Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

Hujui unachoongea mkuu sure odds hakuna kitu kama hicho kuna sure bets maana yake ni sports arbitrage unatumia odds za kampuni tofauti mbili ambazo odds zake ni zaidi ya 100 percent unabet kampuni hii kiasi fulani timu A kushinda na Kampuni nyingine Timu A kushindwa hence no matter the outcomes unashinda pesa

Tatizo letu binadamu kitu ambacho hujui ukiambiwa unaona mtu anakusema vibaya badala ya kuuliza huenda ukajua kitu.., nobody knows everything and even a Genius asks questions..., na kila anayekwambia kitu sio negativity bali ana mtizamo tofauti kwahio jibu kwa Hoja kwanini betting ni long term business..

huwezi kulinganisha risks involved kwenye kilimo a betting..., odds za ukilima sehemu yenye mvua nyingi, na uwezekano wa kumwagilizia propability ya kupanda mchicha ukavuna bangi sio sawa na probability ya kubet mfano Barcelona msimu mzima kwamba wanashinda the reality is mwenye kubet mwisho wa siku atalia
Haha naona napoteza muda wangu hapa, hebu Nipe mfano hata mmoja ambapo kampuni mbili zime lay off odds tofauti ambapo ukiweka pesa huku na huku lazima upate faida???? Never!!! Hapo kumbuka kuna draw!!!

Ukinipa mfano hata mmoja ntakutumia 100k sasa ivi na naomba kila mtu awe shahidi
 
hivi unajua probability ya kushinda mkeka ? Accumulators, hizi unajua kwamba bookmakers wanapenda mikeka kuliko single bets sababu ndio zinawapatia pesa... ? Its all in mathematics mkuu, unajua kila timu unayoongeza na uwezekano unapungua kiasi gani ? unajua loosers wangapi kwa wiki wanasema timu moja tu yaani timu moja ilinikosesha pesa ? Narudia bet kama leisure not a money making scheme.., kama unataka iwe money making tengeneza tips n.k. uwauzie watu
Mkuu nisaidie bookmaker anayekubali single match...yaani kila mechi ijitegemee, mf. nikibet timu 4 mbili zikaenda against nillipwe za hizo mbili nilizopatia.
 
Now that's one stupid question!! Hueleweki
1.) Nikisuka kikapu chenye thamani ya shs.500/= maana yake nimezalisha na kuongeza uchumi kwa 500/=
2.)Nikifanya kibarua cha 10,000/= kwa siku maana yake nimezalisha na kuongeza uchumi kwa10,000/=
Sasa je, we umezalisha bidhaa au huduma ipi katika uchumi wa taifa? The question is only as stupid as you are
 
Mkuu nisaidie bookmaker anayekubali single match...yaani kila mechi ijitegemee, mf. nikibet timu 4 mbili zikaenda against nillipwe za hizo mbili nilizopatia.
Meridianbet ndio smartest bookmakers hapa tz IMO!!

Ila mkuu hio ya kusema unataka ukibet mechi NNE ukishinda mbili ulipwe ni strategy mbovu kweli, inawezekana, ukishachagua timu NNE chagua option ya singles pale kwenye bet slip toa tiki pale kwenye combination

Ujinga wake sasa, hata ujishinda mechi zote payout itakua kidogo sio kama ile ya combination, let's say kwenye combination kuna laki 8, ukibet singles ukishinda zote utapewa around laki 6 na usher

Ukishinda mechi tatu ukakosa moja, now here is where the drama starts, yaani unaweza weka laki 3 ukaweka timu nne let's says zina odds 5 combined unasubiria 1.5M, ukiweka combination ukikosa moja yani ndo pesa imeenda Ivo, ukiweka singles ukikosa timu moja wanaweza kukulipa around 32000/ = kwenye io laki 3 yako, ukikosa mbili unaeza ambulia 9000/= so mi naonaga ni Ujinga tu, kumbuka hata ukipata zote kama umechagua singles hutapata 1.5M watakupa around 1.2 ivi... So its not worth it!!
 
1.) Nikisuka kikapu chenye thamani ya shs.500/= maana yake nimezalisha na kuongeza uchumi kwa 500/=
2.)Nikifanya kibarua cha 10,000/= kwa siku maana yake nimezalisha na kuongeza uchumi kwa10,000/=
Sasa je, we umezalisha bidhaa au huduma ipi katika uchumi wa taifa? The question is only as stupid as you are
Mkuu naomba mtu akiweza kujibu hili swali lako unitag!!! Umekunywa chai? Tuanzie hapo kwanza??

