Microgynon
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 853
- 1,069
wanaMara wao wenyewe.Sasa nani wa kuijenga Mara?
wanaMara wao wenyewe.Sasa nani wa kuijenga Mara?
Ndio nakuuliza simanjiro, longido, kiteto, handeni, pangani zina utofauti gani na wilaya za Kanda ya ziwa?Ni kweli maeneo mengi ya kanda ya ziwa yana mchango mkubwa kwenye mapato lakini je mapato hayo yanaendeleza sehemu yanakotoka ?
Hayo mapato yote unakuta yanaenda kuendeleza sehemu ambazo zinachangia mapato kidogo sana
Simpati kwenye simu kabisa, atakua katekwa huyu asee😅Aje rafiki yako Lamomy Atanielewa bwashee wangu😅
'Vijana wengi wanaofanikiwa nje ya mkoa hawana utamaduni wa kujenga mkoa wao' Nakazia📌Nimeishi Dar, Mwanza, Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Mtwara, Singida, na Mara, nichue fursa hii kusema wazi mkoa wa Mara unatia huruma.
- Naweza kusema kwa uhakika ndio mkoa wenye stendi mbovu zaidi nchi nzima, stendi ya Musoma Mjini haina tofauti na maegesho ya magari
- Musoma mjini pamepoa sana, mzunguko wa pesa ni mdogo sana, mji mdogo.
-Mkoa mzima hauna chuo chochote wala kampasi inayofahamika kitaifa, chuo kinachofahamika zaidi ni Musoma utalii college wanachotoa kozi za udereva, upishi, ualimu wa chekechea, n.k. kuna chuo kinajengwa tangu enzi za kikwete bado kinaendelea kujengwa hadi leo.
- Mkoa una Mbuga ya Serengeti yenye umaarufu mkubwa duniani na kutembelewa na watu wengi maarufu lakini wakazi wa Mara wamelala kwenye hii fursa, wengi wanaishia kuwa walinzi huku wageni wakichuma pesa nyingi, Utalii ndio sekta inayoongoza kwa pesa nyingi Tanzania kuzidi hata madini.
- Kielimu bado mkoa upo nyuma, wanaosifiwaga kuelimika mkoa wa Mara ni wakerewe, Ukerewe ipo Mwanza sio Mara, mkoa wa Mara hata ukiangalia wabunge wao wengi ni Darasa la saba, form 4, form 6 na Diploma. Ccm ilibidi iiingilie kati kuweka wenye degree na masters angalau mkoa upate wabunge wenye sifa za kushika vyeo vikubwa
- Kuna mambo ya kizamani ya kuendelea kuamini uanaume ni kutahiriwa bila ganzi wakati ulimwengu wa sasa unajali zaidi elimu, pesa na nguvu ya kisiasa
- Vijana wengi wanaofanikiwa nje ya mkoa hawana utamaduni wa kujenga mkoa wao
Tarime DC mapato makubwa hivyo na Bado stendi yao ya Tarime ni ovyo kuliko hata ya Musoma mjini aliyoiongelea mleta mada. Pesa wanapeleka wapi hao?Basi bado hujatembea vizuri na kujua uhalisia wa mkoa mzima
Mwaka wa fedha uliopita, katika halmashauri top 10 zilizoongoza kwa mapato ya ndani 4 ni za Kanda ya ziwa, Hakuna ya Kanda kaskazini iliyoingia
View attachment 3472795
😅😅Simpati kwenye simu kabisa, atakua katekwa huyu asee😅
Huo ndio ukweli inabidi wanaMara wote waambiwe. wengi wao mko nao huko mijini hawataki kurudi kujenga makwao.'Vijana wengi wanaofanikiwa nje ya mkoa hawana utamaduni wa kujenga mkoa wao' Nakazia📌
Ndio maana hitimisho langu lilikua hizi wilaya iwe kaskazini au kusini au wapi zote zinalingana hali, kote badoTarime DC mapato makubwa hivyo na Bado stendi yao ya Tarime ni ovyo kuliko hata ya Musoma mjini aliyoiongelea mleta mada. Pesa wanapeleka wapi hao?
tofauti ni kubwa sanaaaa, hizo sehemu zote ulizotaja zimo ndani ya mikoa yenye makao makuu yenye huduma bora kuliko mikoa ya kanda ya ziwaNdio nakuuliza simanjiro, longido, kiteto, handeni, pangani zina utofauti gani na wilaya za Kanda ya ziwa?
