- Thread starter
- #121
Kwani tukisema marekani kuna uhuru au maisha mazuri tunakuwa tunasema ili tuhamie huko?So what? Tuhamie huko?

Wanakula Bata kuliko wewe hapa Tanzania, Wasanii wao wanajulikana kote Duniani,Tatizo huko Iran hakuna maisha ya kula bata zaidi ya kusubiria bikra 72... Mimi Tz sihami maana nakula msoto na bata kama kawa
Wao wameongelea experience yao. Ubaya wa kupima uchumi kwa GDP wakati mwingine unakuta uchumi umeishikiliwa na asilimia tatu tu ya wananchi ambao wana pesa nyingi sana wengine choka mbaya kabisa.Bakherasa, GSM na Mo wakiporomoka kiuchumi hadi waanze kutembelea IST, Rav4 na Premio watasema maisha ni magumu. Iran ni nchi yenye GDP per capita ndogo sana ukilinganisha na utajiri wake wa mafuta na gesi, Inazidiwa na nchi nyingi za Africa kama South Africa na Algeria,
Hakuna cha nuclear, ukishakua na utajiri wa mafuta na gas, hakuna nchi utaipigia magoti, wewe ndiye utapigiwa magoti, mfumo wa magharibi unaoiendesha dunia hiki kitu hawakitaki...Ugomvi wa Israel/US dhidi ya Iran ni katika suala la umiliki wa silaha za nuclear, sio kuhusu raia wao au jinsi Ma-Ayatollah wanavyotawala raia wao.
Kuna bia, au hadi usafiri kuzifuata?Wanakula Bata kuliko wewe hapa Tanzania, Wasanii wao wanajulikana kote Duniani,
Unaona wahindi hapo mjini wanavyoishi, lifestyle yao ndio exactly Iran ilivyo sababu na wao ni Twelver Shia.
Ingia tu hapo YouTube search unachotaka kama ni live Concert, foodie, shopping etc vyote utaona.
Hakuna bia hukoKuna bia, au hadi usafiri kuzifuata?
Wanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa.
Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta.
Wanasema iran wana mitandao yao wenyewe hivyo kutumia mitandao ya nje ni mara chache.
Wanasema hata usafiri wa umma ni bei nafuu sana kwenda na kurudi kutoka kazini ni chini ya buku.
Pia wanasema hata na vikwazo vyote walivyowekewa, wairan wamejiandaa kukabiliana navyo na maisha yao yako sawa tu.
Hizi ni propaganda za wasioishi Iran ila waliofika ni vinginevyo.
Nimeona na black amerca fulan ni traveller ana YT channel yake, alikuwa Iran anaonyesha maiisha yao yalikuwa poa tu. Wana hadi subways, ila mtanzania asiye na vikwazo baada ya miaka 60 ya uhuru anaicheka iran akisema ina hali mbaya.
View: https://www.youtube.com/watch?v=EcBr430km-I
Nchi zote za kiisilamu huruhusiwi tu kunywa public, Iran kuna wakristo, Jews na Zoroastrian wote wanakunywa pombe.Kuna bia, au hadi usafiri kuzifuata?

unajua unaweza kuwa wapata kipayo kidogo kinakidhi maisha yako kutokana na vitu kuwa cheap na ukawa unapata pesa nyingi haikidhi mahitaji.Hata .kenya akija TZ, maisha yake yanakuwa rahisi.
Kwasababu Elfu 10 ya Kenya kwa Tanzania ni Tsh 200,000.
====
Shida unapata pesa sehemu nyingime unaenda nayo sehemu nyingine.
Waulize mapato yao yakoje kama mishahara, na biashara lazima iko chini.
Ndio maana mimi napinga Uraia pacha.
Rudia tena kuangalia hiyo thamani ya hizo pesa.unajua unaweza kuwa wapata kipayo kidogo kinakidhi maisha yako kutokana na vitu kuwa cheap na ukawa unapata pesa nyingi haikidhi mahitaji.
Mfano unakuta rent labda kwa mwezi milioni.
Nimekusoma yah kweli hata wao walisema hivyo kuwa fedha ya tz ina thamani sana kuliko ya Iran... Ila bado kuna swali, mfano mkenya akija tz akachange fedha atapata pesa nyingi lakini ndivyo atakavyozitumua maana kitu kitu ambacho angenunua 250 KES tz atakinunua labda 5000Rudia tena kuangalia hiyo thamani ya hizo pesa.
Sarafu ya TZ, ina thamani lubwa kuliko ya Iran.
Hiyo milioni 1 ya TZ, kwa Iran ni Milioni 16.
Kumbe!Rudia tena kuangalia hiyo thamani ya hizo pesa.
Sarafu ya TZ, ina thamani lubwa kuliko ya Iran.
Hiyo milioni 1 ya TZ, kwa Iran ni Milioni 16.
Uchumi wa nchi unaendana na vipato pamoja na thamani ya shillingi.Nimekusoma yah kweli hata wao walisema hivyo kuwa fedha ya tz ina thamani sana kuliko ya Iran... Ila bado kuna swali, mfano mkenya akija tz akachange fedha atapata pesa nyingi lakini ndivyo atakavyozitumua maana kitu kitu ambacho angenunua 250 KES tz atakinunua labda 5000
Sahihi, hata Wakenya wakija Tanzania huwa wanaona maisha rahisi sana kila kitu bei ndogo.Uchumi wa nchi unaendana na vipato pamoja na thamani ya shillingi.
Mfano, sasa hivi kuna Wamarekani wanaohamia TZ hasa wastaafu, unakuta mstaafu anapata pesa kwao labda $100,000 ambayo akiishi Ulaya au Marekani maisha yake yanakuwa magumunsana haitoshi.
Ila akija TZ, anaishi kitajiri maana hiyo ni Tsh Tsh Bilioni 2.
Na wastaafu wetu kwa vipato vyetu bado wanapata Milioni 100 hawafikishi.
Maana yake, mstaafu akitoka TZ na milioni 100 yake akahamia Iran, atakuwa na 1,600,000,000 bilioni.