa mwanaume amzidi mke umri utakaowezesha mwanamme awe Kiongozi mzuri kwa mwenzi wake kwa muktadha ya maturity ,mkilingana maturity mwanaume hutakuwa na uwezo wa kumsoma mkeo na kujua jinsi ya kwenda nae ,mwanamke hujisikia salama atakapoona kuona wewe mchumba/ mme wake uko mature enough kuweza kumsaidia kimawazo. Mkilingana umri mtalingana uelewa ,tofauti ya 1-3 ni kama age mate ,tofauti ya 4 yrs angalau lakini si kiihivyo hatari ya utofauti wa 4-5 yrs ni kwamba mwanamke anazeeka haraka kuliko mwanaume sababu ya kuzaa zaidi.ukiweka mwanaume wa miaka 40 na mwanamke wa miaka 40 pamoja akija mtu asiye wafahamu mtu anaweza ona hapo kuna dada mtu aidha na mdogo wake wa kiume .pia kadri umri unavyoongezeka ule ukigoli wa mwanamke unashuka ukweli tofauti nzuri iwe 6-10 chukulia mme ana 60 yrs mke 50yrs mme 80 mke 70 .Sasa fikiria mme 55yrs mke 52yrs au mme 74yrs mke 70 yrs huoni Ni yofauti na mume 70yrs mke 55 yrs au mme 54 yrs mke 44yrs huoni inakaa vizuri au mme 70 yrs mke 55yrs huoni kama hao wanaendana vizuriUmpite mke miaka 15 dah hatari,vp nikimuacha miaka 4,mfano me nina 34 na yy ana 4p
HongeraYani wewe unaonekana una porojo Sana fanya chit chat za hapa na pale osha rungu kwao kwa Sana ndo itakuja tu wewe
Hao wanawake nimewala Sana Nina ambao wameshaolewa ninaweza wachukua muda wowote, ambao wanataka ndoa ninao watano , wanaotaka mtoto wako wanne,
Ila wewe unatafuta mmoja ,unaanza ongea mambo ya serious aliekwambia hawa ndugu zetu wanapenda ukweli Ni Nani, ?
Umetongoza wanawake ambao siyo sahihi kwako.Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be ndo kitu kinachonifelisha ila kamwe kujibadilisha nimeshindwa
Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Na kamwe sitakaa niipinge ndoa yes nimeshindwa kupata mwanamke wa ndoa, lakin wengine wamefanikiwa kupata wenza na wanaishi vizuri kwa hiyo sipo kwenye ile kampen ya kataaa ndoa
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Chamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life
KivipUmetongoza wanawake ambao siyo sahihi kwako.
Wewe mwenyewe tu unashindwa kucheza karata zako vizuri.Hawana hisia na mim
Watakwambia ulichelewa sana...Vijana wanaishi kwa kufukuzanaMbona umri bado sana? Nilioa nikiwa na 40