Ni kweli, mfano mbuga ya serengeti inainufaisha arusha kuliko serengeti yenyewe, hadi inafika mahali watu wanadhani serengeti ipo arusha, mtalii anayeenda kutembea serengeti analipia kila kitu arusha, na mwisho wa safari anarudi arusha kula bata na kuondokea hapo, kilimanjaro pia kama siyo wachagga kushtuka watu wa arusha walishajimilikisha mlima, angalau sasa wameurudisha kwao kwa sehemu kubwa.Ni kweli maeneo mengi ya kanda ya ziwa yana mchango mkubwa kwenye mapato lakini je mapato hayo yanaendeleza sehemu yanakotoka ?
Hayo mapato yote unakuta yanaenda kuendeleza sehemu ambazo zinachangia mapato kidogo sana
Tz yote ni ya kidwazi tu hata hiyo Dar mnayoisifia imejaa vichochoro na mitaro ya maji taka. Bora hata mikoani nature.inatia moyoNimeishi Dar, Mwanza, Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Mtwara, Singida, na Mara, nichue fursa hii kusema wazi mkoa wa Mara unatia huruma.
- Naweza kusema kwa uhakika ndio mkoa wenye stendi mbovu zaidi nchi nzima, stendi ya Musoma Mjini haina tofauti na maegesho ya magari
- Musoma mjini pamepoa sana, mzunguko wa pesa ni mdogo sana, mji mdogo.
-Mkoa mzima hauna chuo chochote wala kampasi inayofahamika kitaifa, chuo kinachofahamika zaidi ni Musoma utalii college wanachotoa kozi za udereva, upishi, ualimu wa chekechea, n.k. kuna chuo kinajengwa tangu enzi za kikwete bado kinaendelea kujengwa hadi leo.
- Mkoa una Mbuga ya Serengeti yenye umaarufu mkubwa duniani na kutembelewa na watu wengi maarufu lakini wakazi wa Mara wamelala kwenye hii fursa, wengi wanaishia kuwa walinzi huku wageni wakichuma pesa nyingi, Utalii ndio sekta inayoongoza kwa pesa nyingi Tanzania kuzidi hata madini.
- Kielimu bado mkoa upo nyuma, wanaosifiwaga kuelimika mkoa wa Mara ni wakerewe, Ukerewe ipo Mwanza sio Mara, mkoa wa Mara hata ukiangalia wabunge wao wengi ni Darasa la saba, form 4, form 6 na Diploma. Ccm ilibidi iiingilie kati kuweka wenye degree na masters angalau mkoa upate wabunge wenye sifa za kushika vyeo vikubwa
- Kuna mambo ya kizamani ya kuendelea kuamini uanaume ni kutahiriwa bila ganzi wakati ulimwengu wa sasa unajali zaidi elimu, pesa na nguvu ya kisiasa
- Vijana wengi wanaofanikiwa nje ya mkoa hawana utamaduni wa kujenga mkoa wao
Kweli, hapa ni kijijini kabisa, imagineTz yote ni ya kidwazi tu hata hiyo Dar mnayoisifia imejaa vichochoro na mitaro ya maji taka. Bora hata mikoani nature.inatia moyo
chuo cha maendeleo ya jamii buhare, musoma cotc hivi vyuo jamaa havijui....musoma huwa napakubali sana hasa mitaa ya kennedy na shabaniOna hii TAKATAKA!
