Nimetengeneza milioni 30 faida ya kilimo ndani ya miaka 3

Ila unaweza kumaliza hata siku 3 hujauza ila huwezi kumaliza siku 3 hujala
 
Hata hivyo sijaleta uzi kuwa inspire nyie matajiri wakubwa, uzi wangu unawalenga vijana ambao hawana mitaji wanaoweza kujiajiri kupitia kilimo.
Kuna watu humu elfu tatu ya kula inawapiga chenga. Lakini wakiwa nyuma ya Keyboard wanaishi maisha ya ndoto zao.😀 Wanajiona wajuaji na mtajiri. Tupe nondo mkuu. Wapiganaji Tupo.
 
Nakubali kaka, ukipata mda tupe njia ulizopitia na mtaji oloanza nao ikibidi hata ukubwa wa ardhi uliyotumia, kilimo naanza nacho this season sitaki masihara.
 
Ndo maana wewe ukatumia nguvu kidogo kumtapeli mpenzi wako Queen of Sheba? Lipa pesa za watu mkuu. Acha utapeli
 
Hata hivyo sijaleta uzi kuwa inspire nyie matajiri wakubwa, uzi wangu unawalenga vijana ambao hawana mitaji wanaoweza kujiajiri kupitia kilimo.
Acha kutoa siri za jeshi. Sisi tulio field tunakuelewa. Wao wamezoea light motivation speakers. Ndani ya humu JF wote ni wajuaji na wako vizuri financially. Niko chimbo nitalima ufuta na karanga mwaka huu nitarudi kama siyo hapa hata Pm tupeane ma ujanja.
 

Unawezaje kuzipata hela kama hzo bila kutumia energy kubwa?
 
Mbona pesa ndogo sana hio kwa miaka 3 sawa na milion 10 kila mwaka.
Wakati nyanya tu ndani ya miezi 3 unapata zaidi ya hizo kwa heka 10
Hiyo 30m siyo haba Mkuu. Unayafahamu maisha ya watanzania Kwa ujumla, huyu mwenye wastani wa faida ya shi.10m Kwa mwaka ni tajiri kiongozi. Apewe maua
 
Kubwa inategemeana unafanya reference ipi.
Una uwezo wa kuwawezesha watanzania wangapi Kama unajua hela nyingi Ni ipi Basi angalau watanzania laki moja wapate hata 15M ndani ya miaka iyo mitatu? Ama just your ego iko kazini. Wewe umemchukulia negatively mleta maada Kama akaleta majigambo fulani na ilhali sio ivyo kabisa . Sema negative mind Ina seek negative and weakness tu Vice versa haiwezi kudadavua. Yaani kwanza wewe kwenda hata kwa watt yatima ukawanunulia chakula Cha laki moja huwezi ama usomeshe Basi mmoja angalau Hadi chuo kikuu huwezi Ila unaiona iyo pesa Ni ndogo. Hapo ulipo huwezi ukaombwa alfu moja ukatoa bila ya kutaka kuiulizia Ni ya Nini.
So lower your ego be humble otherwise nature will humble you
 
Mkuu ungetwambia pia unawezaje kuipata hiyo bila hata nguvu na akili. Nadhani itasaidia pia ku inspire wadau hapa.
 
Huwezi ukamushroom na kuanza kuuza TV, you need to begin somewhere.

Hiyo 30m akiingia kuuza TV saizi atatengeneza Hela zaidi. At least kijana amepambana, ameachieve the best of him. Tuache kusema hiyo Hela.
 
Ni biashara tamu kuanzia mwaka 2021 baada ya Samia,huko kwingine ilikuwa ni laana.

Kama mahindi tuu bei ni Kati ya 80,000-120,000 Kwa nini usitengeneze pesa?
 
Nimeminspire sana huyu mwamba. Ni mpambanaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…