Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Kwamba mbulu ipo tofauti na wilaya za Kanda ya ziwa kama magu, tarime, muleba, bunda n.k?Mbulu kuna shida gan bwashee?

Mbulu sio makao makuu ya mkoa, makao makuu ni Babati, mkoa wa Manyara ndio upo chini KAnda ya kaskazini lakini una nafuu kuzidi mikoa ypte ya kanda ya ziwa ukiondoa Mwanda,Kwamba mbulu ipo tofauti na wilaya za Kanda ya ziwa kama magu, tarime, muleba, bunda n.k?
Kama mbulu hakuna shida basi hata wilaya za Kanda ya ziwa hazina shidaSure mbulu toka daudi kwenda kansayi kuingia karatu ndio kuna shida tu , taja pahala pengine bwashee
AiseeNimeishi Dar, Mwanza, Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Mtwara, Singida, na Mara, nichue fursa hii kusema wazi mkoa wa Mara unatia huruma.
- Naweza kusema kwa uhakika ndio mkoa wenye stendi mbovu zaidi nchi nzima, stendi ya Musoma Mjini haina tofauti na maegesho ya magari
- Musoma mjini pamepoa sana, mzunguko wa pesa ni mdogo sana, mji mdogo.
-Mkoa mzima hauna chuo chochote wala kampasi inayofahamika kitaifa, pale chuo kinachofanhamia ni Musoma utalii college wanachotoa kozi za udereva, upishi, ualimu wa chekechea, n.k. kuna chuo kinajengwa tangu enzi za kikwete hakimalizikagi.
- Mkoa una Mbuga kubwa ya Serengeti lakini wakazi wake wamelala kwenye hii fursa, wengi wanaishia kuwa walinzi huku wengine wakichuma pesa nyingi, Utalii ndio sekta inayoongoza kwa pesa nyingi Tanzania kuzidi hata madini.
- Kielimu bado mkoa upo nyuma, wanaosifiwaga kuelimika mkoa wa Mara ni wakerewe, Ukerewe ipo Mwanza sio Mara, mkoa wa Mara hata ukiangalia wabunge wao wengi ni Darasa la saba, form 4, form 6 na Diploma. Ccm ilibidi iiingilie kati kuweka wenye degree na masters angalau mkoa upate wabunge wenye sifa za kushika vyeo vikubwa
- Kuna mambo ya kizamani ya kuendelea kuamini uanaume ni kutahiriwa bila ganzi, nguvu ya ulimwengu wa sasa ni elimu, pesa na political power.
- Vijana wengi wanaofanikiwa nje ya mkoa hawana utamaduni wa kujenga mkoa wao
kawaida tu sku ukija uku beijing utaona dar es salaam ni jalalani kabisa🤕🤕🤕Nimeishi Dar, Mwanza, Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Mtwara, Singida, na Mara, nichue fursa hii kusema wazi mkoa wa Mara unatia huruma.
- Naweza kusema kwa uhakika ndio mkoa wenye stendi mbovu zaidi nchi nzima, stendi ya Musoma Mjini haina tofauti na maegesho ya magari
- Musoma mjini pamepoa sana, mzunguko wa pesa ni mdogo sana, mji mdogo.
-Mkoa mzima hauna chuo chochote wala kampasi inayofahamika kitaifa, pale chuo kinachofanhamia ni Musoma utalii college wanachotoa kozi za udereva, upishi, ualimu wa chekechea, n.k. kuna chuo kinajengwa tangu enzi za kikwete hakimalizikagi.
- Mkoa una Mbuga kubwa ya Serengeti lakini wakazi wake wamelala kwenye hii fursa, wengi wanaishia kuwa walinzi huku wengine wakichuma pesa nyingi, Utalii ndio sekta inayoongoza kwa pesa nyingi Tanzania kuzidi hata madini.
- Kielimu bado mkoa upo nyuma, wanaosifiwaga kuelimika mkoa wa Mara ni wakerewe, Ukerewe ipo Mwanza sio Mara, mkoa wa Mara hata ukiangalia wabunge wao wengi ni Darasa la saba, form 4, form 6 na Diploma. Ccm ilibidi iiingilie kati kuweka wenye degree na masters angalau mkoa upate wabunge wenye sifa za kushika vyeo vikubwa
- Kuna mambo ya kizamani ya kuendelea kuamini uanaume ni kutahiriwa bila ganzi, nguvu ya ulimwengu wa sasa ni elimu, pesa na political power.
- Vijana wengi wanaofanikiwa nje ya mkoa hawana utamaduni wa kujenga mkoa wao
Unazungumzia mjini tu au mkoa mzima? Kumbuka kuwa mkoa wa manyara ni hadi simanjiro, kitetoHata Mbulu wana nafuu ndio mkoa uliochoka kanda ya kaskazini lakini wana nafuu kuliko mikoa ya kanda ya ziwa ukitoa Mwanza.
Mikoa ya kanda ya kaskazini kuna Arusha, Kilimanjaro na Tanga, mikoa yote hii kuna huduma nzuri kuanzia stendi, hospitali, vyuo, maji, shule , barabara, n.k.
halafu Manyara kuna bonge la chuo wamejenga.
