Nimetembea na mwanamke bila kinga nahisi ni Mwathirika

Nimewahi kushuhudia mwanafunzi mmoja akipata uchizi nikiwa Lindi high school kwa kujihisi kalala na demu mwenye ngoma.
Kumbe hofu ni adui mkubwa sana
 
Ninaishi peke yangu inje ya inchi Mke wangu yuko TZ na tuko lockdown hakuna kutoka wala kuingia, jumanne alinitembelea binti mmoja nikajikuta nagonga dry. Kesho yake nilipomlazimisha tukapime alikata katakata, ikabidi jana Jumamosi nikanunue vipimo vya UKIMWI nijipime mbele yake kumshawishi ili apime,bado aligoma.

Naombeni Mwenye ujuzi kama kuna Dawa naweza kunywa ikanisaidi kama nimeambukizwa UKIMWI
Duh,Yaani umeenda kinyume nyume..umekula ndio ukataka kupima?ushafeli
 
Mlitembea kutoka wapi mpaka wapi?
Ninaishi peke yangu inje ya inchi Mke wangu yuko TZ na tuko lockdown hakuna kutoka wala kuingia, jumanne alinitembelea binti mmoja nikajikuta nagonga dry. Kesho yake nilipomlazimisha tukapime alikata katakata, ikabidi jana Jumamosi nikanunue vipimo vya UKIMWI nijipime mbele yake kumshawishi ili apime,bado aligoma.

Naombeni Mwenye ujuzi kama kuna Dawa naweza kunywa ikanisaidi kama nimeambukizwa UKIMWI
 
Siku hizi huku mtaani kupata ngoma wanaita kujiunga Freemason.😁!

Nasikiaga muziki wa PEP nao siyo lelemama.
 
Huku poa tu sijui pande hizo!
huku kwema.
Umechelewa kuomba ushauri, ila ingekua hazijapita siku 3, tungekushauri utumie PEP, ila relax kama hakukua na michubuko kuna uwezekano usipate.

Next time uwe makini, inakuaje upige kavu kwa mtu ambaye hufahamu status yake bana, tupunguze kufanya maamuzi kwa kutumia vichwa vya chini.
Ushauri wako uko poa.
 
Nimeshawahi kunywa PEP mziki wake sio mchezo. Japo nilinusurika but sifanyi ngono zembe tena.
 
Ninaishi peke yangu inje ya nchi Mke wangu yuko TZ na tuko lockdown hakuna kutoka wala kuingia, jumanne alinitembelea binti mmoja nikajikuta nagonga dry. Kesho yake nilipomlazimisha tukapime alikata katakata, ikabidi jana Jumamosi nikanunue vipimo vya UKIMWI nijipime mbele yake kumshawishi ili apime, bado aligoma.

Naombeni Mwenye ujuzi kama kuna Dawa naweza kunywa ikanisaidi kama nimeambukizwa UKIMWI
Acha uoga kijana ,kwani ukimwi alitengenezewa kuku? tafuta mwingine loweka mkwaju alaa
 
Ninaishi peke yangu inje ya nchi Mke wangu yuko TZ na tuko lockdown hakuna kutoka wala kuingia, jumanne alinitembelea binti mmoja nikajikuta nagonga dry. Kesho yake nilipomlazimisha tukapime alikata katakata, ikabidi jana Jumamosi nikanunue vipimo vya UKIMWI nijipime mbele yake kumshawishi ili apime, bado aligoma.

Naombeni Mwenye ujuzi kama kuna Dawa naweza kunywa ikanisaidi kama nimeambukizwa UKIMWI
tuwekee majibu yako hapa kwanza
 
Nimetembea naye jumanne Leo jumapili mkuu kuna siku5
ulitumia vipimo gani, UNIGOLD inatoa majibu real-time hata kama umetoka kugonga hapo hapo Ngwenge inaonekana. Andika kabisa WOSIA na chagua aina ya jeneza unalopenda
 
Ninaishi peke yangu inje ya nchi Mke wangu yuko TZ na tuko lockdown hakuna kutoka wala kuingia, jumanne alinitembelea binti mmoja nikajikuta nagonga dry. Kesho yake nilipomlazimisha tukapime alikata katakata, ikabidi jana Jumamosi nikanunue vipimo vya UKIMWI nijipime mbele yake kumshawishi ili apime, bado aligoma.

Naombeni Mwenye ujuzi kama kuna Dawa naweza kunywa ikanisaidi kama nimeambukizwa UKIMWI

Nenda klinik kuna dawa watu wanapewa wakijihisi ila inabidi uwahi ndani ya masaa 72 nafikiri. Kaulize ulipo na ukome kuchepuka haswa kavu kavu
 
Utaratibu ni kwamba ukishajilipua unaenda hospitali unapewa prophylaxis. Nenda ukasaidiwe haraka kuna limit ya muda.
 
Back
Top Bottom