- Thread starter
- #81
Ukitaka kujua kuwa ni propaganda, mbona hawahangaiki kustabilize Libya ambapo binadamu wanapigwa mnada baada ya wao wenyewe kumwondoa Gadaff ila wanasema raia wa Iran wana maisha magumu chini ya utawala uliopo. Hivi kweli Wairani wana maisha amgumu kuliko hali iliyopo Libya?Huenda ni Kweli.
Mimi nikisikia Iran najua kabisa ni Taifa la Kishetani kumbe sivyo! Hasa ukizingatia ni Taifa la Kiislam.
Labda ambalo hatujui ni Ubaguzi wa Dini.
Niseme tu ni propaganda za nchi za Magharibi zinazoichafua Iran na kutaka kuchafua ustaarabu wake!
Nchi za Magharibi hazipendi kusikia Taifa lo lote duniani linainuka duniani zaidi yao Kijeshi,Kiuchumi,Kiutamaduni,nk
Lazima Taifa hilo wataliangusha!