Nimetengeneza milioni 30 faida ya kilimo ndani ya miaka 3

Kwani kuna pesa inapatikana bila kutumia nguvu na akili nyingi?
Kwa taarifa tu kilimo cha sasa hutumii nguvu nyingi ni pesa yako tu mambo yanaenda
asubutuuuuu,tungekua wote wakulima
 
Eti Kwa nguvu unayotumia ilitakiwa upate hiyo million 30 ndani ya miezi 6 ,Wao kuweza ?
ukiwa hujawahi shika hela flani kuna hela ukitajiwa unaziona nyingi sana sana

30m ndani ya miezi 6 = na 5m kwa mwezi ambayo ni sawa na 166 > 170k kwa siku

170k ni hela (faida) ambayo inapatikana kwa kuuza bidhaa 1 tu ya electronic Just 1 piece (eg: tv)

calculate kwa siku mtu anauza tv si chini ya 3,achana na electronics zingine na biashara zingine zenye faida tofauti.

hujaweka vibiashara uchwara vingine mtu anafanya,hilo ni duka 1 tu..unaongelea 30m unaona ni hela nyingi sana?

hiyo ni hela imetolewa tu mfano kulingana na level ya mtoa mada ila tukisema tuweke uhalisia wa Mtu mwenye akili na mtaji anatakiwa aingize kiasi gani kwa mwezi/miezi 6 watu wataguna mpka makoo yawaume.
 
Kwahiyo ukisikia mtu analima kila siku lazima aende ainame shambani, kilimo cha sasa unaweza kukifanya upo mjini na ukapata matokeo mazuri ni usimamizi mzuri tu unahitajika.
sawa
 
Narudia tena, ingelikua ni rahisi hivyo tungekua na mamilionea wengi tu
Uhalisia wa ground struggles unajulikana
Nakuhakikishia , laki 8.5 ni nyingi Kwa vijana wengi
Unaongelea constant flow ya laki 8.5 Kwa mwaka.
Wengi Wana bidii,uvumilivu na juhudi za utafutaji ila hawapati hiyo Hela
Humu kila Leo zinaletwa threads za watu wanaongelea Hali za uchumi zilivyo ,ni tofauti na unachokielezea theoretically.
Sio rahisi unachokisema
 
laki 8.5 ni nyingi Kwa vijana wengi
sikatai wala kubisha kuhusu hii pesa ni nyingi sana na wapo vijana wengi tu

hutamani walau wapate kazi ya kipato hichi,ila pia mtu asiseme 30m kwa miezi 6

ni hela isiyopatikana,katika wengi kuna wachache wanaoweza ipata na zaidi ya hiyo pia.

kama ambavyo wengi hawawezi ipata ndio mana idadi ya matajiri pia sio kubwa,ila n kitu inawezekana.
 
Hili group bwana Kila mtu anavyo jisikia. hivi kweli watu wote wana uwezo wa kuuza TV hata Mimi sina lkn napambana, hem watupe mchanganuo wa MTU wa daraja ya chin anapataje 30m Kwa miezi 6?
 
Mbona pesa ndogo sana hio kwa miaka 3 sawa na milion 10 kila mwaka.
Wakati nyanya tu ndani ya miezi 3 unapata zaidi ya hizo kwa heka 10
Wew hiyo 30m kwa miaka mitatu unayo? Aijalishi ume invest nn! Kana unayo tupe mbinu itakayo kua bora kuliko mbinu ya muda mrefu outcome ndogo!
 
Hapo tayari umemaliza. Kushauri si kwa mistari 2; fafanua. Umelima wapi? heka ngapi? Umelima mwenyewe au trekta? Na mengineyo ya kunishawishi. Uwezi Ukanitoa kijuujuu namna hiyo mie kijana wa mjini nikuige kirahisi hivyo.
 
We acha tu
 
Da! Viazi mviringo vishatukata mda huuu wakati mwezi wa 5 vilikuwa 80elf saa hizi 30-35. Vimeshalima mitaji.
Waliofanikiwa bana huona wengine wajinga wanacheza.
 
Hata hivyo sijaleta uzi kuwa inspire nyie matajiri wakubwa, uzi wangu unawalenga vijana ambao hawana mitaji wanaoweza kujiajiri kupitia kilimo.
Safi kabisa, humu Kuna watu wanajifanya ujuaji Sana

Wakati Kuna watu kibao wanajitolea kwa 50k Hadi 200k kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…