Nimetembea na mwanamke bila kinga nahisi ni Mwathirika

Nimetembea na mwanamke bila kinga nahisi ni Mwathirika

NNilichogundua nyinyi wotw hamjasoma post.

Anyway mleta mada.
Kimsingi kula vizuri, fanya mazoezi, pumzika vya kutosha.
Ishi kwa matumaini.
Thanks

California love
 
Auna mzee kama umetumia kipimo kama hiki ndani ta izo siku nne kingeonyesha tu ata kama ukimwi n mpya maana zipo aina 2 postive 1 and 2 na zote zina sehemu Tatu tau kizinge kuacha kama unao. Ishi kwa Amani kuwa muaghalifu next time
20200616_152158.jpeg
 
Nakumbuka miaka mingi iliyopita Mr aliniambia endapo bahati mbaya nimepata virusi nitahakikisha wewe Mrs sikuambukizi ili ubaki na watoto.

Wazo fikirishi,
 
Maambukizi ni chini ya 0.1% ila km utafanya frequently ndo inakua shida... kwa iyo probability kuwa umepata kwa kufanya mara moja na mtu unaemuhisi ni ndogo... kikubwa unaeweza kunywa dawa za kufubaza kwa siku7.

Nakubali kusahihishwa.
 
Kama mlichibuana ndo hatari kama hamjachubuana ondoa wasi wasi
 
Pole sana Brother.

Nenda hosp wakupe ushauri. Ila hata kama umepata Maambukizi kwasababu umeuwahi utatoka.

Hapa Nimekusaidia ku google.

PEP stands for post-exposure prophylaxis. It means taking antiretroviral medicines (ART) after being potentially exposed to HIV to prevent becoming infected. PEP must be started within 72 hours after a recent possible exposure to HIV, but the sooner you start PEP , the better it works.
Tangu jumanne? Hapa kwa PEP sidhani
 
Kama uko ndani ya masaa72 . Temea mate dushe pakaa halafu kunywa maji ukojoe mara nyingi basi. Baada ya hapo. Tuma Usd nikupe dozi ya mwisho
 
Umechelewa kuomba ushauri, ila ingekua hazijapita siku 3, tungekushauri utumie PEP, ila relax kama hakukua na michubuko kuna uwezekano usipate.

Next time uwe makini, inakuaje upige kavu kwa mtu ambaye hufahamu status yake bana, tupunguze kufanya maamuzi kwa kutumia vichwa vya chini.
 
Umechelewa kuomba ushauri, ila ingekua hazijapita siku 3, tungekushauri utumie PEP, ila relax kama hakukua na michubuko kuna uwezekano usipate.

Next time uwe makini, inakuaje upige kavu kwa mtu ambaye hufahamu status yake bana, tupunguze kufanya maamuzi kwa kutumia vichwa vya chini.
[emoji16] [emoji122]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji959][emoji959] una mke na umechepuka ungevumilia tuh

Mwanakulitafuta mwanakulifind

Poleee lakiniiii huenda ni hofu yako tu pia
 
Back
Top Bottom