Nimetengeneza shule ya kwanza ya kidigitali ambayo wanafunzi watasoma na kufanya mitihani wakiwa nyumbani

Nadhani Ni mwanzo wa mabadiliko,,,hapo nyuma kidogo Tanzania hatukuwa hata na barua Pepe lakini baadae tunapata kila kitu kiganjani
Upo sahihi sana,
Nimalizie kwa kusema; Tungependa kukuonyesha kwa vitendo namna system hii inavyofanya kazi kwa vitendo pia tumejianda kwa yafuhatayo endapo mazingira ya jambo letu yakienda sawa. 1. Kama shule tumependekeza kwa pamoja kila faida tutakayo ipata asilimia kadhaa (Inaweza kuwa kati ya 3% hadi 9%) kila mwezi tuelekeze kwenye sekta ya Elimu kuhakikisha vijijini na mijini tunapeleka computer nyingi ili watoto waweze kujifunza tehama mapema Kwa kidogo tutakacho kipata tutahakikisha hichohicho tunakitumia kuzifikia shule za serikali zenye changamoto ili tuweze kutatua kwa nafasi yetu. TUENDELEE KUOMBEANA
 
Tatizo hujaelewa msingi wa shule na sababu gani watu hujumuika na wengine.

Mtoto anatakiwa ajifunze na wenzake, ili ajue jinsi ya kuishi na wanadamu wengine
 
Nashukuru sana kwa ushahuri huu, Nakuhakikishia mpaka kufikia jumamosi tutakuwa tumekwisha fanya hivyo (Umenipa wazo zuri) na nitakuletea mrejesho hapa kwamba nimikwisha rekebisha. Ahsante kwa kuchangia uboreshaji
Njoo Inbox tuyajenge mm nina ideas kadhaa za computer application tunaeza share kwa makubaliano ukapiga code then tukatafuta fund ICT Commission au COStech tukapiga pesa ndefu.....
 
Nina design concept ya wazo Kama hili Online School product ni hizohizo ila nimeweka iwe katika mfumo mmoja zaidi user akiingia kwa mfumo atapata product zote bila ya kuwa na platform tofauti pia nimeweka kuwe na user wawili Student na Teacher...ukiwa interested na hi design nicheki unaweza nipa hela ya juisi tu maana nime design for future use na kuweka kwenye portifolios yangu

Mimi Ni designer wa mawazo ya kimtandao nipo vuzuri kwenye ku desgn business side ya wazo na kufanya liwe na features rafiki zaidi kibiashara kuna wazo hili la wapo wa No Fap walikuwa nalo nimeli design kibiashara zaidi
 
Tatizo hujaelewa msingi wa shule na sababu gani watu hujumuika na wengine.

Mtoto anatakiwa ajifunze na wenzake, ili ajue jinsi ya kuishi na wanadamu wengine
Mode of capacity delivering ya is no static ni dynamic so mode zote zinaweza tumika at last lengo la kumjengea uwezo muhitaji linafikia!!!
 
Upo sahihi sana,
Nimalizie kwa kusema; Tungependa kukuonyesha kwa vitendo namna system hii inavyofanya kazi kwa vitendo pia tumejianda kwa yafuhatayo endapo mazingira ya jambo letu yakienda sawa. 1....
Hongera Sana!hakika utafanikiwa usikate tamaa.
 
Hapo mwisho ulikuwa na maana gani? Unadhani kama wewe mkufunzi hujui vitu vidogo hao wanafunzi si ndiyo watakuwa wehu.

Tufuhatilie*
 
Hongera sana bro, Mungu azidi kufanya wepesi, huu mfumo Taifa online ulinisaidia sana kipindi cha likizo ya UVIKO 19, mbali na kwamba tulikua na likizo ya muda mrefu (miezi 3) lakini nilijiandaa vyema kupitia mfumo wako na nikascore division one.......All the best Bro.
 
ila hiyo digital school sio ya Tanzania ya leo, au mwenzetu unaishi first world country sio hi bongo yetu?
Dunia ni kijiji mzee ,watanzania wengi wanatumia mitandao, Tanzania sio kisiwa
 
Naiona changamoto kwa upande wa Sustainable source of power. Tanesco wanazingua sana.
 
Juhudi nzuri kabisa, tatizo lipo kwa wasomaji wanatumia bando kutazama namna ya kujichua
 
Wazo zuri, wazo lako linaendana na teknolojia pia.
Mdogo mdogo watakuelewa.
 
Hii ndio maana halisi ya innovation, keep it up. Fanya branding ya kutosha ili watu waifahamu hii shule.
 
Aise nimefarijika sana mno, Naomba tusasiliane +44 20 8638 6826 whatsapp
 
Naiona changamoto kwa upande wa Sustainable source of power. Tanesco wanazingua sana.
Pengine changamoto hii itatatuliwa mapema kwa muda ujao, Tuweke tumaini letu kwenye bwawa la nyerere pengine litazaa matunda tunayoyatazamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…