Ila hapo kweli umeongea point. Ukiondoa Mwanza, mikoa karibu yote huko imechoka, lakini cha ajabu ni kwamba nasikia Kanda ya Ziwa ndiyo inatoa mapato makubwa hasa kutoka kwenye madini na ni eneo lenye watanzania wengi, karibu 30% ya idadi ya watu wa nchi.Upo sahihi sio mara tu kanda ya ziwa ila kamdomo na machawa too much
Mkoa wa wa mara ndio mkoa ambao wilaya zake hazijaungwa na lami .. nenda serengeti huruma bush kabisaIla hapo kweli umeongea point. Ukiondoa Mwanza, mikoa karibu yote huko imechoka, lakini cha ajabu ni kwamba nasikia Kanda ya Ziwa ndiyo inatoa mapato makubwa hasa kutoka kwenye madini na ni eneo lenye watanzania wengi, karibu 30% ya idadi ya watu wa nchi.
Kanda ya ziwa yote, atleast Kwanza.Nimeishi Dar, Mwanza, Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Mtwara, Singida, na Mara, nichue fursa hii kusema wazi mkoa wa Mara unatia huruma.
- Naweza kusema kwa uhakika ndio mkoa wenye stendi mbovu zaidi nchi nzima, stendi ya Musoma Mjini haina tofauti na maegesho ya magari
- Musoma mjini pamepoa sana, mzunguko wa pesa ni mdogo sana, mji mdogo.
-Mkoa mzima hauna chuo chochote wala kampasi inayofahamika kitaifa, kuna chuo kilikuwa kinajengwa tangu enzi za kikwete bado kinaendelea kujengwa.
- Mkoa una Mbuga kubwa ya Serengeti lakini wakazi wake wamelala kwenye hii fursa, wengi wanaishia kuwa walinzi huku wengine wakichuma pesa nyingi, Utalii ndio sekta inayoongoza kwa pesa nyingi Tanzania kuzidi hata madini.
- Kielimu bado mkoa upo nyuma, wanaosifiwaga kuelimika mkoa wa Mara ni wakerewe, Ukerewe ipo Mwanza sio Mara, mkoa wa Mara hata ukiangalia wabunge wao wengi ni Darasa la saba, form 4, form 6 na Diploma. Ccm ilibidi iiingilie kati kuweka wenye degree na masters angalau mkoa upate wabunge wenye sifa za kushika vyeo vikubwa
- Kuna mambo ya kizamani ya kuendelea kuamini uanaume ni kutahiriwa bila ganzi, nguvu ya ulimwengu wa sasa ni elimu, pesa na political power.
- Vijana wengi wanaofanikiwa nje ya mkoa hawana utamaduni wa kujenga mkoa wao
Mikoa mingi sana wilaya zake hazijaungwa na lami. Wewe utakua mgeni hii nchiMkoa wa wa mara ndio mkoa ambao wilaya zake hazijaungwa na lami .. nenda serengeti huruma bush kabisa
Chemchem hiyo mzee😃😃tabora mji umechoka balaa
Hiyo hali ipo kanda zote. Kanda ya kusini, Kanda ya magharibi, Kanda ya Kati n.kKanda ya ziwa yote, atleast Kwanza.
pamechoka kinomaChemchem hiyo mzee😃😃
Tabora iliuliwa na alieua Tumbakupamechoka kinoma
Ona hii TAKATAKA!Nimeishi Dar, Mwanza, Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Mtwara, Singida, na Mara, nichue fursa hii kusema wazi mkoa wa Mara unatia huruma.
- Naweza kusema kwa uhakika ndio mkoa wenye stendi mbovu zaidi nchi nzima, stendi ya Musoma Mjini haina tofauti na maegesho ya magari
- Musoma mjini pamepoa sana, mzunguko wa pesa ni mdogo sana, mji mdogo.
-Mkoa mzima hauna chuo chochote wala kampasi inayofahamika kitaifa, kuna chuo kilikuwa kinajengwa tangu enzi za kikwete bado kinaendelea kujengwa.
- Mkoa una Mbuga kubwa ya Serengeti lakini wakazi wake wamelala kwenye hii fursa, wengi wanaishia kuwa walinzi huku wengine wakichuma pesa nyingi, Utalii ndio sekta inayoongoza kwa pesa nyingi Tanzania kuzidi hata madini.
- Kielimu bado mkoa upo nyuma, wanaosifiwaga kuelimika mkoa wa Mara ni wakerewe, Ukerewe ipo Mwanza sio Mara, mkoa wa Mara hata ukiangalia wabunge wao wengi ni Darasa la saba, form 4, form 6 na Diploma. Ccm ilibidi iiingilie kati kuweka wenye degree na masters angalau mkoa upate wabunge wenye sifa za kushika vyeo vikubwa
- Kuna mambo ya kizamani ya kuendelea kuamini uanaume ni kutahiriwa bila ganzi, nguvu ya ulimwengu wa sasa ni elimu, pesa na political power.
- Vijana wengi wanaofanikiwa nje ya mkoa hawana utamaduni wa kujenga mkoa wao
Askofu mwanamapinduzi, Mpina, Askofu Niwemugizi Na Gwajima wanatoka nyanda za juu kusini?Upo sahihi sio mara tu kanda ya ziwa ila kamdomo na machawa too much
Siwezi kujisumbua kubishana na wewe, utakuwa hujawahi kutoka nje ya mkoa tangu uzaliwe, huna exposureOna hii TAKATAKA!
Wewe wala huufahamu mkoa wa mara wala musoma yenyewe! Stendi ya Bweri Ni stendi bora kabisa, acha kuongelea Stand ya zamani Pale Hussein Sokoni!
Unasema Mara hakuna chuo?! Hapo MUSOMA UTALII COLLEGE sio Chuo hicho?! Ama ni MADRASSA?!
Unasema Umekaa mtwara? ...Umekaa mtwara hata mkoa jirani tu hapo kwa (mamwinyi) LINDI na ufukara uliopo nao hauujui? Ama unajitoa ufahamu?
Bado huaujatembea!
Yaleyale tu, nafuu ipo mjini Ila wilayani huko kugumu. Nenda simanjiro, kiteto au mbulu utaelewaKaskazini usitujumlishe mkuu hivyo sio zote