Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

Umefika chuo?
 
Sina cha ku comment kwa kweli

Ila nyie wanawake nawapa ushauri wa bure:

Most of us men huku JF ni dont care humu, na wengi hatupo serious tunapenda chini tu tukimwaga wazungu ndo biashara imeishia hapo....

Punguzeni kujirahisisha na maneno yetu matamu matamu maana tutazidi kuwaumiza, to some of us.

Pia hizo PM zenu ni bora mngefunga tu.

I mean no malice....

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 SEMA HIKI KISA NAONA NI KAMA CHAI HIVI. SIJUI KWANN

YOU CAN'T BE THIS DUMB. AU NI MIMI SIJAELEWA
 
πŸ’―πŸ’―
 
Ni noma sana ukute mwenye mzigo wje yupo hapa na anachangia Kwa maneno makali πŸ˜…πŸ˜…
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Sijui kwann nacheka kaa fala πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Asee vidume tumekuwa mbwa kweli.

Tunataka kimasihara tu, walai kuweni makini nyie watu fungeni pm hizo.

Msije mkanasishwa vibaya.
 
Mtu aliefikisha miak 18 kuliwa anaamua mwenyew Kwa hiyar yake na mapenz tele πŸ˜€πŸ˜€ila kuchukua tahadhari ndio muhimu sana
 
Ukute ni chai
Aisee mi siamini kuna mwanamke anaweza kuwa mjinga kiasi hiki duuuh. Hapana bana

Yaani umkubalie kumzalia kapuku kweli asiye na direction na maisha...

Au alilogwa sio akili zake hizi, mi nakataa kwa kweli..

Yaani vitu vingine ni kutumia akili ndogo tu lakini hii nakataa asee,

Chai ya moto kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…