View attachment 3472789
Ndio namshangaa, Mbulu sio mkoa wala makao makuu ya mkoa, Manyara ndio mkoa na Babati ndipo yalipo makao makuu, pamoja na kwamba mkoa wa Manyara upo chini kwa maendeleo kwa mikoa ya kanda ya kaskazini bado kuna unafuu kuliko mikoa ya kanda ya ziwa ukiondoa MwanzaMbulu sio mkoa
Mkuu utakua unatania? Mimi pia nimeizunguka Tz yote na sio mara moja.Huko kote nimeendesha gari binafsi peke yangu Tanzania nzima , hakuna mahali kama kaskazini, hata daslamu kwenu kuna subiri 🤔
cheki mnavyojiengua!! Lakini kwenye kuwachamba wengine its okay! Haya bhana!Kaskazini usitujumlishe mkuu hivyo sio zote
Arusha hakuna stendi bora, tusidanganyane, nipo hapa kisumu kenya muda huu, kuna kakituo ka mabus huku nje kabisa ya mji, wala hakana hadhi ya stendi ya wilaya,ila kana ubora mara kumi kuliko stand ya arusha, arusha inaangushwa na hilo tu, na ustaarabu mbovu wa kaka zangu wa huko, wana ujinga mwingi sanaMbulu sio makao makuu ya mkoa, makao makuu ni Babati, mkoa wa Manyara ndio upo chini KAnda ya kaskazini lakini una nafuu kuzidi mikoa ypte ya kanda ya ziwa ukiondoa Mwanda,
Manyara tayari kuna bonge la chuo limejengwa hivi karibuni
View attachment 3472789
Mikoa ya kanda ya kaskazini kuna Arusha, Kilimanjaro na Tanga, mikoa yote hii kuna huduma nzuri kuanzia stendi, hospitali, vyuo, maji, shule , barabara, n.k.
Basi bado hujatembea vizuri na kujua uhalisia wa mkoa mzimaSimanjiro bado sijafika kwakutulia na kiteto pia , ila kaskazini hakuna nyumbu anasogea hata kwa maisha ya mtu binafsi bwashee
Sawa hata kama Stendi ya Arusha mbovu bado kuna mengi ya ziada, kuna makao makuu ya umoja wa Afrika Mashariki, ofisi za umoja wa mataifa (UN), kuna uwanja wa ndege, kuna hoteli kali, ni jiji la kitalii, n.k.Arusha hakuna stendi bora, tusidanganyane, nipo hapa kisumu kenya muda huu, kuna kakituo ka mabus huku nje kabisa ya mji, wala hakana hadhi ya stendi ya wilaya,ila kana ubora mara kumi kuliko stand ya arusha, arusha inaangushwa na hilo tu, na ustaarabu mbovu wa kaka zangu wa huko, wana ujinga mwingi sana
Kusema ukweli hapo sijakuelewa😅Dar pia ninao utajiri wangu kwa mimi wa mikoani bwashee au unataka uthibitisho?
Kwa upande wangu mimi nimeishi Dar, Dodoma, Mbeya, Iringa, Njombe, Iringa na Mara recent years, nathibitisha kuwa yafuatayo ni kweli;Nimeishi Dar, Mwanza, Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Mtwara, Singida, na Mara, nichue fursa hii kusema wazi mkoa wa Mara unatia huruma.
- Naweza kusema kwa uhakika ndio mkoa wenye stendi mbovu zaidi nchi nzima, stendi ya Musoma Mjini haina tofauti na maegesho ya magari
- Musoma mjini pamepoa sana, mzunguko wa pesa ni mdogo sana, mji mdogo.
-Mkoa mzima hauna chuo chochote wala kampasi inayofahamika kitaifa, pale chuo kinachofanhamia ni Musoma utalii college wanachotoa kozi za udereva, upishi, ualimu wa chekechea, n.k. kuna chuo kinajengwa tangu enzi za kikwete hakimalizikagi.
- Mkoa una Mbuga kubwa ya Serengeti lakini wakazi wake wamelala kwenye hii fursa, wengi wanaishia kuwa walinzi huku wengine wakichuma pesa nyingi, Utalii ndio sekta inayoongoza kwa pesa nyingi Tanzania kuzidi hata madini.
- Kielimu bado mkoa upo nyuma, wanaosifiwaga kuelimika mkoa wa Mara ni wakerewe, Ukerewe ipo Mwanza sio Mara, mkoa wa Mara hata ukiangalia wabunge wao wengi ni Darasa la saba, form 4, form 6 na Diploma. Ccm ilibidi iiingilie kati kuweka wenye degree na masters angalau mkoa upate wabunge wenye sifa za kushika vyeo vikubwa
- Kuna mambo ya kizamani ya kuendelea kuamini uanaume ni kutahiriwa bila ganzi wakati ulimwengu wa sasa unajali zaidi elimu, pesa na nguvu ya kisiasa
- Vijana wengi wanaofanikiwa nje ya mkoa hawana utamaduni wa kujenga mkoa wao
Ni kweli maeneo mengi ya kanda ya ziwa yana mchango mkubwa kwenye mapato lakini je mapato hayo yanaendeleza sehemu yanakotoka ?Basi bado hujatembea vizuri na kujua uhalisia wa mkoa mzima
Mwaka wa fedha uliopita, katika halmashauri top 10 zilizoongoza kwa mapato ya ndani 4 ni za Kanda ya ziwa, Hakuna ya Kanda kaskazini iliyoingia
View attachment 3472795
Anasema wabunge wa mara wote ni tabularasa, muulize alikuwa anamjua Nimrod mkono?Sasa nani wa kuijenga Mara?