Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

Hata .kenya akija TZ, maisha yake yanakuwa rahisi.

Kwasababu Elfu 10 ya Kenya kwa Tanzania ni Tsh 200,000.

====

Shida unapata pesa sehemu nyingime unaenda nayo sehemu nyingine.

Waulize mapato yao yakoje kama mishahara, na biashara lazima iko chini.

Ndio maana mimi napinga Uraia pacha.
Kwanini unapinga Uraia Pacha??? Ni roho yako mbaya na wivu au kuna jingine unalolitaka kwa manufaa ya nchi??
 
Viza za huko zilikuwa zinatoka kutoka kwa taasisi za kislam huku
Nahs kuna watu walikuwa na michongo wakati huo

Ila mm nlifika Bandar abas,tehran,nlienda shiraz mpk boda karibia na Pakistan
Sasa shiraz pale kuna wa Iran wale weusi kabisa hapo kuna sehemu panaitwa zenjibai au zanzibar inasemekana wamatumbi walitolewa huko wakapelekwa huko,sasa hao ndy washiraz
Huko kulikuwa na wabongo wengi kama tehran watoto wa kko,kino,migomigo wote hao walikuwa watu wa mitkasi tu

Ova
Nako huko zanzibar kumeendelea?
 
Kwanini unapinga Uraia Pacha??? Ni roho yako mbaya na wivu au kuna jingine unalolitaka kwa manufaa ya nchi??
Uraia pacha hauna manufaa kwa nchi. Una manufaa zaidi kwa wahusika.

Hasara zake ni nyingi kuliko faida.

  • Wananchi hatuna kipato cha kushindana nao (Ulaya, wanapata $15 kwasaaa, wakati TZ, mishahara laki 3 kwa mwezi)
  • Raia wageni hasa wa US na Ulaya wanapata kiinua mgongo bilioni, wakati kwetu mtu anafanya kazi miaka 30 hafikishi milioni 100.
  • Gharama za maisha zitakuwa juu sana na hivyo watu wa kawaida watakuwa na maisha magumu.

  • Uraia pacha haubagui maana yake watajaa Wakenya, burundi, Wakongo, Warwanda, Wasomali, Eritrea, Waganda, Wachina, Ethiopia, Waarabu, Wazungu wote watajaa na uraia hapa.
  • Umeona malalamiko ya Wachina Kariakoo, sasa imagine hao wachina wakipewa Uraia wawe Raia pacha, maana yake utalalamika nini kuwa umevamiwa na wageni??
  • Rwanda, inalingana na Mkoa wa Tanga. Rwanda ina watu Milioni 14. Tanga ina watu milioni 2. Hii ni sawa na Burundi.

Hivi vinchi vyote ardhi imeisha, vinatafutia watu wao sehemu ya kuishi. Ikiruhusiwa tu, uraia pacha ujue sehemu pekee ya kupumulia ni TZ.
 
Iran Ayatollah alimpindua kibaraka Shaha miaka ya 70 mwishoni sisi tukiwa na uhuru miaka 20+ ila mpaka leo kwa maendeleo yao licha ya kupingwa vikwazo kwa miaka 40 hatuwafikii hata robo!!
Unaijua lakini dola ya uajemi iko kale na kale pamoja na dola ya Roma!
Au unataka kusema wakati Shaha anapinduliwa walikuwa nyuma kimaendeleo now wametupita?
 
Uraia pacha hauna manufaa kwa nchi. Unaanufaa kwa wahusika.

Hasara zake ni nyingi kuliko faida.

  • Wananchi hatuna kipato cha kuahindana nao (Ulaya, wanapata $15 kwasaaa, qakati TZ, mishahara laki 3)
  • Uraia wanapata kiinua mgongo bilioni, wakati kwetu mtu anafanya kazi miaka 30 hafikishi milioni 100.
  • Gharama za maisha zitakuwa juu sana na hivyo watu wa kawaida watakuwa na maisha magumu.

