Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Upumbavu ni wa anayelalamika na mimba mpaka sasa aliyetaka kumwagiwa ndani. Yeye ndo anajua calender yake. Hajabakwa. Unazungumzia Davido si ni sababu ana pesa. Huyu sasa si kazima na simu? Wanawake wenzie huwafanyia hiyo mitego wenye pesa. Nyie. Wafanyieni wote muone kama hamjaishia kuwa blocked tu.KWENYE maisha yako kamwe usijekumwagia ndani alafu baadae uje kumlaumu mwanamke kwa UPUMBAVUU WAKOOO...davidoo anasuffer leoo sababu hakutumia akilii na kamwee hutasikia wale wanawake wanalaumiwaa. So hata kwenye hii kesii jamaa kazingua sanaa unamwaga ndani ukitegemea calender yani vaa uendee mzee imekulaa hiyoo..
Mwanamke huwa hajui kujiongoza na kutafakari kwa mapana maana yeye ndiye aliyesababisha majanga yote haya duniani kwa mujibu wa maandiko ya kiimani. 😂😂😂Upo sahihi mkuu....
Lakini minajiuliza hivi, kwanini wadada wanakubali kuchukua mimba ya mwanaume asie mjua vizuri??
Mkuu leoa watoto wako wajue ujinga una consequences, ukitaka kuruka agana na nyongaAcha roho mbaya pimbi wewe
Kuna ile kauli yao “Nizalie kisha nitakuoa”Upo sahihi mkuu....
Lakini minajiuliza hivi, kwanini wadada wanakubali kuchukua mimba ya mwanaume asie mjua vizuri??
Kwamba kwa utafiti uliofanya kawaida watoto wanazaliwa katika familia ambazo wababa wapo vizuri kiuchumi? Makapuku hawazalishi?Aisee mi siamini kuna mwanamke anaweza kuwa mjinga kiasi hiki duuuh. Hapana bana
Yaani umkubalie kumzalia kapuku kweli asiye na direction na maisha...
Au alilogwa sio akili zake hizi, mi nakataa kwa kweli..
Yaani vitu vingine ni kutumia akili ndogo tu lakini hii nakataa asee,
Chai ya moto kabisa
Ndo hapo sasa. Nashangaa sana hawa hawa wanaume wanaotunanga wanawake kuwa tuko after money, hatuna true love ndo hawa hawa wanatuaminisha kuwa nao kigezo cha kwanza kiwe pesa.Watu wa humu ndani huwa mnajikutaa... Ingekuwa hakuna mwanamke anayekubali kuzaa na kapuku basi wengi wetu humu tusingezaliwa. Sijui hata unafikiria kwa kutumia nini au mwenzetu unaishi ulaya mfyuuu
jamaa asingempa mimba asingemblock alitaka awe anawmwaga tuu ndanii 😀 😀 😀 davido mwenyewe na hela zake anaweza asitoe hata 100 ilaa binafsi anajua kabisaa alizingua kumwagia ndanii. So hii jifunze mwanaume huwezi tumia kingaa au kumwaga nje bhasi demu anywee P2 otherwise aisee utazaa kama panyaaaaa.Upumbavu ni wa anayelalamika na mimba mpaka sasa aliyetaka kumwagiwa ndani. Yeye ndo anajua calender yake. Hajabakwa. Unazungumzia Davido si ni sababu ana pesa. Huyu sasa si kazima na simu? Wanawake wenzie huwafanyia hiyo mitego wenye pesa. Nyie. Wafanyieni wote muone kama hamjaishia kuwa blocked tu.
Kwanini usimuexpose kwa usalama wa wanawake wengine ambao bado hajawavamia?Tena namuona yupo hapa na Id zake nazozifahamu anajitahidi kunichafua kwa maneno makali kweli. Binadamu sisi jamani hehehehee tutafika peponi tumechoka sana.
Hizi hua ni kauli za kipimo cha akili mkuu....😊Kuna ile kauli yao “Nizalie kisha nitakuoa”
Sawa kakosea ndo ahukumiwe tumpe faraja si wakati wa hukumuMkuu leoa watoto wako wajue ujinga una consequences, ukitaka kuruka agana na nyonga
Nyie endeleeni kumfariji
Asante sana wanguAwali ya yote mm nikupe pole kwa yote. Najua kipindi unachopitia ni kigumu sana maana unamambo mengi yapo kichwan mwako. Unahitaji faraja na mapenzi ila unayakosa unahitaji fedha na hauna unahitaji kupu na huwezi
Faraja yako ipo akilin mwako saiv. Faraja ipo kwa wato wako wa karibu na marafiji zako wa kweli wakati wote.
NAfahamu hata nikikulaumu au tukikulaumu haitasaidia kitu zaid ya kuifanya jukwaa hili la hovyo na kufanya member wote kuonekana hovyo maana tunashindwa kutoa hata faraja.
Ni matumain yangu wapo watu watakuja na kutoa msaa kulingana na vile wanaweza saidia.
Pole kwa yote, hope yataisha na utajifungua salama na utamfurahia kijana wako
Pole sana kwa hali unayoipitia japo kuna maoni ya hovyo humu kwa sababu wanaotoa hayo maoni hayajawakuta. Acha tu maisha yaendelee maana huwezi kuurudisha wakati nyuma. Vumilia hakuna nyakati zinazodumu. Huzuni na magumu unayoyapitia ni faraja ya baadae.Asante sana wangu
Wanaume wa humu ukiwasikiliza utachanganyikiwa kila kitu kwao kibayaNdo hapo sasa. Nashangaa sana hawa hawa wanaume wanaotunanga wanawake kuwa tuko after money, hatuna true love ndo hawa hawa wanatuaminisha kuwa nao kigezo cha kwanza kiwe pesa.
Hatujui tu kuwa pamoja na kwamba tunatumia IDs fake mawazo yetu yanatumiwa na wenzetu kama miongozo kwenye kufanya maamuzi kila siku.Wanaume wa humu ukiwasikiliza utachanganyikiwa kila kitu kwao kibaya
Asante sanaPole sana kwa hali unayoipitia japo kuna maoni ya hovyo humu kwa sababu wanaotoa hayo maoni hayajawakuta. Acha tu maisha yaendelee maana huwezi kuurudisha wakati nyuma. Vumilia hakuna nyakati zinazodumu. Huzuni na magumu unayoyapitia ni faraja ya baadae.
Elewa comment acha kuquote kwa mihemuko sio vizuri mkuuKwamba kwa utafiti uliofanya kawaida watoto wanazaliwa katika familia ambazo wababa wapo vizuri kiuchumi? Makapuku hawazalishi?
Faraja zipogo kwa wafiwa na watoto mkuu.Sawa kakosea ndo ahukumiwe tumpe faraja si wakati wa hukumu