Nimethibitisha jamii inayoongea Kiingereza ina uelewa mkubwa na IQ za juu kulinganisha na waongeaji wa Kiswahili

Nimethibitisha jamii inayoongea Kiingereza ina uelewa mkubwa na IQ za juu kulinganisha na waongeaji wa Kiswahili

Uko sahihi ila kinacho iponza Tanzania ni elimu fake, Tanzania ni nchi peke wadarasa la saba na graduate wakika pamoja huwezi kuwatofautisha mpaka watowe vyeti vyao, kwa mfano mzuri musukuma ikiwa bungeni hana tofauti na profesa moja wakiwa wana changia hoja.
Tanzania ni nchi pekee mtu anamaliza darasaa saba na anafaulu kujiunga form 1 ila hajui kusoma. Hii nimethibitisha
 
Ooh kumbe but they speak English right? Sasa kama English imetumika kama kigezo cha kujitambua na ukombozi kifikra kwanini wanakuwa na ukabila?Kwanini English isiwe unifying tool huko Nigeria na Uganda?
Mkuu wataka kusema kwamba Tanzania haina ukabila, udini, ukaanda, ubaguzi wa rangi? nk.....neno ukabila unatumika na wana siasa kuhalalisha kutumia kiswahili ila ukweli ni kwamba ukabila ulioko Tz unazidi ulioko uganda udini ulioko Tz ni mkubwa kuliko ulioko kenya, tembea ujionee mwenyewe.
 
Umjamuelewa mtao mada
Ok,wewe liweke sawa labda ulivyoelewa.Ameongelea lugha kama sehemu ya kumfanya mtu kujitambua na suala la kuamka kifikira na katumia English kama mfano ndio maana nikauliza Uganda,Nigeria,Zimbabwe huko hali zao ziko vipi? maana English iko widely used huko
 
Nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili.

Lugha ina tabia ya kuendana na utamaduni wake. Mfano waingereza na waongeaji wa Kiingereza ni watu wenye utamaduni wa kuwa wazi, wakweli na wathubutu. Waswahili wana tabia ya kuwa waoga, waongo na wanafiki.

Hali inayoendelea Kenya kisiasa na kiuchumi haitofautiani na ya Tanzania. Wizi, ufisadi na rushwa kwa viongozi vimetamalaki katika nchi zote mbili ila kuna tofauti ya jinsi ya kukabiliana nayo.

Wakenya wana uthubutu wa kusema ukweli hadharani, kujitokeza na kuupinga uovu huo. Tanzania tunasifia na kutukuza wezi, mafisadi na wala rushwa huku wengi wakiendelea na maumivu yasiyomithilika.

Hapo ndipo linakuja suala la lugha na utamaduni wake. Upande mmoja ni ukweli, uwazi na uthubutu na huku kwingine ni unafiki, uoga, uongo na ujinga mwingi.
Mungu atusaidie, amina.
Uko sahihi kwa maneno ya kimombo unaweza muelewesha mtu Kwa ufasaha zaidi, (we normally think outside the box)
 
Mkuu Tanzania haina ukabila, udini, ukaanda, ubaguzi wa rangi nk.....neno ukabila unatumika na wana siasa kuhalalisha kutumia kiswahili ila ukweli ni kwamba ukabila ulioko Tz unazidi ulioko uganda udini ulioko Tz ni mkubwa kuliko ulioko kenya, tembea ujionee mwenyewe.
Mimi sitaki kujua yaliyopo Tanzania katika hii debate.Binafsi niko against na wanaona sema English has been a tool of awakening people,making them see world different from others who don't speak English.Nimekuuliza Uganda,Nigeria and Zimbabwe mambo yako sawa ukichukulia kigezo cha lugha.

