Muda mwingi sana pia lakini anyways, something is better than nothing, kimfaacho mtu chake bwana.30,000,000 / 36 (miezi) = 833,333 >> 850,000 (kwa mwezi)
Uzi wako Maana yake ni kwamba au kichwa chake kinasema
Nimetengeneza 850,000 faida ya kilimo kwa mwezi mmoja.
Sisemi 850,000 ni pesa ndogo ila binafsi naamini umetumia nguvu nyingi
pesa nyingi,akili nyingi kutafuta faida ndogo ambayo bila hata nguvu ulizotumia ungeweza ipata.
Tajiri wa jf kwako 850,000/- ni ndogo, hivi unajua mishahara ya waajiriwa wengi? Acheni kufuru30,000,000 / 36 (miezi) = 833,333 >> 850,000 (kwa mwezi)
Uzi wako Maana yake ni kwamba au kichwa chake kinasema
Nimetengeneza 850,000 faida ya kilimo kwa mwezi mmoja.
Sisemi 850,000 ni pesa ndogo ila binafsi naamini umetumia nguvu nyingi
pesa nyingi,akili nyingi kutafuta faida ndogo ambayo bila hata nguvu ulizotumia ungeweza ipata.
hamna aliebeza 850,000 ni pesa ndogo,ni hela nyingi sana sanaTajiri wa jf kwako 850,000/- hivi unajua mishahara ya waajiriwa wengi? Acheni kufuru
Mimi sina mchanganuo kwa kweli ila nilikuwa nalima kidogo hapo nyuma huku nikiendelea na shughuli zangu, lakini mwaka 2021 nilikuwa serious kidogo ambapo nilianza na milioni 3.5 mpaka sasa nina nikitoa hiyo 3.5 nabakiza milioni 30 na hiyo ndo faida niliyoipata kwa hii miaka 3 yaani 2021, 2022 na 2023.Matajiri wepi Molembe!? Matajiri ambao efu10 wanaiona ndogo lakini means ya kuipata bila wizi na ujanjaujanja hawana[emoji849]
Hebu tuwekee tumaelezo zaidi tujifunze hata kama faida ni milioni 10 sio haba
Wewe umejuaje nimetumia nguvu na akili nyingi?hamna aliebeza 850,000 ni pesa ndogo,ni hela nyingi sana sana
lakini kwa nguvu na muda na akili ulizotumia 850,000 ni pesa ndogo sana
ulipaswa kwa muda uliotumia akili ulizotumia upate zaidi ya 850,000 kwa mwezi.
kwanini? una sifa ya uvumilivu kama Jibu ni ndio kuna pesa sehemu nyingi sana ambazo
ukiwa na uvumilivu wa miezi kadhaa tu,huwezi kukosa hiyo hela sasa upge miaka mi 3
ungekua unaongelea pesa nyingi sana,hiyo 30m ilipaswa walau uipate ndani ya miezi 6
kwa akili ulizo nazo,muda uliotumia nk lakini matokeo yake umeipata kwa kuchelewa sana.
Nimeanza kulima serious toka mwaka 2019, nikilima mahindi na viazi vitamu ndani ya misimu mitatu yaani toka 2022 mpaka sasa nimeweza kutengeneza faida ya 30M kupitia kilimo cha mahindi, viazi vitamu, na maharage.
Kwa hakika kilimo ni biashara tamu.
Nawashauri vijana wenzangu mchangamkie fursa.
Mashamba nakodi ninatumia vijana kusimamia na nayatembelea mara kwa mara.Nipe mchongo ndugu yangu, unalima mashamba eneo gani na unatumia njia gani ili kufanikiwa?
Achana Nao mkuuHata hivyo sijaleta uzi kuwa inspire nyie matajiri wakubwa, uzi wangu unawalenga vijana ambao hawana mitaji wanaoweza kujiajiri kupitia kilimo.
Wapi kule wanajisifu kudhulumu elf 30 za tala ,pesa X na branch ,halafu hapa wanajitia ushubwadaMatajiri wepi Molembe!? Matajiri ambao efu10 wanaiona ndogo lakini means ya kuipata bila wizi na ujanjaujanja hawana🙄
Hebu tuwekee tumaelezo zaidi tujifunze hata kama faida ni milioni 10 sio haba
Well articulatedMuda mwingi sana pia lakini anyways, something is better than nothing, kimfaacho mtu chake bwana.
Wapi kule wanajisifu kudhulumu elf 30 za tala ,pesa X na branch ,halafu hapa wanajitia ushubwada
Mbuzi kabisa
30,000,000 / 36 (miezi) = 833,333 >> 850,000 (kwa mwezi)
Uzi wako Maana yake ni kwamba au kichwa chake kinasema
Nimetengeneza 850,000 faida ya kilimo kwa mwezi mmoja.
Sisemi 850,000 ni pesa ndogo ila binafsi naamini umetumia nguvu nyingi
pesa nyingi,akili nyingi kutafuta faida ndogo ambayo bila hata nguvu ulizotumia ungeweza ipata.
kurudisha 30m kwenye kilimo unahisi ni nini kilitumika?Wewe umejuaje nimetumia nguvu na akili nyingi?
Wala sikodishi shamba wala kuuza mbegu nimeongelea kitu nilichokipata kutokana na shughuli za kilimo.Mnapagwa hapa,kama hakodishi mashamba basi anauza mbegu.
Ontario naye alianza humu na hadithi za tractor na faida ya 18M.
Stay tuned!
Kwani kuna pesa inapatikana bila kutumia nguvu na akili nyingi?kurudisha 30m kwenye kilimo unahisi ni nini kilitumika?
Hapana hata kwa sekunde/dakika/saa/siku/wiki/mwezi/mwakaKwan hela lazima igawanywe kwa mwezi?