Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

Wanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa.
Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta.
Wanasema iran wana mitandao yao wenyewe hivyo kutumia mitandao ya nje ni mara chache.
Wanasema hata usafiri wa umma ni bei nafuu sana kwenda na kurudi kutoka kazini ni chini ya buku.
Pia wanasema hata na vikwazo vyote walivyowekewa, wairan wamejiandaa kukabiliana navyo na maisha yao yako sawa tu.
Hizi ni propaganda za wasioishi Iran ila waliofika ni vinginevyo.
Nimeona na black amerca fulan ni traveller ana YT channel yake, alikuwa Iran anaonyesha maiisha yao yalikuwa poa tu. Wana hadi subways, ila mtanzania asiye na vikwazo baada ya miaka 60 ya uhuru anaicheka iran akisema ina hali mbaya.

View: https://www.youtube.com/watch?v=EcBr430km-I

kwendaaa rita ndo nn! au lita
 
Sasa mafuta wanachimba wao mkuu utegemee bei iwe juu..? Hauwezi kuwa seriously. Nchi zetu za Africa zingekua na matumizi sahihi ya rasilimali zetu mfano hayo.mafuta yangeuzwa bei ndogo saana mchawi wa africa ni maviongozi yetu. Kila kitu mwekezaji ili mradi tu yapewe cha juu 10%
Sasa sisi tuna rasilimali ngapi hapa nchini ,hiyo sukari tu ni bei ,umeme bei hata maji ni bei.
 
..wangeachana na mipango yao ya kumiliki makombora ya nyuklia Iran wangekuwa vizuri kiuchumi mara 1000 kuliko hapo walipo.
Wamechagua uhuru..
Qatar, Kuwait, Saudia n.k mali za kwao lakini wamechagua kupangiwa na kufanyiwa maamuzi dhidi ya mali zao jinsi gani watumie na vipi wasitumie, hivyo ndivyo EU na US hupenda...

Nafikiri wana enjoy zaidi uhuru kuliko huo uchumi kuwa mara 1000... maana kama mafuta lita moja kama huyo dogo anasema ni kama Tshs 79... Mungu awape nini tena?
 
..wangeachana na mipango yao ya kumiliki makombora ya nyuklia Iran wangekuwa vizuri kiuchumi mara 1000 kuliko hapo walipo.
Mkuu mbona wao wanasema wanairutubisha kwa ajili ya umeme hata mwezi mmoja nyuma yule mama boss wa CIA aliiambia hivyo bunge la US kabla ya mambo kubadilika?
 
Wanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa.
Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta.
Wanasema iran wana mitandao yao wenyewe hivyo kutumia mitandao ya nje ni mara chache.
Wanasema hata usafiri wa umma ni bei nafuu sana kwenda na kurudi kutoka kazini ni chini ya buku.
Pia wanasema hata na vikwazo vyote walivyowekewa, wairan wamejiandaa kukabiliana navyo na maisha yao yako sawa tu.
Hizi ni propaganda za wasioishi Iran ila waliofika ni vinginevyo.
Nimeona na black amerca fulan ni traveller ana YT channel yake, alikuwa Iran anaonyesha maiisha yao yalikuwa poa tu. Wana hadi subways, ila mtanzania asiye na vikwazo baada ya miaka 60 ya uhuru anaicheka iran akisema ina hali mbaya.

View: https://www.youtube.com/watch?v=EcBr430km-I

Uzuri mmoja ni kwamba watanzania ni watu wanaongoza kudanganywa kwa sababu hatuna utamaduni wa kujilidhisha na habari tunazopeana
 
Sasa sisi tuna rasilimali ngapi hapa nchini ,hiyo sukari tu ni bei ,umeme bei hata maji ni bei.
Viongozi wa bovu mkuu. Sana na mafuta wanasema nchin pia yapo ila hata siku ya kigundulika utasikia mwekezaji jua yashauzwa
 
Sisi rasilimali tulizo nazo hapa nchini bado ni bei ghali kwa mwananchi. Mfano gas. Jibu utasema kwa sababu hatuna viwanda vya kuichakata kuwa yakupikia. Nadhani hicho kingekuwa kipaumbele kwanza.
Tatizo lipo kwenye uongozi huu wa CCM hauna maono tena. Wanachowaza ni kuiba kura na kufisadi na kuteuana na kuteka na kunyamazisha wenye mawazo mbadala. Inasikitisha saana maji yapo kwemye maziwa mito na bahari jumlisha vyanzo mbali mbali vya maji ila hatuna maji ya kutosheleza tu hata miji ya kila mkoa achana na vijijini.
 
Lina uhusiano ni nchi yenye maisha mazuri kuliko Tanzania. Sehemu yenye maisha nafuu na mazuri utaweka akiba ya fedha nyingi maana bidhaa siyo ghari.
Kuliko kwenda Ulaya au Marekani itakubidi uende Iran ukafanye kazi ukapate fedha za kutobolea bongo.
Kama utabisha basi ulaya ina maisha mazuri kuliko watu wa Iran, ukifanya kazi ulaya mwaka mmoja utaishi Iran miaka 10 bila kufanya kazi yoyote
Aisee, kuna Wairan wanajiua huko wakiambiwa warudi kwao.
Ni maelfu
 
Back
Top Bottom