Wall street
Member
- Apr 4, 2019
- 65
- 330
- Thread starter
- #181
Haha naona napoteza muda wangu hapa, hebu Nipe mfano hata mmoja ambapo kampuni mbili zime lay off odds tofauti ambapo ukiweka pesa huku na huku lazima upate faida???? Never!!! Hapo kumbuka kuna draw!!!Hujui unachoongea mkuu sure odds hakuna kitu kama hicho kuna sure bets maana yake ni sports arbitrage unatumia odds za kampuni tofauti mbili ambazo odds zake ni zaidi ya 100 percent unabet kampuni hii kiasi fulani timu A kushinda na Kampuni nyingine Timu A kushindwa hence no matter the outcomes unashinda pesa
Tatizo letu binadamu kitu ambacho hujui ukiambiwa unaona mtu anakusema vibaya badala ya kuuliza huenda ukajua kitu.., nobody knows everything and even a Genius asks questions..., na kila anayekwambia kitu sio negativity bali ana mtizamo tofauti kwahio jibu kwa Hoja kwanini betting ni long term business..
huwezi kulinganisha risks involved kwenye kilimo a betting..., odds za ukilima sehemu yenye mvua nyingi, na uwezekano wa kumwagilizia propability ya kupanda mchicha ukavuna bangi sio sawa na probability ya kubet mfano Barcelona msimu mzima kwamba wanashinda the reality is mwenye kubet mwisho wa siku atalia
Ukinipa mfano hata mmoja ntakutumia 100k sasa ivi na naomba kila mtu awe shahidi