Ukifanya kibarua cha elfu kumi unakua umekuza uchumi kwa elfu kumi??? Ila Mimi niliyebet nikafanya miamala zaidi ya 20 maana wananilipa kwa m pesa, nakatwa pesa kila ninapoitoa, voda wanalipa kodi,kampuni ya kubet wanalipa kodi! Afu unaniambia nakua sijasaidia chochote kiuchumi??? Ila we umefanya kibarua umepewa elfu kumi ndo unakuza uchumi???? Makes sense right?? Haha

Ifike mahali JF watoe tu Yale maneno 'THE HOME OF GREAT THINKERS' maana kuna mazuzu kibao tu huku! Haya kafanye kibarua ukuze uchumi
 
Sasa tujadili bila mipasho. Sijasema hujasaidia chochote katika uchumi, bali nimeuliza, UMEZALISHA NINI katika uchumi wa taifa? Mfano, chukulia pesa zote zilizopo Tanzania (Za serikali na raia wake wote ni shs.10), huu ni mfano tu, na hii shs.10 tukaiweka kwenye kikapu, tuite huu ndio uchumi wetu wa sh.10. Tusema wewe ndie raia mmoja wapo una miliki shs.3 kati ya hizo 10 zilizopo ndani ya kikapu. Sasa basi, tukachukua shs. 1 yako toka katika 3 ulizokua nazo ndani ya kikapu, maana yake unabaki na 2 ndani ya hilo kapu, halafu zile 7 za serikali tukaziongezea ile moja tuliyokukata kodi, kwahiyo serikali inakuwa na nane, kwahiyo 2 za kwako jumlisha 8 za sasa za serikali tunapata 10 ile ile iliyokuwapo awali kwenye kapu (uchumi wa taifa), hujaongeza chochote. Ila endapo utalima mfano korosho zenye thamani ya shs.3 ambazo mwanzo hazikuwepo katika mahesabu (zimezalishwa bidhaa) maananyakr ni kwamba sasa ndani ya kapu tuna shs. 13/=, hili ni ongezeko katika GDP / uchumi. Sasa legeza ubongo na ujadili kwa nia ya kunielewa na sio kunipinga tu kwa mindset uliyonayo, uwe tayari kujifunza wazo jipya na usiwe rigid, ni hayo tu.
 
Basi sijasaidia chochote kukuza pato la taifa, nimekuza pato langu!!

Case closed
 
...ckulaumu maana akili yako iliamua kuishiaa kwenye izo computer models....sasa ujinga huo nshauacha zamani sana.....niko mbele hatua mia .....kamtafte mtu anaitwa wilson perumal wa singapore na asia betting syndicate...ukisha study izo cases...ndo utaacha ushubwada unao uongea
"Wilson Raj Perumal (born 31 July 1965) is a convicted Singaporean match-fixer.
Perumal is accused on several match fixing scandals, including Asiagate in 2007–2009 and the 2008–2011 Finnish match-fixing scandal. He was first jailed for match-fixing in 1995 in Singapore.[3] In the same year, Perumal traveled to England on behalf of a Singaporean match-fixing boss to fix two FA Cup matches. According to his autobiography, Perumal and an associate attempted to bribe Birmingham's goalkeeper Ian Bennett and Chelsea's goalkeeper Dmitri Kharine, failing both times.[4]"https://en.wikipedia.org/wiki/Wilson_Raj_Perumal

Unaongelea match fixing ? hivi mpaka umuonge mtu / timu it means wewe unaweka dau la juu.., pili kuna bots in place wakiona pesa nyingi imekwenda sehemu fulani tofauti na odds wanafaya investigation ni nani na kwanini kaweka dau kama hilo na ana uhusiano na nani..., hio ni moja pili match fixing sio betting ni criminal activity ambayo kama ukishinda sio betting tena sababu probability na odds zipo at your favour...
 
Mo kwenye game ya simba na as vita aliweka million 100 in a single bet.
Huu ni uongo Mkubwa sana!!!

Kuna betting limit kwenye hizi ligi ndogondogo hasa huku africa , sidhani kama kuna kampuni wanapokea hata milioni moja kwenye hizi ligi za east Africa per single bet, wanalimit sana

Afcon iliyopita ulikua huwezi kubet zaidi ya 235,000/= kwa single bet kwenye hizi kampuni ya kibongo!! Makampuni yote makubwa duniani yana betting limits kwenye ligi ndogo ndogo Ku avoid match fixing,unakuta huwez kubet zaidi ya dola 200

Mfano ndugu zangu yanga wanavyotembeza bakuli na wachezaji kulalamika hawalipwi afu kama kampuni uruhusu bets za M100 unadhani nini kitatokea?
 
