Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

Okay tu assume unanchosema ni kweli, kwanini hawajaweka mkazo kuondoa hali mbaya iliyopo pale? Unataka kusema raia wa Iran wana hali mbaya kuliko Libya?
Ugomvi wa Israel/US dhidi ya Iran ni katika suala la umiliki wa silaha za nuclear, sio kuhusu raia wao au jinsi Ma-Ayatollah wanavyotawala raia wao.
 
Ugomvi wa Israel/US dhidi ya Iran ni katika suala la umiliki wa silaha za nuclear, sio kuhusu raia wao au jinsi Ma-Ayatollah wanavyotawala raia wao.
Kwanini Iran asimiliki nuclear, na pia aliwaruhusu wakaguzi ila israel anazo haruhusu wakaguzi na hajasign NPT wakati iran kasign NPT
 
Sasa hili lina uhusiano gani wa kwenda huko ukapata pesa nyingi ukarudi Tanzania kuwa tajiri?
Lina uhusiano ni nchi yenye maisha mazuri kuliko Tanzania. Sehemu yenye maisha nafuu na mazuri utaweka akiba ya fedha nyingi maana bidhaa siyo ghari.
Kuliko kwenda Ulaya au Marekani itakubidi uende Iran ukafanye kazi ukapate fedha za kutobolea bongo.
Kama utabisha basi ulaya ina maisha mazuri kuliko watu wa Iran, ukifanya kazi ulaya mwaka mmoja utaishi Iran miaka 10 bila kufanya kazi yoyote
 
Kwanini Iran asimiliki nuclear, na pia aliwaruhusu wakaguzi ila israel anazo haruhusu wakaguzi na hajasign NPT wakati iran kasign NPT
Utawala wa Iran umekuwa ukisema Israel inapaswa kufutwa katika uso wa dunia.
 
Point yangu mimi kama mimi ni kuwa maisha ya Iran si magumu kama tunavyoaminishwa na yana afadhali kuliko nchi nyingi za Afrika zisizo na vikwazo. Over
LIKUD ni kweli haya?? Tuletee Muiran mmoja atupe ukweli wote.
 
Uwezo wa Irani kiuchumi kisayansi na Kila kitu Kwa Tanzania itachukua miaka elfusaba ndiyo tuwafikie walipo Sasa.Labda ifanyike reform ya kuondoa utawala usio na maoni kama ilivyo ccm
 
Kwanini Iran asimiliki nuclear, na pia aliwaruhusu wakaguzi ila israel anazo haruhusu wakaguzi na hajasign NPT wakati iran kasign NPT
Shida matumizi, Iran anatengeneza silaha za nyuklia ili aifute Israel. Shida inaanzia hapo
 
Kama ambavyo North Korea inasemekana maisha ni magumu. Hata Iran sio mara moja kusikia kwenye vyombo vyetu pendwa vya habari wakisema maisha magumu, raia wameichoka serikali n.k. Hivyo mimi ambaye sijawahi kufika nikisikia taariifa toka kwa watanzania wenzangu waliokuwa kwenye ground napata picha tofauti.
Bakherasa, GSM na Mo wakiporomoka kiuchumi hadi waanze kutembelea IST, Rav4 na Premio watasema maisha ni magumu. Iran ni nchi yenye GDP per capita ndogo sana ukilinganisha na utajiri wake wa mafuta na gesi, Inazidiwa na nchi nyingi za Africa kama South Africa na Algeria,
 
Utawala wa Iran umekuwa ukisema Israel inapaswa kufutwa katika uso wa dunia.
Utawala wa Israel pia unasema hivyo hivyo na
1. Wanamiliki Nyuklia
2. Nyuklia yao haikaguliwi
3. Wana negotiate kienyeji kuuzia watu silaha za Nyuklia.

Nani hatari hapo Duniani? Ambaye Nyuklia yake inakaguliwa na hakuna ushahidi wowote kwamba anatengeneza silaha za Nyuklia

Ama ambaye ana Record kuwauzia watu Nyuklia, katengeneza silaha za Nyuklia bila kukaguliwa na Anaficha idadi na silaha zake za Nyuklia na hataki kukaguliwa?
 
Hakuna siku Israel imesema inataka kuifuta Iran katika uso wa dunia.
 
Soma kuhusu Execution of Imam Khomeini's Order (EIKO)/Setad.
Hakuna kitu kama hicho ,nyumba yakw na utajiri wake unajulikana ..Hizo promo hata za kuandika utajiri wa yule Kiongozi wa North korea ni hivyo hivyo.
 
Uwezo wa Irani kiuchumi kisayansi na Kila kitu Kwa Tanzania itachukua miaka elfusaba ndiyo tuwafikie walipo Sasa.Labda ifanyike reform ya kuondoa utawala usio na maoni kama ilivyo ccm
Iran anatengeneza simu gani, tv gani? Subwoofer?
Kama una 1 milion unaishi Iran mwaka mmoja bila kufanya kazi hapo nani ana maisha mazuri?
Kama Tanzania haiwezi kumfikia Iran, nenda kafanye kazi Iran upate hela za kutoboa Tanzania
Iran anatuzidi kwenye kutengeneza mabomu tu tena anasaidiwa na Urusi bila Mrusi hakuna kitu hapo.
Anga la Iran ni jeupe hakuna hata mtambo wa kuzuia mabomu wala hakuna ndege za kivita
 
Utawala wa Israel pia unasema hivyo hivyo na
1. Wanamiliki Nyuklia
2. Nyuklia yao haikaguliwi
3. Wana negotiate kienyeji kuuzia watu silaha za Nyuklia.

Nani hatari hapo Duniani? Ambaye Nyuklia yake inakaguliwa na hakuna ushahidi wowote kwamba anatengeneza silaha za Nyuklia

Ama ambaye ana Record kuwauzia watu Nyuklia, katengeneza silaha za Nyuklia bila kukaguliwa na Anaficha idadi na silaha zake za Nyuklia na hataki kukaguliwa?
Unatengeneza silaha za nyuklia ili uifute Israel. Unafikiri watu watakuacha ili utengeneze unavyotaka. Thubutu
 
Wanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa.
Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta.
Wanasema iran wana mitandao yao wenyewe hivyo kutumia mitandao ya nje ni mara chache.
Wanasema hata usafiri wa umma ni bei nafuu sana kwenda na kurudi kutoka kazini ni chini ya buku.
Pia wanasema hata na vikwazo vyote walivyowekewa, wairan wamejiandaa kukabiliana navyo na maisha yao yako sawa tu.
Hizi ni propaganda za wasioishi Iran ila waliofika ni vinginevyo.
Nimeona na black amerca fulan ni traveller ana YT channel yake, alikuwa Iran anaonyesha maiisha yao yalikuwa poa tu. Wana hadi subways, ila mtanzania asiye na vikwazo baada ya miaka 60 ya uhuru anaicheka iran akisema ina hali mbaya.

View: https://www.youtube.com/watch?v=EcBr430km-I

So what? Tuhamie huko?
 
Tatizo huko Iran hakuna maisha ya kula bata zaidi ya kusubiria bikra 72... Mimi Tz sihami maana nakula msoto na bata kama kawa
 
Hakuna siku Israel imesema inataka kuifuta Iran katika uso wa dunia.
Policy ya Iran siku zote ni kufuta Israel kama serikali ya Ki Zionist na sio kuwipe out population, Same kwa Israel siku zote na wao wanataka ku wipe out Serikali ya Ayatollah.
 
Back
Top Bottom