Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

Wanawake huwa hawakopeshwi,na ukimkopesha hakikisha unamkopesha ela ambayo haitakuathiri au uwe tayari kulipwa kwa namna ambayo wanaijuaga wao.Ukishamkopesha wakipata ela wanakua wachungu sana kurudisha deni.
Huu ufala ndio huwa siutaki, aisee kwa ubahili wangu acha tu wanichukie. Hiyo hela itarudi kinguv, au yeye afanyiwe unyama. Only two options!
 

Una shida wewe mwenzio alitaka akupe mzigo wewe bado unadai hela ungechomwa kabisa
 
aaaggh kumbe ni huyo wa hostel? Nikajua ni nanihii yule mwana ccm...au basi
 
Hivi kuheshimiana ni kutokuombana K eeeh.mi nilijua kupeana ndio kuheshimiana.
 
Hivi mtu kama huyo akikuitia mwizi na wewe ukagoma kukimbia ukakaa hapo hapo bila wasiwasi, wanamzengo wakija wanaweza kukuua???

Nimechoka hapo anasema aliitiwa mwizi akatimua mbio, mara wakaja watu wakaambiwa habari za jogoo..!! Sijui aliacha bluetooth ON.[emoji848]
 
Kwahio ingawa hamna mahusiano amewaambia watu mlikuwa na mahusiano ya kimwili ingawa wewe ulishindwa ? (kwahio anakubali kwamba alikuwa na mahusiano na mtu ambaye hakuwahi kuwa na mahusiano nae)?

Ushauri; muogope huyo kama ukoma sababu ana matatizo makubwa na hayupo sawa kiakili..., kuendelea ku-associate na kichaa nyote mtaonekana na vichaa..., and very rarely a man can win in a battle of words / kusutana / kudhalilishana na mwanamke (🤔 ; Thinking again no one wins in such a battle; nyote mtadhalilika tu, ni kama kupondana mawe wakati nyote mnaishi kwenye nyumba ya vioo)
 
Pole mkuu !!! mwanamke ukimuazima hela ye anachukulia umempa io hela samehe anza moja mm nshajiapizq hata nimkute demu hospital anikope pesa qnunue vidonge simpi ata anioneshe cheki ya bank simpi simpiiiiiiiii
[emoji23][emoji23]kwa nini?
 
Daah!! Mbona km huu mkasa nauona km utanitokea nami? Kuna mdada nimemkopesha 50k ahadi imepita 2 weeks namkumbusha ananimbia Kuna mtu anamdai mpaka akimpa ndio anipe.
 
Pole ze korofi usirudie tena kumpa pesa mwanamke
 
Acha tudhalilike tu wote. Mwenyewe nishapinda sijali wala nini? Acha atangaze vyovyote mimi namjibu tu. So nikae kimya kisa kuogopa vita ya maneno na mwanamke?
 
Acha tudhalilike tu wote. Mwenyewe nishapinda sijali wala nini? Acha atangaze vyovyote mimi namjibu tu. So nikae kimya kisa kuogopa vita ya maneno na mwanamke?
Muda wako unaupa value kiasi gani ?

Kama una muda wa kupoteza sawa, sababu huenda kila dakika au sekunde unayopoteza na huyo mwendawazimu ungekuwa unatumia mbegu ya mahindi sehemu na kumwagilizia huenda ungepata gunia kadhaa za mavumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…