Mbona pesa ndogo sana hio kwa miaka 3 sawa na milion 10 kila mwaka.
Wakati nyanya tu ndani ya miezi 3 unapata zaidi ya hizo kwa heka 10
Unaweza kuwa mkulima na bado ukaajiriwa.million 10 gawa kwa miez 12 ni sawa na800,000 kwa mwezi.
hapo amna kitu ni zaid ya mshahara wangu
nalipwa zaidi ya 14 kwa mwaka
kilimo to the hell
Nimeanza kulima serious toka mwaka 2019, nikilima mahindi na viazi vitamu ndani ya misimu mitatu yaani toka 2022 mpaka sasa nimeweza kutengeneza faida ya 30M kupitia kilimo cha mahindi, viazi vitamu, na maharage.
Kwa hakika kilimo ni biashara tamu.
Nawashauri vijana wenzangu mchangamkie fursa.
Hata hivyo sijaleta uzi kuwa inspire nyie matajiri wakubwa, uzi wangu unawalenga vijana ambao hawana mitaji wanaoweza kujiajiri kupitia kilimo.Kwanza kabisa 30M sio hela nyingi za kukufanya uje utupe testimony ukitegemea utatu inspire. Secondly, ume invest how much kuja kupata hio 30M kwa miaka mitatu..? Tudadavulie mahesabu yalivyo mpaka faida ya 30M ipatikane. Thirdly, jaribu kutizama agribusiness pia, ina hela kuliko kulimo. Uki invest vizuri kwenye agribusiness za horticulture, 30M ni hela ya miezi miwili hadi mitatu unaipata.
Milioni 30 ni pesa ndogo kwa nyie matajiri lakini kwa vijana wanaotafuta maisha ni pesa nyingi sana.Kwanza nikupongeze sana mkuu. Ila Kimahesabu M30 kwa miaka mitatu yakutoka jasho na damu M30 ni pesa ndogo ila kwakuwa mtaji umepanda hii itakuwa njia yako ya kudouble hiyo M30 na kufika mbali.
Which is very okay. Wape mchanganuo sasa, A worked out idea bila working plan ni day dreaming hizo.Hata hivyo sijaleta uzi kuwa inspire nyie matajiri wakubwa, uzi wangu unawalenga vijana ambao hawana mitaji wanaoweza kujiajiri kupitia kilimo.
Yeye tuseme analima na kuna mishe nyingine anapiga.million 10 gawa kwa miez 12 ni sawa na800,000 kwa mwezi.
hapo amna kitu ni zaid ya mshahara wangu
nalipwa zaidi ya 14 kwa mwaka
kilimo to the hell
Hata hivyo sijaleta uzi kuwa inspire nyie matajiri wakubwa, uzi wangu unawalenga vijana ambao hawana mitaji wanaoweza kujiajiri kupitia kilimo.