Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

U
Najiulizaga wanavyosemaga.
Kwa staili hiiiii khekhekhe
 
Achana na wa mjini,tafuta na mkoa,watown wanakula raha kwanza,wakihitaji ndoa wamesha zeeka😂
 
Wanawake wote hawa wanakukataa, basi ni eidha sura mbaya sana ni maskini wa kutupwa yaani hohehahe au una kichwa kikubwa sana wanaogopa kuoata shida wakati wa kujifungua.

Wanaokwambia tafuta hela wanakuchota tu, kama una kipato chako si rahisi mwanamke kuchomoa

Au labda huwa unatongoza vitoto na kuviadi ndoa ilhali havijui ndoa ni nini.
 
Karibu chamani mkuu
 
Tatizo ukiwatongoza unaenda Moja Kwa moja na mada ya kuonana, Kwa wanawake ambao bado wapo kwenye 20 - 30 ni ngumu sana kukubali sababu wengi bado wanakuwa unsettled.

Ushauri wangu tafuta mwanamke lakini usimwambie unataka ndoa direct , ukifika muda utaona tu yeye mwenyew ataonyesha dalili.

Bado muda upo usikate tamaa , kuwa bachelor is a lonely life hasa ukifika 40+.
 
Am too conservative na introverts ni personality ambayo siwezi ibadilisha
 
Pole sana mkuu,ila hii ni ajabu,wanawake mbona wako wengi sana? Ni kweli umekosa?
 
1. Cha msingi yeye aendelee kutafuta pesa utapata unayemtaka ,umri cyo issue mpaka miaka 35 unaoa.
2 tabia yako ikae sawa sidhani km kuna mwanamke atavumilia tabia mbovu ya mwanaume.
3. Muumbe Mungu hakuna kinachoshindikana kwake. Usikate tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…