Nimetembea na mwanamke bila kinga nahisi ni Mwathirika

Nimetembea na mwanamke bila kinga nahisi ni Mwathirika

Ninaishi peke yangu inje ya nchi Mke wangu yuko TZ na tuko lockdown hakuna kutoka wala kuingia, jumanne alinitembelea binti mmoja nikajikuta nagonga dry. Kesho yake nilipomlazimisha tukapime alikata katakata, ikabidi jana Jumamosi nikanunue vipimo vya UKIMWI nijipime mbele yake kumshawishi ili apime, bado aligoma.

Naombeni Mwenye ujuzi kama kuna Dawa naweza kunywa ikanisaidi kama nimeambukizwa UKIMWI
Habari,unaendeleaje na dozi ya hiv
 
Back
Top Bottom