  • Uraia pacha haubagui maana yake watajaa Wakenya, burundi, Wakongo, Warwanda, Wasomali, Eritrea, Waganda, Wachina, Waarabu, Wazungu wote watajaa na uraia hapa.
  • Umeona malalamiko ya Wachina Kariakoo, sasa imagime hao wachina wakipewa Uraia wawe Raia pacha, maana yake utalalamika nini kiwa umevamiwa na wageni??
  • Rwanda, inalingana na Mkoa wa Tanga. Rwanda ina watu Milioni 14. Tanga ina watu milioni 2. Hii ni sawa na Burundi.

Hivi vinchi vyote ardhi imeisha, vinatacutia watu wao sehemu ya kuishi. Ikiruhusiwa tu, uraia pacha ujue sehemu pekee ya kupumulia ni TZ.
Shukran sana, ni kweli una point muhimu ambazo hata mimi zimenigusa pia, basi kama ni hivyo patafutwe njia itakayowapa wazawa wa Tanzania waishio/wenye uraia wa nchi nyingine uwezo wa kutambulika na kufanya shughuli zao nyumbani bila kubaguliwa kama ilivyo kwa nchi kama India. Huko India wana hadhi maalum kwa wazawa hivyo kuwapa fursa wazawa kuinvest nchi waliozaliwa na kutoa ajira kwa wananchi wao.
 
Iran Ayatollah alimpindua kibaraka Shaha miaka ya 70 mwishoni sisi tukiwa na uhuru miaka 20+ ila mpaka leo kwa maendeleo yao licha ya kupingwa vikwazo kwa miaka 40 hatuwafikii hata robo!!
Wakati Shah wa Iran anapinduliwa Iran ilikua na maisha kama ya Ulaya magharibi na America, kwa upande ule kulikua hamna nchi inaifikia kwa maendeleo.
 
Kwaiyo mafuta lita moja ni kama tshs 76
Bei ya petroli Iran ni takriban senti za Kimarekani 36.

Ili kupata shilingi chukua bei ya dola halafu tafuta asilimia 36 yake.

Mfano kama leo bei ya USD ni Sh 2650, bei ya mafuta Iran kwa shilingi za Kitanzania ni shilingi.

(2650 ÷ 100) x 36
26.50 × 36
954.

Kwa hiyo bei ya mafuta ya petrol kwa sasa ni kama shilingi 954 kwa lita.

Ni ndogo zaidi ya Tanzania kwa sababu Iran wanachimba mafuta. Lakini si ndogo kama ulivyoweka Tsh 76.
 
Watanzania hwataki maisha mazuri wanataka demokrasia 🤣🤣..Hii inatokana na elimu wanayopewa tangu shule ya awali ,hivi mtu akilelea nchi kama kiongozi mpaka mkapata maendeleo kuna ulazimisha gani kuitishi uchaguzi na kutumia karibu bil 900 ambazo ni trilion kasoro ..Baadaye mnaanza kuhudumia vyama vya siasa kwa kuwapa ruzuku ili waendele kupiga kelele kurubuni watu ili wawachague ..

Mfano Lissu anakuwaje popular wakati ni mwanasiasa na msomi butu ambaye hajagundua chochote cha kurahisisha maisha ya mtanzania zaidi ya kukariri vifungu vya sheria ..Wasomi walete tija sio kukimbilia mambo ambayo haywezi kurahisisha maisha ya mtu mmoja mmoja.
Wewe mazafanta kweli kwahiyo hao wa viongozi government wao wamegundua nini zaid ya kutengeneza mianya ya upigaji acha roho mbaya kwa lissu yule ndo kiongozi anapaswa kuongoza hili taifa
 
Wakati Shah wa Iran anapinduliwa Iran ilikua na maisha kama ya Ulaya magharibi na America, kwa upande ule kulikua hamna nchi inaifikia kwa maendeleo.
Wacha niseme upo sahihi, ila hembu nieleze, ilikuaje Shah akapinduliwa na Ayatollah ambao walikua kikundi kidogo tu cha itikadi ya Kali ya kiislamu kisicho na dola wala jeshi?!!