Binafsi najua mnapata hamasa na walichofanya wakenya lakini na kwambia ukweli: it is too early kusema they have made something that we should learn from them.Mind you kama wataweka guard zao chini ndio utajua kila kitu walichofanya ulikuwa ujinga but wakikaza hapo unaweza kunishawishi nijifunze huko Kenya.Kosa dogo tu watakuwa wanafinywa kimya kimya.Kama unafatilia utakuwa unaona wameanza kugawanyika mpaka sasa
 
Hao wote hawana ukondoo kama wa kwetu
Nakumbuka mwaka 2021 wakati wa kampeini za uraisi museven alimkamata bobwine waganda wakaingia barabarani mpaka hali ikawa mbaya akaachiliwa bila mashariti yoyote ila zaidi ya waganda 50 waliuawa na jeshi la museveni, hapa kwetu Mbowe kabambikizwa kesi za uhaini na kufungwa miezi 9 jela hata , chama chake walishindwa kuandamana, baba wawatu amerudi ni mpole with a compromising political mood.......sisi hapa ni kondooo kweli kweli.
 
Hao wote hawana ukondoo kama wa kwetu
Kwamba Zimbabwe ambao wanakimbia kwenda SA kukimbia ugumu wa maisha kwao wanawazidi wabongo sio? Nigeria ambayo wenyewe wanakubali kwamba they're fucked up bado wewe unapata nguvu ya kusema sio kondoo.Sitaki kusema Uganda maana huko pameoza
 
They use English as a stepping stone to achieve their goals, but Tz uses swahili as a stepping stone that's why we are very far behind in development.
Mkuu hata kufikilia ni tofauti mtu anae reason kwa kwa kutumia kiingereza na yule anae tumia kiswahili their reasoning capacity are not equal, mfano sikiliza reasoning ya mkuu wa mkoa Dar chalamila wakati wa mgomo na reasoning ya Ruto wakati wa mandamano, ndo utaoana chalamila nikama wa darasa la saba au form one.....too childish.
 
Nenda huko kwenye prukushani mwenyeweee. Tuachie tuijenge tanzania kwa uzalendo na mshikamano. Kwakuwa huna cha kupoteza ndiomaana unabwabwaja tuuu.
Tatizo lako unadhani uzalendo ni kuwatii watawala blindly bila kujiongeza. Uzalendo ni kwa nchi yako hivyo mzalendo sharti awe tayari kuipigania nchi yake na siyo kutetea wanaofuja rasilimali za taifa kwa maslahi yao na wanaowazunguka.
 
Kwamba Zimbabwe ambao wanakimbia kwenda SA kukimbia ugumu wa maisha kwao wanawazidi wabongo sio? Nigeria ambayo wenyewe wanakubali kwamba they're fucked up bado wewe unapata nguvu ya kusema sio kondoo.Sitaki kusema Uganda maana huko pameoza
Hali elioko Zibabwe ingekutana na Wa Tanzania mpaka sasa tungekua decared "failed state" na UN au Museveni angekua Raisi wa Tanzania angekua anatupagia hata mda wa kula na kulala kabisa tusinge weza kumfanya chochote.......
 
Hali elioko Zibabwe ingekutana na Wa Tanzania mpaka sasa tungekua decared "failed state" na UN au Museveni angekua Raisi wa Tanzania angekua anatupagia hata mda wa kula na kulala kabisa tusinge weza kumfanya chochote.......
Hizi ni assumptions ambazo haziko backed up na any form of reasoning pattern.Ni kipi kinakusukuma kusema kwamba watanzania wanaweza pangiwa mpaka mda wa kulala

Kutoa mfano mwepesi,Magufuri(R.I.P) hakuwa na tofauti kubwa na Museveni but watu bado waliendelea kuishi vizuri na kulala kwa wakati.Baadhi walionyesha kuchukizwa na utawala wake and they voiced up(Tundulisu,Mdude,Heche,Rema na wengineo kama sehemu ndogo tu ya watanzania ambao waliquestion kipindi mambo yalivyokuwa yanaenda kinyume na taratibu)

Kwahiyo hapa umetumia kigezo gani au ni hisia tu
 
Kwamba Zimbabwe ambao wanakimbia kwenda SA kukimbia ugumu wa maisha kwao wanawazidi wabongo sio? Nigeria ambayo wenyewe wanakubali kwamba they're fucked up bado wewe unapata nguvu ya kusema sio kondoo.Sitaki kusema Uganda maana huko pameoza
Hujui Idadi ya Wazimbabwe waliokufa wakipambana kumuondoa Mugabe kwa hali na mali, Upinzani umewahi kuwa mkali Zimbabwe mpaka ukaingizwa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa.
 
Back
Top Bottom