Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

Khali gani JF, wanamfungo nawatakia ufungaji mwema,

Jana nimenusurika kuitiwa mwizi na huyu dada,

Niliyemuamini sanaaa, na niliyemheshimu sana,

Alikuja analia nimkope 40k, card yake ya bank ili crack na home walimuambia after 4 days watamtumia hela.


Nikatoa 50k kwa bahati mbaya mfukoni wakati natoa akaona,

Akasema niongeze na hiyo nyingine atanilipa zote,

Zimepita week nne wakati aliahidi siku nne tu,

Akasema wazee wake watamtumia 300k na atanilipa.


Huyu binti sio kuwa kwao hawana hela, wana hela sana tu na hiyo kunikopa ni kutokana na card yake ya bank kupata matatizo,

Basi bhana na kweli after siku nne akatumiwa laki 4,


Na muamala akanionesha kuwa kesho yake atanitumia 50k yangu,


Nikasubiri kesho aitume ukizingatia hata mwenyewe nilikuwa vibaya kiuchumi,


Mpaka saa 4 usiku hakuna muamala, natuma txt hajibu, simu hapokei,


Tunakaa jirani tu si huwa tunaonana sometimes, tukionana salamu hatoi yaani alinichunia,

Nikamfuata hostel kwake, cha ajabu nilipogusia suala la hela na kumuambua nina shida mno, akanibadilikia mpaka sauti,

Na akaanza kunikoromea, uvumilivu ukanishida nikaja juu, akaanza kuita mwizi serious kabisa,


Uzuri nina mbio sana, nikaepuka kisanga kile, akaanza kutangaza kwa watu kuwa mimi jogoo hapandi mtungi.


Na wakati nilimheshimu na tuliheshimiana kama kaka na dada tu,


Nimeumia sana japo ni muda kidogo umepita, kwa nini wema wangu unaniponza?


Nipeni approach nzuri ya kumfanyia umafia(si kumbaka) huyu mtu. Nataka aumie iwe physically au mentally


NB: Sikuwahi kuonesha hisia wala viashiria vyovyote vya kumtaka kimapenzi, tuliheshimiana na tulikuwa na mipaka.
Mkuu 50 k tu unataka kumfanyia mtu umafia, potezea kaa kwa amani
 
Hakuna neno kama hili eti tunaheshimiana kama kaka na dada

Hilo ndio kosa lako kubwa hapo hukujiongeza kuwa anakutaka na wewe umebaki ooh dada
Mnatumia neno dada vibaya sana
 
Mwanamke akopeshwi anapewa fullstop lBda dada ndo unaweza mkopesha, uyo dada ako mmezaliwa wote au shoga ako
 
Mwanamke akopeshwi anapewa fullstop lBda dada ndo unaweza mkopesha, uyo dada ako mmezaliwa wote au shoga ako
Hatujazaliwa wote. Uwe unasoma vizuri na uache kukurupuka. Toa mbinu za kimafia mkuu.!
 
Vivizia zoa unyayo ukifanikisha nitafte pm mkuu Kama uko dar utakapoenda sio mbali Kijiji fulani Moro pale kilichonipelekea ni kujaribu kukuua akati ni haki yako yaan anakuita mwiziii !!!!
 
Vivizia zoa unyayo ukifanikisha nitafte pm mkuu Kama uko dar utakapoenda sio mbali Kijiji fulani Moro pale kilichonipelekea ni kujaribu kukuua akati ni haki yako yaan anakuita mwiziii !!!!
Kabisa, hilo pia naliwekea bold. Nitali consider.
 
Usidai tena hiyo hela jaribu kumpotezea hata salamu usimpe atajilengesha mwenyewe na neno sweet, darling, babe litumike [emoji1417]
Litumike? Mimi simtaki nataka hela, hela ameshindwa kulipa means anatakiwa afanyiwe umafia tu. Sitaki uchi wake.
 
Back
Top Bottom