Nimetembea na mwanamke bila kinga nahisi ni Mwathirika

Nimetembea na mwanamke bila kinga nahisi ni Mwathirika

fisitembo

Senior Member
Joined
Jun 19, 2020
Posts
123
Reaction score
273
Ninaishi peke yangu inje ya nchi, Mke wangu yuko TZ na tuko lockdown hakuna kutoka wala kuingia, jumanne alinitembelea binti mmoja nikajikuta nagonga dry.

Kesho yake nilipomlazimisha tukapime alikata katakata, ikabidi jana Jumamosi nikanunue vipimo vya UKIMWI nijipime mbele yake kumshawishi ili apime, bado aligoma.

Naombeni Mwenye ujuzi kama kuna Dawa naweza kunywa ikanisaidi kama nimeambukizwa UKIMWI.
1622551793838.png

 
Nilijipima Jana, niko fresh maana mara ya mwisho kupima ilikuwa miaka 4 iliyopita na toka hapo nilikuwa, sijawahi kutoka inje
 
Sipati picha ulivo na stress sasa hivi, kama ameathirika basi uombe Mungu awe kwenye dozi tena anazingatia hapo unaweza kuwa salama.
 
Pole sana Brother.

Nenda hosp wakupe ushauri. Ila hata kama umepata Maambukizi kwasababu umeuwahi utatoka.

Hapa Nimekusaidia ku google.

PEP stands for post-exposure prophylaxis. It means taking antiretroviral medicines (ART) after being potentially exposed to HIV to prevent becoming infected. PEP must be started within 72 hours after a recent possible exposure to HIV, but the sooner you start PEP , the better it works.
 
Back
Top Bottom