Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

Iran wame prove kwamba maisha bila western countries yanawezekana. Na hii kitu western hawataki kabisa kusikia, yani kwamba tunakufunga miguu na mikono na bado unatembea vizuri tu

Na ndio mana wanampiga kwa sababu nchi zingine zisije kuwaiga, kwamba kama wao wameweza na sisi tunaweza
 
Wairan wanajitambua ila mnadanganywa na wazungu .. Wenzenu wanatengeneza maisha rahisi kwa kila raia nyie kazi kujaza vyeti ,badala mchague maisha rahisi eti demokrasia.
Sie tumekubaliana kutengeneza maisha mazuri na ya kifahali kwa viongozi pamoja na wenza wao.
 
Sie tumekubaliana kutengeneza maisha mazuri na ya kifahali kwa viongozi pamoja na wenza wao.
Unakuta mtanzania kamezeshwa vifungu vya sheria yuko twitter anawasema Iran na china ,eti kisa hawana demokrasia ..Ukimuangalia yeye hana anachojua nje ya kukariri.
 
Umekosea hesabu 2500 tzs ni sawa na 25000 rial
 
Ishu ni ufisadi tu..
Maccm na Ma Africa kumejaa ufisadi.

Huko Iran hakuna hizo mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…