Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vipimo vya 4th generation Wiki 6 hata 4 angalao.Hicho ulichojipima jana ni kujiridhisha kwamba kabla ya kumgonga yeye Ulikuwa negativeMimi nimejipima Jana Niko freshi,sasa sijui inachukua mda gani kuonyesha kama nimeambukizwa
Tafuta PEP kama masaa 72 hayajaisha
California love
Ninaishi peke Yangu inje ya inchi Mke wangu yuko TZ na tuko lockdown hakuna kutoka wala kuingia,jumanne alinitembelea Binti mmoja nikajikuta nagonga dry, kesho yake nilipomlazimisha tukapime alikata katakata,Ikabidi Jana jumamosi nikanunue vipimo vya ukimwi nijipime mbele yake kumshawishi ili apime,bado aligoma. Naombeni Mwenye ujuzi kama kuna Dawa naweza kunywa ikanisaidi kama nimeambukizwa ukimwi
Zimepita siku ngapi toka ukutane nae? Kama zimepita siku tatu au masaa 72 basi subiri rehema za Mungu.Ila kama upo within huo muda wahi hospitali ukapate PEP.
Pole sana Brother.
Nenda hosp wakupe ushauri. Ila hata kama umepata Maambukizi kwasababu umeuwahi utatoka.
Hapa Nimekusaidia ku google.
PEP stands for post-exposure prophylaxis. It means taking antiretroviral medicines (ART) after being potentially exposed to HIV to prevent becoming infected. PEP must be started within 72 hours after a recent possible exposure to HIV, but the sooner you start PEP , the better it works.
Pole sana kiongozi. Upo nchi gani? Je zishapita Siku 3 tangu ukutane Naye
NNilichogundua nyinyi wote hamjasoma post.Kachukue PEP fasta
Jumanne alinitembelea Binti mmoja nikajikuta nagonga dry, kesho yake nilipomlazimisha tukapime alikata katakata,Ikabidi Jana jumamosi nikanunue vipimo vya ukimwi nijipime mbele yake kumshawishi ili apime,bado aligoma.NNilichogundua nyinyi wotw hamjasoma post.
Anyway mleta mada.
Kimsingi kula vizuri, fanya mazoezi, pumzika vya kutosha.
Ishi kwa matumaini.
Hio nchi si Kama bongo tu??? Tena buza kabsa. Pole Sana. Sidhani Kama umepata maambukiziMozambique, mipaka imefungwa hakuna kuingia wala kutoka tunamaliza miezi 2 sasa,na naona wataongezea mingine
Duh,umetishaUkimwi unasiri kubwa sana. Ila usipende kujifanya unamsugua mwanamke kama mkeo. Subiri miezi mitatu upime tena. Karibu chamani CHAPUTA wenzio tunakula vizuri maisha safi, tukisikia hamu tunapiga puli tu haina kufeli wala mipresha presha ya kipumbavu kisa mwanamke. Hela ya nauli umpe, kumgonga umsugue vizuri na VVU akupe tena. Mm ndio maana ngono a kiumbe chochote siiweki kwenye vipaumbele vyangu. Bora hata ununue mdoli wako unajilia tu magetoni.