Ndo maana unaona kwenye stakes kubwa tunaweka timu moja au mbili, to minimize the risks! Sasa unategemea ntaweka milioni afu niweke timu kumi???
Shida ni kwamba there is no such thing as a banker hata celtic kipindi kile cha Henrick larrson kule Scotland inapiga watu kila weekend, kama mtu utabet hio huenda kwa msimu sababu odds ni ndogo unajikuta una faida ya kama 1m sasa sababu labda upate hata laki inabidi kila mara uweke lets say 1m hence game moja tu ukikosea you are in red...

Point yangu ni kwamba there is no practical system in the long run (mathematically impossible) ndio maana its a Big business kwa kina Sport Pesa na Serikali ya Tanzania ambayo inakula 15% kila ukishinda kwahio kila unapopewa odds za 1.5 in reality ni odds ndogo zaidi mkuu....,
 
Nimekua mtu wa kubet hapa na pale kwa muda mrefu bila mahesabu, yaani sijui napoteza kiasi gani wala napata kiasi gani.. Mwaka ulipoanza nikaamua nifanye kiufasaha kidogo, nikajipa miezi minne ni detail kila kitu, nijue napoteza au napata kiasi gani kwa muda huo..

Tar 1 January nikadeposit 500,000 kwenye account yangu nikaiandika kama debt mahali., nikaja na formula yangu, nafanya analysis kabla mechi hazijaanza lakini nakuja kuzibetia zikiwa live in play kutokana na trend itavyokwenda..

Nikaanza kuona mafanikio, ile laki 5 nikafanikiwa kuirejesha ilhali Nina pesa kwenye account yangu, nikatafuta safe deposit(sanduku la chuma) ambalo nikiwa naweka pesa zote ambazo nakua nime withdraw nikishinda, yani naweka zote sitoi ata hela ya bia kwenye hela niliyo withdraw...

Kuna ups and downs, kuna kipindi pesa kwenye account inaisha najikopesha tena naweka bila kugusa hela ya kwenye sanduku, wiki Jana nilifanikiwa kujilipa madeni yote niliyojikopesha, na kufanya deposit kwenye sanduku langu nikabaki na 473,000 kwenye account ambayo yote nimeipoteza

The thing is I feel like my game have been down this week and I decided to call it a day, sheria kubwa ya gambling inasema 'know when to walk away' and i feel its time.. Nimepanga sitabet tena mpaka ligi zianze august

Leo nimevunja sanduku langu na kupata ina kama 15.6M.... Nimesha draft plan ya kuifanyia 15M hii laki 6 ngoja nipambane na hii weekend kwanza

Hizi ni baadhi za bets za April tu maana nimeshindwa kuleta za kuanzia jan huko ingekua kazi kubwa, nimeleta Uzi huu nadhani kuna mtu anaweza jifunza kitu hapa, be responsible with your hard earned money, hakikisha you keep your records

Na hawa wazee hawana utani mwezi March niliweka M1 timu moja wakapita nayo

Betting is addictive be careful, bet what you can afford to lose....
Mm naomba ukianza tena tuwe wote tutembeleee upepo mmoja
 
Mkuu hueleweki,
Iwe Single Match, iwe Mult Bet zote zaitwa mkeka, so hakuna namna wakapenda mkeka badala ya single match sababu nazo ni mkeka pia.
Okay kama zote ni mkeka ila multiple bets zinapendwa sababu probability inaongezeka kwa Bookie
Pili multbets (mabehewa) ni kweli yanapunguza uwezekano wa kushinda ndio maana wengine huigawa into mikeka kadhaa badala ya mmoja mrefu.
Ukigawa multiple bets bado sikawa multiples bookies ana prefer hizo multiples nyingi nyingi kuliko singles
Tatu Kuuza tips zenye una uhakika nazo wakashinde wengine kuna faida gani kuliko kubet mwenyewe Kama mtaji unao? Na kama unauza tips ambazo huna uhakika nazo nao ni utapeli ambao sio kila mtu anaweza mkuu

Kuuza tips una guarantee ya profit.., siku wakiliwa ni jamaa wameliwa na wewe chako umechukua siku wakipata ndio furaha yako sababu na kesho watarudi ..., win, win situation
 
Back
Top Bottom