Kama walikua na maendeleo kushinda Ulaya,ilikuaje Shah alikua kibaraka wa Uingereza na USA?!!

Kama Iran ilikua ja maendeleo makuhwa kiasi hicho, iweie Wairan waukubali uongozi wa Ayatollah ambao umewapa nguvu za kijeshi mpaka kupambana na USA na Israel leo hii ilihali sio maendeleo kama zamani?!!
 
Wewe mazafanta kweli kwahiyo hao wa viongozi government wao wamegundua nini zaid ya kutengeneza mianya ya upigaji acha roho mbaya kwa lissu yule ndo kiongozi anapaswa kuongoza hili taifa
Mke wa Lissu tulia ,unaparuka kama umeshikwa kalio.
 
Maisha rahisi huko kote ,hawa mabepari wanataka kutumia mifumo yao ambayo inaleta gap kubwa la maskini ..Huyo Ayatollah ukioneshwa nyumba yake utashangaa ni ya kawaida sana , Kiufupi viongozi wa hapo wanapiga na pepo la umaskini linaloletwa na wazungu ..

Wazungu siku zote wanataka tabaka fulani liwe na umaskini ,hii ni mifumo yao ambayo wanaleta elimu zao , mifumo ya riba , mifumo wa kuwafanya wachache wawe juu , mfumo ya kuwe vyeo vingu.

Siku moja nitaandika uzi hapa ,uone hizo demokrasia ni ushamba ni bora kuongozwa kiongozi na familia moja milele ila kila mtu apate heshima ...Wazungu ni wajanja sana kwa kuchafua sehemu fulani.
Sasa mafuta wanachimba wao mkuu utegemee bei iwe juu..? Hauwezi kuwa seriously. Nchi zetu za Africa zingekua na matumizi sahihi ya rasilimali zetu mfano hayo.mafuta yangeuzwa bei ndogo saana mchawi wa africa ni maviongozi yetu. Kila kitu mwekezaji ili mradi tu yapewe cha juu 10%
 
Sisi rasilimali tulizo nazo hapa nchini bado ni bei ghali kwa mwananchi. Mfano gas. Jibu utasema kwa sababu hatuna viwanda vya kuichakata kuwa yakupikia. Nadhani hicho kingekuwa kipaumbele kwanza.
 
Shukran sana, ni kweli una point muhimu ambazo hata mimi zimenigusa pia, basi kama ni hivyo patafutwe njia itakayowapa wazawa wa Tanzania waishio/wenye uraia wa nchi nyingine uwezo wa kutambulika na kufanya shughuli zao nyumbani bila kubaguliwa kama ilivyo kwa nchi kama India. Huko India wana hadhi maalum kwa wazawa hivyo kuwapa fursa wazawa kuinvest nchi waliozaliwa na kutoa ajira kwa wananchi wao.
Ndio maana wanatengenezewa HADHI MAALUM (Greencard).
 
Sisi rasilimali tulizo nazo hapa nchini bado ni bei ghali kwa mwananchi. Mfano gas. Jibu utasema kwa sababu hatuna viwanda vya kuichakata kuwa yakupikia. Nadhani hicho kingekuwa kipaumbele kwanza.
Gas tunayotumia siyo inayochimbwa hapa.

Ni gas tofauti. Hii gas ya kwenye mitungi, inatokana na mafuta.
 
Kwa middle east sidhani kama kuna nchi inawafikia akili waajemi..
Kipimo kidogo tu, unampiga mtu vikwazo for almost 50 years halafu bado wananchi wanaishi maisha nafuu na wanaendelea kiteknolojia kwa kasi.

..wangeachana na mipango yao ya kumiliki makombora ya nyuklia Iran wangekuwa vizuri kiuchumi mara 1000 kuliko hapo walipo.
 
Back
Top Bottom