Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema mjini shuleUnataka kumfanya nn ss wakati hata humjui,,,,hapo swala ni moja umeibiwa imeisha hiyo .
Hakuja?Wanasema mjini shule
Inawezekana mkuu, ingawa atakuwa ame-advance, mpaka namba ya simu inasoma jina la kike; na jina hilo hilo ndio analotumia mtandaoniMbona ni mwanaume yule hukugunduapo tu?
HakutokeaHakuja?
Hapana mkuu uyu nmemwita aone uzi tuNa huyu huwa anakula nauli?
Pole sanaMnavyojua tena, maisha ya harakati huwa hayana mwisho. Wiki tatu zilizopita nilikuwa nachat na mrembo mmoja matata, niliyekutana naye katika mtandao mmoja wa kuonyesha sura.
Nilitokea kumpenda sana huyo binti, na tukafahamiana vizuri tu. Yeye yuko kwenye mambo ya mitindo.
Tatizo yeye anaishi mkoa tofauti na niliopo mimi; nikawa nimemjulisha wikiendi ijayo tuweze kuonana, na tukawa tumeafikiana. Sasa leo asubuhi, akawa amenijulisha anataka aje kuniona; mi nikaona sawa tu hakuna shida.
Akaomba nauli, nami nikamtumia mara mbili yake. Kilichonishtua zaidi, kuwa nauli imeliwa, alianza kuniambia nitume na hela ya mafuta fulani kwa ajili ya massage, yanagharimu 50,000; nikatafakari, nikamwambia tutayanunua huku huku ukishafika.
Baada ya hapo, nikipiga simu haipokelewi, meseji hazijibiwi, w/app hajibu. Imebidi ni hitimishe tu; nauli yangu imeliwa. Ingawa angekuja ningetumia zaidi pamoja na posho ya kwake, lakini kilichoniuma zaidi ni kutokuwa muaminifu.
Wakuu, nimfanyeje huyu mkulungwa?
🙏
Kweli mkuu wanatumaga picha za uchi mikao tofauti kisha anakuambia tuma nauli nije, ukituma tu umeliwa.Huyo ni mwanaume mwenzako kakutandika, poleee
Hio michezo watu wanaicheza sana kuweka picha za warembo profile ukijiingiza unaliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]