Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

Strong Woman.
Hii ni moja ya kauli ambazo sizipenda kabisa, hii inafanana na kauli nyingine nisiyoipenda kuisikia ya mfumo dume. On the global called earth, we don't have weak or strong women/woman, there is no weak or strong men/man. Ila wapo wanawake na wanaume. Mengine ya kukera yamezalishwa na watu wasiozijua nafasi zao katika jamii. Unaposema strong/weak women, kumbuka kwenu, kumbuka nafasi yako katika familia.
Always, watu ambao walikuwa raised and fed hutawasikia habari za strong/weak women/men. But those who were fed only, wanakauli mbiu zao mpaka za kubeza wanaume.
 
Moyo wa mtu kichaka yaani usimuamini hata aseme Nakupenda mara 1000.
Ni Bora kuwa real kuliko kufake kujificha kwenye kivuli Cha upendo et nilimpenda sana mm nasemaga wazi kwasasa siko tayari na hakuna wa kunilazimisha mayai yangu mwenyew kwanini yanitese
Wanaume wanajua akikuzalisha tayar unakuwa umeishiwa ujanja..
 
Unaonekana hujasoma hata mada vizuri. Amesema ameshindwa kuendelea na kazi aliyokuwa akifanya kwa kuwa inamtaka kusimama muda mrefu. Na hata angekuwa amepata hiyo mimba ndani ya ndoa mume akawa kapuku bado angehitaji kazi ya kuendeshea maisha yake. Anyway nahisi wewe ndio mwenye mimba. I rest my case
Asante sana kwa kuwa unaendelea kumtambua mtuhumiwa. Bila shaka wewe una sifa za upelelezi. Japo sikujui. Mungu akubariki inspector
 
Pole sana.
Ulipata ugonjwa mbaya unaowapata wengi na ugonjwa huu hupofusha, mtu haoni, hasikii wala hajijui.

Mapenzi.

Ungerudi nyuma kidogo kumchunguza huyo bwana ,lazima ungeona dalili za utapeli.
Kuwa mvumilivu, mtoto akizaliwa, kupitia ustawi wa jamii, pima DNA yako ,mtoto na baba.
Halafu dai hela ya matunzo.
Asante sana kwa ushauri wangu. Mungu akubariki
 
Huruma ya nini.. hawa viumbe sio wakuonea huruma wakatili na kivuli chao kujitetea ni uanamke.. always ata awe nani yang nasimama upande wa mwanaume so ww mleta mada ndo una matatizo sio mwana
Asante
 
Mwanamke ndo anajua siku za hatari n.k. wewe ulikubali vipi ubebe mimba na mtu ambaye si mumeo? Hiyo ni upumbavu.
KWENYE maisha yako kamwe usijekumwagia ndani alafu baadae uje kumlaumu mwanamke kwa UPUMBAVUU WAKOOO...davidoo anasuffer leoo sababu hakutumia akilii na kamwee hutasikia wale wanawake wanalaumiwaa. So hata kwenye hii kesii jamaa kazingua sanaa unamwaga ndani ukitegemea calender yani vaa uendee mzee imekulaa hiyoo..
 
Mwanamke ndo anajua siku za hatari n.k. wewe ulikubali vipi ubebe mimba na mtu ambaye si mumeo? Hiyo ni upumbavu.
Na Mwanamke huwa anakuwa amedhaniria hakuna mimba inayoingia bahati mbaya. Kabla ya kubeba mimba inapaswa Mwanamke amshirikishe Mwanamume. Hakuna mimba ya bahati mbaya na Wanawake huwa wanarudia haya makosa mara nyingi na ushuhuda kutoka kwa wenzao unatolewa kila mara.
 
Hawajielewi. Wapumbavu. Hawajifunzi. Anakuja hapa kulia lia. Utadhani alibakwa. Wakati wa kutiana alikuwa anaona sawa akidhani mimba itamfanya aolewe.
 
KWENYE maisha yako kamwe usijekumwagia ndani alafu baadae uje kumlaumu mwanamke kwa UPUMBAVUU WAKOOO...davidoo anasuffer leoo sababu hakutumia akilii na kamwee hutasikia wale wanawake wanalaumiwaa. So hata kwenye hii kesii jamaa kazingua sanaa unamwaga ndani ukitegemea calender yani vaa uendee mzee imekulaa hiyoo..
Shukran sana
 
Back
Top Bottom