Tunadanganywa sio mnadanganywa vinginevyo wewe ni Muirani unaejua Kiswahili.Wairan wanajitambua ila mnadanganywa na wazungu .. Wenzenu wanatengeneza maisha rahisi kwa kila raia nyie kazi kujaza vyeti ,badala mchague maisha rahisi eti demokrasia.
North korea hakuna maisha magumu ,wazungu ni watu wabaya sana ..Wajinga wa humu waliokariri elimu zao,watakuja na ule ujinga wa GDP ...Wasomi wote wanakariri hizo GDP ili kupima uchumi muda huo wananchi hawajulikani wanakula nn.Kama ambavyo North Korea inasemekana maisha ni magumu. Hata Iran sio mara moja kusikia kwenye vyombo vyetu pendwa vya habari wakisema maisha magumu, raia wameichoka serikali n.k. Hivyo mimi ambaye sijawahi kufika nikisikia taariifa toka kwa watanzania wenzangu waliokuwa kwenye ground napata picha tofauti.
Najua kabla hujazaliwa ,kule Asia umaskini uko chini ukitoa Nchi ya india...Najua tangu niko darasa la kwanza .Tunadanganywa sio mnadanganywa vinginevyo wewe ni Muirani unaejua Kiswahili.
Chief suala la matabaka haliepukikiMaisha rahisi huko kote ,hawa mabepari wanataka kutumia mifumo yao ambayo inaleta gap kubwa la maskini ..Huyo Ayatollah ukioneshwa nyumba yake utashangaa ni ya kawaida sana , Kiufupi viongozi wa hapo wanapiga na pepo la umaskini linaloletwa na wazungu ..
Wazungu siku zote wanataka tabaka fulani liwe na umaskini ,hii ni mifumo yao ambayo wanaleta elimu zao , mifumo ya riba , mifumo wa kuwafanya wachache wawe juu , mfumo ya kuwe vyeo vingu.
Siku moja nitaandika uzi hapa ,uone hizo demokrasia ni ushamba ni bora kuongozwa kiongozi na familia moja milele ila kila mtu apate heshima ...Wazungu ni wajanja sana kwa kuchafua sehemu fulani.
Kwa hiyo kipato kinakuwa kikubwa sababu ya maisha kuwa magumu?Ukuona hivo ni ngumu mwananchi wa kawaida kukua kiuchumi binafsi.
Maana kipato kinadumaa kwa urahisi wa vitu.
Kwa utajiri huo wa mafuta na gas ndio maana nchi za magharibi wanaitamani sana kwa visingizio vya nuclear na regime change...Wana akili sana wako vizuri
Ova
Sasa wakati kila mtu anaweza kuiptaa ,mbaya mnadanganywa na demokrasia mko nyuma sana ...Oneni ujinga uko hapa! Viongozi wa kisiasa wanasomesha watoto wao shule za international ila wanawatungia sheria za elimu yenu ambayo watoto wao hawasomi.Chief suala la matabaka haliepukiki
Waislam wanasema pepo ina matabaka 7 kama sio nane.
Hiyo ni kuonesha tu hata huko mbinguni kuna matabaka how duaniani kusiwe na matabaka?
NimeGoogle wanasema ni $0.36 sawa na TZS 954.98 kwa lita moja ya mafuta.Kwaiyo mafuta lita moja ni kama tshs 76
Habibu mimi napendelea utawala wa Kisultan.Sasa wakati kila mtu anaweza kuiptaa ,mbaya mnadanganywa na demokrasia mko nyuma sana ...Oneni ujinga uko hapa! Viongozi wa kisiasa wanasomesha watoto wao shule za international ila wanawatungia sheria za elimu yenu ambayo watoto wao hawasomi.
Demokrasia ni utapeli na ujinga wa mzungu kuwapumbaza badala ya kufanya kazi ,mtu una master's of science unaenda kugombea ubunge ili akili ilale upige porojo pale bungeni sio utendaji...Siku ikiondoka demokrasia na mfumo wa mzungu tutaishi bila ya umaskini.
Hujui kutafsiri lugha za ukubwa.Kwa hiyo kipato kinakuwa kikubwa sababu ya maisha kuwa magumu?
Sitaki pepo yenye matabaka.Chief suala la matabaka haliepukiki
Waislam wanasema pepo ina matabaka 7 kama sio nane.
Hiyo ni kuonesha tu hata huko mbinguni kuna matabaka how duaniani kusiwe na matabaka?
πππSitaki pepo yenye matabaka.
Kiuchumi ni sawa.ila gharama iko kwenye usalamaTuhamie Iran
Nani kakwambia anataka kukupeleka Iran?Hunipeleki Iran hata kama kila kitu kingekuwa bure.