Awali ya yote mm nikupe pole kwa yote. Najua kipindi unachopitia ni kigumu sana maana unamambo mengi yapo kichwan mwako. Unahitaji faraja na mapenzi ila unayakosa unahitaji fedha na hauna unahitaji kupu na huwezi
Faraja yako ipo akilin mwako saiv. Faraja ipo kwa wato wako wa karibu na marafiji zako wa kweli wakati wote.
NAfahamu hata nikikulaumu au tukikulaumu haitasaidia kitu zaid ya kuifanya jukwaa hili la hovyo na kufanya member wote kuonekana hovyo maana tunashindwa kutoa hata faraja.
Ni matumain yangu wapo watu watakuja na kutoa msaa kulingana na vile wanaweza saidia.
Pole kwa yote, hope yataisha na utajifungua salama na utamfurahia kijana wako