Wewe wala huufahamu mkoa wa mara wala musoma yenyewe! Stendi ya Bweri Ni stendi bora kabisa, acha kuongelea Stand ya zamani Pale Hussein Sokoni!
Unasema Mara hakuna chuo?! Hapo MUSOMA UTALII COLLEGE sio Chuo hicho?! Ama ni MADRASSA?!
Unasema Umekaa mtwara? ...Umekaa mtwara hata mkoa jirani tu hapo kwa (mamwinyi) LINDI na ufukara uliopo nao hauujui? Ama unajitoa ufahamu?
Bado huaujatembea!
Sasa kama asilimia,,90 ya mbuga ya Serengeti Iko mara, Kwa nini kiwanja Cha international airport kijingwe Kilimanjaro,kiufupi tu Moja ya makosa ya Nyerere ni kufukarisha Mkoa wa Mara , haya ni matokeo ya poor allocation of resources or nepotism,gate away ya utalii ilitakiwa iwe Mika wa Mara,Kuna ziwa ,wana dhahabu ardhi ya pia , Kilimanjaro vijijini wa Tap water mara ziwa ni km 10 tu hawana maji sio makosa Yao ni serikali .Ni kweli, mfano mbuga ya serengeti inainufaisha arusha kuliko serengeti yenyewe, hadi inafika mahali watu wanadhani serengeti ipo arusha, mtalii anayeenda kutembea serengeti analipia kila kitu arusha, na mwisho wa safari anarudi arusha kula bata na kuondokea hapo, kilimanjaro pia kama siyo wachagga kushtuka watu wa arusha walishajimilikisha mlima, angalau sasa wameurudisha kwao kwa sehemu kubwa.
# Akili ndogo huyo ,mkoa wa Mara umekuwa marginalized wame fukukarishwa Kwa kunyimwa kipaumbele ikiwa resources wanazoAki anani! Sasa wa kulaumiwa ni wanamara? We umeenda musoma tu unalalamika hakuna hela si uje tarime ununue gunia la viazi then urudi musoma uuze tuone kama utaendelea kulalamika? Halafu kuhusu miundombinu, huu si ni wajibu wa serikali? Sasa unamlaumuje mwananchi ambaye anatimiza wajibu wake kwani analipa kodi akitegemea maendeleo ya kimiundombinu yafanywe na serikali? Halafu kuhusu suala la mwanaume kutahiriwa bila ganzi, hapa ndio naona jinsi ulivyo zero brain! Yaani mi si ninajua kila kabila lina tamaduni na desturi zake? Halafu mbona ni jambo la hiari? Na pia hii haijaanza leo, imeanza karne nyingi zilizopita na sababu kuu ilikuwa ni kabila la wakurya kujitofautisha na makabila mengine kwa kutahiriwa na kipindi hicho kulikuwa hakuna sindano za ganzi kwahiyo ni unakatwa govi live bila chenga! Maumivu ya hapo ni usipime! Sababu ndogo ndogo ni pamoja na kumjengea mwanaume ujasiri wa kuweza kuilinda familia yake, pia asiogope vita kwa kuogopa maumivu ya kukatwa. Mbona vitu vingine vinaeleweka ukiacha chuki?
Hapa town?tabora mji umechoka balaa
Moshi nitaitafutia wiki niende kuicheki vizuriKweli, hapa ni kijijini kabisa, imagine
Arusha na nyie mnajiona mna stand kabisa?Mbulu sio makao makuu ya mkoa, makao makuu ni Babati, mkoa wa Manyara ndio upo chini KAnda ya kaskazini lakini una nafuu kuzidi mikoa ypte ya kanda ya ziwa ukiondoa Mwanda,
Manyara tayari kuna bonge la chuo limejengwa hivi karibuni
View attachment 3472789
Mikoa ya kanda ya kaskazini kuna Arusha, Kilimanjaro na Tanga, mikoa yote hii kuna huduma nzuri kuanzia stendi, hospitali, vyuo, maji, shule , barabara, n.k.